Bunge la Marekani laikosoa ripoti ya Chade, lataka Samia afikishwe ICC

Kuna mtu alikuja na Uzi kwamba Marekani haiitambui ICC na inataka ifutwe, hii ikoje?
 
Kuna njia nyingi za kumwajibisha mtu/nchi sio lazima iwe hiyo ICC.
Kama unakiri kuwa "zipo njia nyingi", pamoja na hizo unazozijua wewe, vivyo hivyo na ya kufikishwa katika mahakama ya makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu (crimes against humanity) nayo imo na njia ya kufundisha watu washenzi na wauaji kama Samia adamu
Hiyo ICC limemvutia tu mleta mada kuliweka kwenye uzi wake ila halijatamkwa popote kwenye statement ya huyo beberu.
Kama ambavyo tu wewe unavutiwa na hizo zilizo ktk fikra zako...
 
Tatizo mnaikomalia njia hiyo tu kama ndio the only option hata mabeberu ambao ndio mnawategemea hawajaitamka.
 

TOKA MAKTABA :
In the Courtroom - Banda and Jerbo case: First appearance, 17 June 2010

View: https://m.youtube.com/watch?v=w2OFs6gOFewOn 17 June 2010, Abdallah Banda Abakaer Nourain (Banda) and Saleh Mohammed Jerbo Jamus (Jerbo) made their voluntary, initial appearance before the International Criminal Court (ICC), in compliance with summonses to appear issued by Pre-Trial Chamber I.

Mr. Banda and Mr. Jerbo are charged with three counts of war crimes allegedly committed during an attack carried out on 29 September 2007 against the African Union Mission in Sudan (AMIS), a peace-keeping mission stationed at the Haskanita Military Group Site (MGS Haskanita) in the locality of Umm Kadada, North Darfur. Pre-Trial Chamber I is composed of Presiding Judge Sylvia Steiner, Judge Sanji Mmasenono Monageng and Judge Cuno Tarfusser.

N.B This video was produced in 2010 by the Public Information and Documentation Section of the ICC, for non-profit and educational purposes. The ICC encourages its use, reproduction and distribution for the same purposes. Sale or commercial use is strictly prohibited.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…