Bunge la Marekani laikosoa ripoti ya Chade, lataka Samia afikishwe ICC

ICC ya nyokwe.

Sijasikia popote pakitamkwa hivyo.
.....unataka mpaka ungesikia neno ICC likitajwa siyo?

....kwani wewe unaelewa nini uliposikia sentensi hii, "... After 29/10 election aftermath, Tanzania must be held accountable..."

...wakati mwingine hutaipata mantiki ya hoja kwa kusoma au kusikia neno moja kwa moja unless umechimba mantiki iliyojificha ndani ya neno/maneno uliyosoma au kusikia

....bahati mbaya ni kuwa, watu wenye brain ya kuchambua masuala haipo ndani ya miongoni mwa wana CCM karibu 99%...
 
Bunge ni Bunge ,huwezi kuzuia watu cha kusema, hata hivyo Nchi Kama Taifa hatuwezi kuipangiwa na wageni namna ya kuishi

Yes Tanzania ni nchi huru. Ila hatuishi kama tuko kwenye kisiwa. Tunahitaji muingiliano wa watu na kutegemea kwa resources.
Tulimaaanisha nini tuliposema "who are you"? Wakati misafara ya kwenda kuwaomba hawa watu ipo na pengine inaendelea. Watulegezee kamba.

Akili zetu ziko sawa kweli? Commonwealth wana tamko na order wametoa. EU na US...bado tunajidanganya ni ngangari kwenye hii dunia ya tatu?

Kama tuna machozi, tujiandae kujililia wenyewe...something fishy is going on
 
Tusiingiliwe mambo ya kuuana kiholela kwa maelfu ili mtu mmoja asiye na uwezo wa kuongoza aendelee kutuongoza?

Wananchi wakikataa wafumuliwe za vichwa kwa ukaidi na miili yao ikazikwe kusikojulikana, watekwe na genge la mtoto wa raisi kilaza.

Wahadhiri wa vyuo vikuu wakifundisha haki za kikatiba vyuoni wakamatwe, wanyimwe dhamana.
 
Kuna njia nyingi za kumwajibisha mtu/nchi sio lazima iwe hiyo ICC.

Hiyo ICC limemvutia tu mleta mada kuliweka kwenye uzi wake ila halijatamkwa popote kwenye statement ya huyo beberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…