Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9, wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.

View attachment 3147454
Kobazi
 
Nyinyi makondoo mpaka demu anaolewa ujue huyo ameishashindikana
Kwaiyo ndo uozeshe mtoto wa miaka 9 lakini hata nyie na wazee wa ndo za mfungo ukishaisha taraka mwakani unao tena na mtaraka wako anaolewa na mwingine Kisha taraka tena
 
Watoto wa shule ya msingi kujazawa mimba na mabaradhuli/pedophiles ni jambo moja, kukubali waolewe kabisa kisheria huku watu wenye akili timamu mnashangilia mnakula maandazi, tende na ubwabwa ni jambo lingine kabisa.
Tofauti yake nini!?.
 
Jikite kwenye ndoa, hata mtoto wako akija kukuambia alibakawa na akapata mimba hatuwezi kuhalalisha ubakaji.
Sasa yaani kuolewa Kuna shida Gani kwake!? , Wakati tendo ni lile lile. Yaani nipe sababu ya yeye kutokuolewa umri huo ikiwa anaweza akapewa mimba na wahuni kwa njia za hovyo na ikaingia ikiwa mwili ni huo huo wa miaka 9!??
 
Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9, wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.

View attachment 3147454
Hawa wana harakati waendelea kufurahia wanaume kufirana, waachane na mambo ya watu, hakuna umri maalum wa kuoa
 
kuvunja ungo ni taarifa ya kibaiolojia kuwa mwili uko tayari kuingiliwa. Mengine ni siasa za kiuanaharakati tu!.

Wanaharakati hawajui biology
 
Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9, wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.

View attachment 3147454
Wanafuata ya mudi , sawa tu
 
Sasa yaani kuolewa Kuna shida Gani kwake!? , Wakati tendo ni lile lile. Yaani nipe sababu ya yeye kutokuolewa umri huo ikiwa anaweza akapewa mimba na wahuni kwa njia za hovyo na ikaingia ikiwa mwili ni huo huo wa miaka 9!??
Sasa boss Kama suala ni tendo na mwili tu hakuna factors nyingine za kuzingatia Mbona ulipokuwa mdogo huwezi kujilinda ulilindwa? Unadhani wewe wa miaka 9 na huyu wa sasa wa miaka 9 mna tofauti?

Ingekuaje kama jamii iliyokulinda na wafiraji ingepuuza tu sababu mwili unao, tundu unalo na tendo ni lile lile?

Kinachoangaliwa hapa si uwezo wa mtoto kuingiliwa na kubeba mimba, ni ukomavu wa akili ya mtoto kuweza kuhandle hiyo hali, utayari wake na uwezo wa kulea huyo mtoto na athari anazoweza kupata kama fistula, kuchanika kizazi n.k same as madhara ambayo ungeyapata iwapo ungefanyiwa hicho kitendo ulipokuwa na miaka 9.

Binti wa miaka 9 na wewe ulipokuwa mvulana wa miaka 9 wote ni watoto, ulistahili ulinzi na huyu wa sasa anastahili ulinzi.
 
Back
Top Bottom