Bunge la Nigeria lajadili wizi mkubwa sana wa mafuta uliofanywa na China

WWe
Wewe huna hoja ni ushabiki maandazi tu unakusumbua na hata useme nini ni kazi bure tu, sisi tunajua wachina ni wezi tu.

Lini mchina akampenda mtu mweusi anayeamini kwamba ni sawa na nyani tu.
 
WWe

Wewe huna hoja ni ushabiki maandazi tu unakusumbua na hata useme nini ni kazi bure tu, sisi tunajua wachina ni wezi tu.

Lini mchina akampenda mtu mweusi anayeamini kwamba ni sawa na nyani tu.
Na ni lini mzungu akampenda mtu mweusi aliyemuuza sokoni kama chupi ya mtumba?
 
hawachelew kuita propaganda , hawa vichaa wanapenda nchi za watu kuliko kwao bongolala
 
Nasemajeeeeeeeee......"WAIBE MALI ZOOOOTE ZA AFRICA ILA WASITULETEE USHOGA THAMANI YA MALINDA KWETU NI ZAIDI YA MAFUTA NA MADINI" sijui nimesikika au nirudie
kuna mtu anakushikisha ukuta kwa nguvu ? akil zenu fup kila kitu kuiga ndo mnaishia kuwa gays
 
Wasianze kumlaumu China; walaumiane wao kwa wao kwanza. Sisi wazalendo hatupendi chokochoko za Mmarekani dhidi ya huyu ^mfadhili wa kweli.^
duh ndio maana afrika haipig hatua , akil fup sana , unahis kuna nch inakupenda ?
 
Mchina hana ujanja wa kuingia Nigeria na kuiba mafuta bila msaada wa waNigeria.

Wanze kuangaliana wenyewe waNigeria hapo, nani kawasaidia Wachina kuiba mafuta.
 
kama huez wasapoti wanaijeria wanadili na hao wez , bas ww huna tofaut na lgbt wengine , huez muunga mkono mchina kisa wapo wanaija wameshiriki pia , badala yake ungewasapot wale wanalipambania bara letu dhid ya hawa wageni wezi
 
Similarly to Tanzania, wizi wa dhahabu uliokuwa ukifanywa na Barrick/ Accacia. Je, tuzilaumu serikali za Canada na Uingereza au tuwalaumu watalaamu na wanasiasa wetu kwa kukosa uzalendo katika mikataba na usimamizi?
tofautisha serikali ya nchi fulani na raia wa nchi fulani
 
China inawezaje kutorosha mafuta Naijeria bila wanijeria wenyewe kuhusika?

China ni kama Oxygen hauwezi kuikwepa. Hata hapo unabofya simu janja yenye patent kibao za Mchina. Kaa kwa kutulia. China hakwepeki
kwahiyo kama wanaijeria wachache wamehusika basi tukalie kimya waendelee kuiba ? Ndio maana tunaitea sokweh
 
Acha hoja za kitoto kwani wachina wameyachukua kichawi usiku wa manane?
akil zako fupi sana , kwahiyi waachwe tu ? kwann hao wez wasiwe waturuki au warusib? hapo bunge linawapinga hao wachina wachache wanaohusika pamoja na wanaijeria wanaohusika , ila kwavile wameshikwa wachina bas wanaanza nao hao ila kwa akili yako hata ukilanja wa shule haukufai
 
hiyi haiondoi ukwel kuwa wachina wanachukua mafuta ya wiz , hilo lzm likomeshwe , waafrika wachache kama wewe wenye mahab na ngozi nyeupe mpk unasahau bara lenu hamfai kuwepo dunian
 
kuna mtu anakushikisha ukuta kwa nguvu ? akil zenu fup kila kitu kuiga ndo mnaishia kuwa gays
Mwenye akili ndefu unauliza Swali Alafu unajijibu mwenyewe huoni kama wenye tabia kama hizo ni wale wa milembe.
Tuliza mihemko Chief kiushabiki hujalazimishwa kuamini nilichokisema hadi uniattack kwa matusi.
 
Nasemajeeeeeeeee......"WAIBE MALI ZOOOOTE ZA AFRICA ILA WASITULETEE USHOGA THAMANI YA MALINDA KWETU NI ZAIDI YA MAFUTA NA MADINI" sijui nimesikika au nirudie
Wewe nani amewahi kukuletea ushoga ?
 
Nasemajeeeeeeeee......"WAIBE MALI ZOOOOTE ZA AFRICA ILA WASITULETEE USHOGA THAMANI YA MALINDA KWETU NI ZAIDI YA MAFUTA NA MADINI" sijui nimesikika au nirudie
Waafrika ni wanafiki sana!!huu ujinga unaofanywa na ndugu wa damu kwenye familia zetu(kulawiti)watoto halafu wana familia wanakaa na kuyamaliza ni wazungu ndio wameleta?!!huko magerezani mnapowachanganya watoto wadogo na watu wazima kupelekea watoto wadogo kulawitiwa ni wazungu ndio wameleta?Hizo kelele mnazopiga si mngeziweka kwa MAFISADI yanayopiga pesa bila hurumu na kukuathiri ,kiuchumi,na kijamii moja kwa moja?!!Sawa hawajakuletea kwani mashoga hawapo?!?ACHENI UNAFIKI BNANA.
 
Mchina hana ujanja wa kuingia Nigeria na kuiba mafuta bila msaada wa waNigeria.

Wanze kuangaliana wenyewe waNigeria hapo, nani kawasaidia Wachina kuiba mafuta.

Na ndio kitu wanachokifanya, uchunguzi, kuanzia kwa wauzaji hadi mnunuzi.....
 
Wewe nani amewahi kukuletea ushoga ?
Sikutaraji member wa JF kuuliza Swali dhaifu kama hili.
Hivi unahisi kelele zinazopigwa kwenye jamii kuhusu maperfume, lotion zinazosambazwa , seminar zinazoendeshwa na hao wazungu na yaliyojiri huko kigoma bado tu hujashtuka.
Unapitwa Chief hali si salama kama unavyodhani Jamaa wanataka tusiongezeke na hii ni mikakati ya muda mrefu kutimiza malengo yao ya NWO
 
Na ndio kitu wanachokifanya, uchunguzi, kuanzia kwa wauzaji hadi mnunuzi.....
Usishangae kusikia uchunguzi umeundiwa uchunguzi, kwa sababu katika uchunguzi kuna hela zimeibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…