Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

nawapongeza chadema kwa kutoa bajeti in advance...... ni learning tool
Mimi sijaona bajeti ya CDM,nimesikia outline tu......and from the look of things,it's a crappy ass budget,haiendani na ilani yao ya uchaguzi,
Haitoi elimu bure mpaka form 6.
Hawa majamaa wote ni wasanii tu,they don't get tha notion,so just stop praising'em they're all weird,hungry politicians.
 
Hahaha sisi tunaongelea mustakabali wa taifa wewe unakuja na demu mkali iyo fani yako wengine hatuiwezi keep it up ili ufe haraka sie tuponde raha
Acheni pumba au ndo the more u study the more u become craiz ukikosa kabisa jadili hata kati ya wachumba ulionao nani mkali kuliko wenzie
 
Very wonderful mkulo amempunguza posho zisizokuwa na tija,sasa sijui nikwawabunge au nisiasa?
 
Mh. Mbowe amesema bajeti imezingatia maoni yaliyotolewa kwenye kamati na mikutano ya cdm, anasema kwa kiasi kikubwa italeta unafuu wa maisha kwa wananchi.
Anasema wanasubiri bajeti za Wizara kuona mipango ya utekelezaji ikoje.
 
Chadema ni kama mwanamke mjamzito akifanyiwa zuri kwake karaha akifanyiwa baya ndio tabu! Sasa mnataka Serikali ipuuze kila linalosemwa na Upinzani!

Ulitaka watu wachangieje sasa? Kama umekubali kwamba CCM wanatekeleza baadhi ya mapendekezo ya CDM, tusiwapongeze CDM kwa kuwaonyesha njia CCM ambao walishapoteza dira zamani?

Bila CDM nchi sasa hivi ingekua hovyoooooooo ... I can sense and feel the Power of CDM hata kama bado hawajachukua nchi.
 
Hapo mbona umejijibu mwenyewe maana naona wewe ndio wa kwanza kutoka mwisho zaidi ya wachangiaji wote humu na kama ni pumba zako ni za ulezi ambazo sio useful hata kwa kuku, kwenye red ume miss spelling au ndo ku copy na ku paste hata ujinga wa mwenzio bila editing?
Acheni pumba au ndo the more u study the more u become craiz ukikosa kabisa jadili hata kati ya wachumba ulionao nani mkali kuliko wenzie
 
Huyo ndio Marwa mwenye GPA 2.6 Kama Dr magamba wake mteme mkuu
Ulitaka watu wachangieje sasa? Kama umekubali kwamba CCM wanatekeleza baadhi ya mapendekezo ya CDM, tusiwapongeze CDM kwa kuwaonyesha njia CCM ambao walishapoteza dira zamani?

Bila CDM nchi sasa hivi ingekua hovyoooooooo ... I can sense and feel the Power of CDM hata kama bado hawajachukua nchi.
 
safi sana naona vijana wengi tunafatilia bajeti
nimefurahi kupunguzwa kodi ya mafuta may be haliitakuwa safi. vilevile naona bodi ya mikopo imeongezewa fungu basi watuongezee kakiwango ka mikopo maana mh maisha yako juuu sana
 
Hapo mbona umejijibu mwenyewe maana naona wewe ndio wa kwanza kutoka mwisho zaidi ya wachangiaji wote humu na kama ni pumba zako ni za ulezi ambazo sio useful hata kwa kuku, kwenye red ume miss spelling au ndo ku copy na ku paste hata ujinga wa mwenzio bila editing?
Ume misspell
 
Nimeona tatizo lake ni kigugumizi cha kuongea!nationality sijui
 
Nchi imefikia pabaya:-

  1. Bajeti nzima matumizi ni TRIONI 13,
  2. Mapato ya Ndani ni TRIONI 6,
  3. Matumizi ya Kawaida Serikali ni TRIONI 8,
  4. Matumizi ya Maendeleo ni TRIONI 4
JE MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YATAWEZEKANA KWA BAJETI HII TEGEMEZI????
 
Back
Top Bottom