Bunge la Nigeria lajadili wizi mkubwa sana wa mafuta uliofanywa na China

Mkuu tulishapigwa sana na wazungu, ktk kukomaa tusipigwe haimaanishi tugeukie mchina atupige, hakuna mtu mbaya kama mchina kwa sasa, let's make efforts to stand alone! Hili ni suluhisho la kututoa
 
WAAFRIKA TUACHE NA UNAFIKI WETU KAMA TULIVYOKUACHA WEWE NA UZUNGU WENU WA KUSAPOTI USHOGA.
Umesema mengi yenye kuegemeza kuwa ndio source ya ushoga jambo ambalo sikatai moja kwa moja ila niseme tu hoja hizo ziko kwa % ndogo mno maana leo ukitafuta walioanzia ushoga magerezani ni adimu na binafsi sijawahi muona ila walioanzia mitaani kea vishawishi vya kijinga ndio waliopo wengi.
Na kukemea ushoga mnaoupigania wazungu haina maana ya kwamba sisi WAAFRIKA tunakubaliana na hao walawiti watoto wa huko kwenu maana huku ninakoishi hamna huo ujinga ila machoko wapo ambao source ni tamaa tu na si vingine to.

Umegusa MAFISADI na hapa ndipo naanza kukutilia mashaka maana wazungumzaji wa mfano wa maneno yako ni kama yale ya watetea ndoa za jinsia moja BBC ambao nimeona chapisho juzi likizungumzia hoja hizo hizo.
Naomba tu utumie akili ya kabisa ambayo ni ile inakusaidia kupeleka tonge mdomoni.

Iko hivi wazungu mnaotaka tusikemee propaganda zenu za kuoana boy kwa boy na kutuambia tuache hilo bali tujadili ufisadi kwa nini MAFISADI hayo hayo yanapokujieni kuwaomba mikopo mnatoa hali ya kuwa mwafahamu mnaowapatia hiyo mihela ni MAFISADI au wakikataa ajenda zenu ni MAFISADI na wakinyamazia uozo wenu ni wasafi.
Hebu tuache kutuona vichaa halo ya kuwa tuko smart na akili zetu ziko sawa ndio maana twapinga UCHOKO.

TAFSIRI YA MAENDELEO NI MTAMBUKA CHIEF NIKUAMBIE TU KITU KIMOJA LABDA YAWEZA ITAKUSAIDIA KUUKUBALI USHOGA HAITAKUFANYA UENDELEE MAANA HATA MASHOGA TUNAOWAONA NA VILE MNAVYOWAPA NYINYI WAZUNGU BADO SISI TWAONA WANAISHI KAWAIDA TU HAMNA WONDERS KAMA MNAYOJARIBU KUTUAMINISHA KWAYO ILI PAONEKANWE USHOGA NI SOURCE YA MAENDELEO KUAMINI HIVYO NI UPOYOYO ULIOCHANGAMKA BILA SHAKA.
 
Nahisi anataka kubadilisha herufi Moja kwenye jina lako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni tabia za wale wale wenye kubadilishwa badilishwa badala ya kutumia mbele wakawa wanatoa nyuma.
Athubutu kufanya hivyo ayapate majibu yake wamarekani bhaaana
 
Na ni lini mzungu akampenda mtu mweusi aliyemuuza sokoni kama chupi ya mtumba?
Awe mhindi, awe mchina na hata awe mwarabu hadithi ni hiyo hiyo na tena hao ndio wabaya zaidi. Mind that and take care 💅😘
 
Acha ujinga wewe, perfume ipi umetumia ikasababisha ugawe puru ?
Mnalishwa mitqzamo ya kijinga jinga na nyinyi mnaipokea kama ilivyo.
 
Kuna watu wanawapenda Sana wachina ila wakafanye vibarua huko wawaone vizuri
 
Acha ujinga wewe, perfume ipi umetumia ikasababisha ugawe puru ?
Mnalishwa mitqzamo ya kijinga jinga na nyinyi mnaipokea kama ilivyo.
Sina haja ya kujaribu kutumia niko timamu Chief na iwe na isiwe hainipunguzii chochote wewe mwenye kutaka kufanya research kafanye KWA kuvitumia uone kinyegereshi kitavyohamia kwenye Anus yako.
 
tatizo hufungui , sisi ndo tunawalawiti hao mashoga , sasa kwann tulaumu wazungu ? kama hatutoondoa hv visababishi vya ndan basi ushoga utaendelea milele kwa unafik wetu
 
tatizo hufungui , sisi ndo tunawalawiti hao mashoga , sasa kwann tulaumu wazungu ? kama hatutoondoa hv visababishi vya ndan basi ushoga utaendelea milele kwa unafik wetu
Huwezi KUTENGENEZA jamii yenye ustandard wa aina moja na hamna utokomezaji wa aina hiyo kwenye jamii zetu tumekuta na tunaendelea nayo mapambano ya wezi, wachawi,wauza mihadarati hadi pakawekewa na sheria kabisa ila haijawahi kutokea tabia moja wapo ktk hizo kutokomea KWA sababu twajua wapo wenye hulka zao kwenye hayo mambo pia twapinga UCHOKO kupitia kwa wazungu hatuna maana kwamba tutaweza kuufuta total hapana tunachokataa ni kutaka tuhalalishe paonekanwe ni tabia tu kama tabia nyingine au tuone ni ustaraabu mzuri hilo ndilo twalipinga
 
mapambano hayo yawe balanced , sijawai kuona kelele dhidi ya wanaowalawit hao vijana au kuwafanya wake zao ila akili zenu zote zipo kwa mzungu na mnatunga kila aina ya uongo
 
WaNigeria wanaongoza kwa ufisadi dhidi ya nchi yao. Wale haishangazi hao wachina kuchuma hayo mafuta. Sani Abacha alificha mamilioni ya Dollar huko Ulaya kwa wizi wa mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…