Yaani mtuuwe halafu tuwatetee. Pumbavu kabisa?Mkuu tuwe wazalendo kutetea Nchi Yetu
.....unataka mpaka ungesikia neno ICC likitajwa siyo?ICC ya nyokwe.
Sijasikia popote pakitamkwa hivyo.
Na mpaka tumuue kwa gubu.Duh, kwanini Rais wetu anaandamwa Kila siku? Anajisikiaje? Please mpumzisheni bana
Bunge ni Bunge ,huwezi kuzuia watu cha kusema, hata hivyo Nchi Kama Taifa hatuwezi kuipangiwa na wageni namna ya kuishi
Tusiingiliwe mambo ya kuuana kiholela kwa maelfu ili mtu mmoja asiye na uwezo wa kuongoza aendelee kutuongoza?Hawa jamaa wa kwende zao, kwani wao ndio nani?, wanakosoaje ripoti ambayo hawajaisoma?, its a confidential report!.
Hebu watuache!. Kama issue ni kufikishwa ICC, mtu wa kwanza ni Tirampu kwa alichokifanya Iran!.
Mimi naendelea kusisitiza
P
Kuna njia nyingi za kumwajibisha mtu/nchi sio lazima iwe hiyo ICC......unataka mpaka ungesikia neno ICC likitajwa siyo?
....kwani wewe unaelewa nini uliposikia sentensi hii, "... After 29/10 election aftermath, Tanzania must be held accountable..."
...wakati mwingine hutaipata mantiki ya hoja kwa kwa kusoma au kusikia neno moja kwa moja unless umechimba mantiki iliyojificha ndani ya neno/maneno uliyosoma au kusikia
....bahati mbaya ni kuwa, watu wenye brain ya kuchambua masuala haipo ndani ya miongoni mwa wana CCM karibu 99%...
Tuseme ni kweli au si kweli, unadhani anastahili kupelekwa wapi zaidi?Kuna ukweli au mambo ya mitandao. Eti bunge la Marekani lasema mtu apelekwe ICC
Yes huwa mna maneno ya kishujaa wakati huo mnanjaa hadi kwenye mtakoBunge ni Bunge ,huwezi kuzuia watu cha kusema, hata hivyo Nchi Kama Taifa hatuwezi kuipangiwa na wageni namna ya kuishi
Mkuu sasa matusi ya nini? Jikite kwenye MadaYes huwa mna maneno ya kishujaa wakati huo mnanjaa hadi kwenye mtako
Apumzishwe wakati kashikilia roho za mamia ya wasio na hatia, ana raha gani ya kupumzishwaDuh, kwanini Rais wetu anaandamwa Kila siku? Anajisikiaje? Please mpumzisheni bana
Mada si ndiyo hiyo kwamba mnajibu kishujaa wakati mna dhiki hadi kwenye mtako? tusi lipo wapi hapoMkuu sasa matusi ya nini? Jikite kwenye Mada