Nchi ya Iraq iko karibu kupitisha sheria inayotaja umri wa mwanamke kuolewa kuwa ni kuanzia miaka 9.
Viongozi wa kidini nchini Iran wanasema umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 9 ambapo mwanamke anakua na akili ya kukubali kuolewa kwa hiyari. Umri chini ya miaka 9 mwanamke ataolewa chini ya ruhusa ya wazazi wake.
Tukumbuke kwamba Mtume Mohamed alimuoa binti Aisha akiwa na miaka 6 kama mke wa Pili wa Mtume na kuanzia miaka 9 akahamia nyumbani kwa mtume Mohamad na kuanza kuishi nae kinyumba.
View: https://x.com/VividProwess/status/1855232710878400716?s=19