Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kweli unashabikia binti yako wa miaka 9 kuolewa?
Ndiyo akili zao zilivyo mkuu akiwazacho mtu ndiyo akitendacho wamejaa ngono tuMabunge ya Magharibi yanaongelea namna ya kwenda na Artificiall Intelligence Bunge la Iraq linajadili ngono.
Miaka 9 hata barehe bado hiyo haki gani?. Hakuna serikali ya Tanzania inaweza kuruhusu UPUMBAVU WA KIWANGO HICHO.Kama sheria ya nchi yetu ikibadiishwa,mimi namuozesha tu.
Tendo la ndoa ni haki ya kibaiolojia, kuizuia baiolojia kufanya kazi yake ni ukatili wa kijinsia
Bibi zenu walioolewa kwa sabab ya mila mbovuhivi kwa mujibu wa sayansi umri gani unafaa kuolewa?, maana mabibi zetu wengi huku Afrika walikuwa wanaolewa katika umri wa miaka chini ya 15
Miaka 9 hata barehe bado hiyo haki gani?. Hakuna serikali ya Tanzania inaweza kuruhusu UPUMBAVU WA KIWANGO HICHO.
Waafrica wa wapi? Labda wasukuma sisi hattuna ujinga huoKwa historia ya waafrika miaka ya nyuma, mtoto alikuwa akizaliwa mweupe, muoaji anamfanyia ''booking'' akishakuwa mkubwa ndio anachukuliwa.
Kwa hawa wenzetu, kinachowasukuma ni tamaa, pamoja na lile lengo lao la kupata mke ambaye bado hajaguswa.
Lakini huu ni uonevu, kwa sababu mtoto anakuwa bado hana hisia.
Sheria mbovu ndio maana Regina Gyumi ameshinda hii kesi sasa imebaki mahakama kubatilisha tu hii sheriaserikali ya Tanzania inaruhusu mabinti wenye miaka 14 kuolewa kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1971, hapo vipi?
Duh 😇 dini ya haki.hivi kwa mujibu wa sayansi umri gani unafaa kuolewa?, maana mabibi zetu wengi huku Afrika walikuwa wanaolewa katika umri wa miaka chini ya 15
Nyonga za Watoto hazijatanuka kuruhusu kichwa cha Mtoto kupita kwahiyo wengi wanakufa wakati wa kujifungua.
Huko Iraq Mtoto akifa kutokana na Ujauzito wanasema Allah ndio kasababisha.
9 years !.kuvunja ungo ni taarifa ya kibaiolojia kuwa mwili uko tayari kuingiliwa. Mengine ni siasa za kiuanaharakati tu!.
Wanaharakati hawajui biology
Kwa akili hizo Israel ataendelea kuwatifua mpaka mwisho wa dunia.Mabunge ya Magharibi yanaongelea namna ya kwenda na Artificiall Intelligence Bunge la Iraq linajadili ngono.
9 years !.
Mimi nasema hao wamorroco wanaume wamewachapa vizuri sana, na serekali ya Holanda inajaribu kuwafurahisha waisrael sababu ya US.Wafuasi wa Mudi wao huwaza kulombana tu muda wote ona hapa si ajabu kuona aya majamaa ya kisapoti huu upuuzi
Malaria 2
kimsboy
green rajab
Adiosamigo
Na mashekhe wengineo
Mimi nasema hao wamorroco wanaume wamewachapa vizuri sana, na serekali ya Holanda inajaribu kuwafurahisha waisrael sababu ya US.
Watu wengi bado wamelala wanadhani Israel inasaidiwa na US kwa kupendwa, hapana wanatumiwa na US na Western kwa faida zao, sabubu walisha ona wakifanya unyama huo wao watadharaulika bora wawape hio kazi Wayahudi. Sababu Wayahudi wao sifa zao hizo tokea wakati wa Mitume wao hawaendi na sheria. Siku Iran akija piga jumba moja pale Israel utasikia watakavyo lalamika US na Western kwamba Iran inafanya genocide, wakati kwa Israel wako kimya.
View: https://youtu.be/uQISYuqpvRk?si=Og9IwqToIz6HiX8v
Time kila zikienda watu wa Europe wanapata akili