Hujanielewa hoja yangu, nimemaanisha binding awe na consent ya kuolewa walau baada ya miaka 21+Hamjawahi kujitambua nyie Waislamu
Unaweza kukubali binti yako wa miaka 9 kuolewa ??
Hapo ujue kuna kiongozi mmoja au wawili wameingiwa tamaa au hamu ya dharuraVyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9, wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.
View attachment 3147454
Kwa sababu ni mtoto, ndio maana haruhusiwi kunywa pombe, kuvuta sigara, kuedndesha gari au kusaini mkataba akiwa katika umri huo, usiwe mjinga.
FaizaFoxy hii ni swa ya miaka 9?Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9, wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.
View attachment 3147454