Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9.
Wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.
Wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.