Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9, wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.

View attachment 3147454
Safi sana kama alivyofanya Mtume Muhammad kwa kale katoto Aisha
 
Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9, wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.

View attachment 3147454
Wanamfuata Mud!
 
Pamoja na imani yao kuwaruhusu kufanya hivyo, lakini hiyo kwao ni mbinu ya kutengeneza wakimbizi ili wakajazane Ulaya na Marekani sababu wanajua watu wa kule wana huruma za kingese na ndiyo weakness yao.
 
kuna baba yuko tayari kukabidhi binti yake wa miaka 9 kwa mwanaume? akapigwe mashine ata age of 9 ? maana wanaooa ni miaka 18 kwenda juu maana yake anaolewa na libaba wakat yeye bado ni mtoto hata uteenager hajafikia
astaghafirullah.
 
Acha kumuonea wivu bintiyo
Kama mwili wake unahitaji, wacha akapate hiyo kitu
 
Hivi mtoto wa miaka 9 hisia za mapenzi anakuwa nazo kweli!?
😯
Hapo hawajali kuhusu mtoto, wanachojali ni nyege zao. Watoto wataaribiwa, wataingiliwa kinyume na maumbile wapate mafistula.
Hapa ndo umuhimu wa wazungu huonekana, maana hapa watalaani na hao wapumbavu wakikaa vibaya watavamiwa kijeshi na mimi nasema wavamiwe tu maana hakuna namna.
 
Acha kumuonea wivu bintiyo
Kama mwili wake unahitaji, wacha akapate hiyo kitu
Sasa mtoto wa miaka 9 anajua nini kuhusu majukumu ya ndoa na kutunza mume kama sio nyege zimepanda kichwani? Yaani ni nyege tu ndo zinafanya maamuzi, ndoa ni hiyo kitu tu?
 
Hapo hawajali kuhusu mtoto, wanachojali ni nyege zao. Watoto wataaribiwa, wataingiliwa kinyume na maumbile wapate mafistula.
Hapa ndo umuhimu wa wazungu huonekana, maana hapa watalaani na hao wapumbavu wakikaa vibaya watavamiwa kijeshi na mimi nasema wavamiwe tu maana hakuna namna.
Wapumbavu sana aisee.
 
Acha kumuonea wivu bintiyo
Kama mwili wake unahitaji, wacha akapate hiyo kitu
we jamaa umekuaje?
mbona zamani ulikua na michango mizuri? hata kama jamii za zamani walioza watoto na miaka 9 kwa dunia ya sasa ni ushenzi. na hata zama hizo mabinti hawakua wakifurahia lakini hawakua na jinsi. zipo stori za mabibi zetu walilazimishwa kuolewa na miaka 10 walikua wakienda huku wakilia. wanakatishwa makuzi yao ya utoto na kwenda kumtumikia mume. huo wote toka enzi ni ukatili dhidi ya watoto
 
Back
Top Bottom