Bunge la Marekani laikosoa ripoti ya Chade, lataka Samia afikishwe ICC

Bunge la Marekani laikosoa ripoti ya Chade, lataka Samia afikishwe ICC

Kuna ukweli au mambo ya mitandao. Eti bunge la Marekani lasema mtu apelekwe ICC
Wala haishangazi kwa kuwa ni muuaji na amepoka demokrasia na kubakia madarakani kwa njia batili. Jizi ni jizi tu, liuaji ni liuaji tu, hata likiwa lipo Ikulu na kupewa cheo cha uraisi.
 
Bunge ni Bunge ,huwezi kuzuia watu cha kusema, hata hivyo Nchi Kama Taifa hatuwezi kuipangiwa na wageni namna ya kuishi
Nyie endeleeni kumponza mwenzenu kwa vijimaneno kama hivi, watakapoanza kumtafuta hamtakuwepo kumsaidia.Msaidieni sasa
 
Kuna njia nyingi za kumwajibisha mtu/nchi sio lazima iwe hiyo ICC.

Hiyo ICC limemvutia tu mleta mada kuliweka kwenye uzi wake ila halijatamkwa popote kwenye statement ya huyo beberu.
Ccm bwana mnajiita nyie wote kuwa ni mambuzijike. Eti wazungu ni mabeberu- means wazungu wanawapanda! Hamtakwepa mimba 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom