Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 856
- 1,662
Ulinzi upi!?, Hii sheria ya miaka 18 ipo miaka lakini mbona haijazuia Wasichana wadogo wasishike mimba na kuzaa!?.Sasa boss Kama suala ni tendo na mwili tu hakuna factors nyingine za kuzingatia Mbona ulipokuwa mdogo huwezi kujilinda ulilindwa? Unadhani wewe wa miaka 9 na huyu wa sasa wa miaka 9 mna tofauti?
Ingekuaje kama jamii iliyokulinda na wafiraji ingepuuza tu sababu mwili unao, tundu unalo na tendo ni lile lile?
Kinachoangaliwa hapa si uwezo wa mtoto kuingiliwa na kubeba mimba, ni ukomavu wa akili ya mtoto kuweza kuhandle hiyo hali, utayari wake na uwezo wa kulea huyo mtoto na athari anazoweza kupata kama fistula, kuchanika kizazi n.k same as madhara ambayo ungeyapata iwapo ungefanyiwa hicho kitendo ulipokuwa na miaka 9.
Binti wa miaka 9 na wewe ulipokuwa mvulana wa miaka 9 wote ni watoto, ulistahili ulinzi na huyu wa sasa anastahili ulinzi
Ikiwa anaweza kubeba mimba akiwa shule ya msingi bila ndoa , vipi azuiliwe kuolewa!?.