Serikali ya Tanzania inaruhusu Watu kuuza na kunywa pombe lakini haimaanishi kila Mtanzania ni mlevi, ila Sheria ya kukuzuia usinywe haipo ni wewe na maamuzi yako.
Iraq inachotaka kufanya ni kuondoka huo mbano , msichana awe huru akiona anataka kuolewa kuanzia umri huo ruksa, hii itaondosha uzinzi uliojaa kwakua watu wamebanwa sanaa na sheria kandamizi ya miaka 18. Naunga mkono muswada huo, Msichana akitaka kuolewa kuanzia umri huo na aolewe. Uzuri ndoa katika Uislamu haipiti bila ridhaa ya muolewaji, kwanini umsubirishe mtu na karidhia kuolewa kisa hajafika miaka 18 lakini mwili na afya yake vinamruhusu!?..
Leo hii Tanzania inawasichana wangapi ambao wamepewa mimba wakiwa shule ya msingi!?, Au wakiwa sekondari ambao ni umri kuanzia miaka 10, 11, 12 na kuendelea.