Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Jinga wewe,jamaa ni jemedari wenu wewe na mamayako
 
Watu wengi sana wameuawa awamu hii, kuna ukatili wa kutisha ulikua unafanyika pale tazara sijui kama bado unaendelea, watu wanapigwa risasi na kufukiwa kama mbwa.
Tazara ya wapi na wewe mbona unaandika kichakubimbi
 
Funny 😁,Makonda kaua Demokrasia pekee yake?How? Ndiyo gross human rights violation?

Kwa nini tu wasiseme shida ya Makonda ni ile kampeni yake dhidi ya akina Delicious!

Na Kwa nini wasimpeleke The Heague basi badala ya kuzunguka zunguka tu ili haki ikatendeke huko.
 
Tuangalie kwa jicho la mwewe hili neno "gross human rights violation"


Lina maana ya "ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu"

Mabeberu huwa hatukurupukagi. Upo ushahidi mkubwa sana dhidi ya huyu ndg Bashite na babayake jiwe, kiongozi wa malaika wa shetwain. Ni jambo la kusubiri kidogo tu kitaeleweka fastaaaaaa
 
Miradi ipi na mianya ipi?

Sifahamu kama USA wana mradi wowote hapa kwetu zaidi ya wao kuwekeza na au kutupa misaada.

Tufahamishe hiyo miradi na ukishindwa basi wewe ni muongo.
Achana na jinga hilo,linaropoka hapo alipo hata hela ya kununua chupi hana,kazi tu kushabikia upumbavu
 
Tatizo wala sio kuzibwa hyo mnayoita mianya yao.bali ni uonevu wa awamu hii ndo chanzo.
Yaliyofanyika yote umeyasahau au unajisahaulisha?awamu hii inaringia jeshi na polisi na nec.
Inafikia hatua mnasema wapinzani wataisoma namba.
Haya uchaguzi wa serikali za mitaa kilichotokea mmekiona msifikiri viongozi wa dunia hawaoni.
MBOWE ni kweli Hana sauti wala nguvu ila kilio chake kinasikika mbali...
Mlipongezana ushindi wa serikali za mitaa hamkuona dhulma wala uonevu wanaofanyiwa upinzani na NEC.
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wenyewe wamechoka, wanampiga ban Makonda kwenda Marekani ataenda kufanya nini huko kwao. Ni sawa na mimi kunipiga ban kuwa rubani wa ndege wakati hata abc kuhusu hizo ndege sizijui

Sent using Jamii Forums mobile app
unafikiri ulipo tizama mbali muda mwingine pitia hata maoni ya wenzako utaelewa nini nyuma ya pazia angalia sababu usiangalie tatizo
 
Sikumbuki ni lini mtu mweupe akawa na jema kwa ngozi nyeusi.

Hivi si ndio hawa hawa walikuwa wanapiga babu zetu mijeledi na kuyaita makazi yao bara la giza??

Hivi ni lini wamepata upendo wa ghafla mpaka wakaamua kutupigania ili tupate demokrasia??
 
Umeelewa neno "Gross" ?

Human violations zinafanyika sana, Makonda kapitiliza kiwango.

Angalia matukio yake baadhi utajifunza kitu.

1. Kuvamia ofisi za clouds

2. Kutekwa na kutabiri kuja kwa Roma.

3. MO kupotea.

4. Kumtishia mbunge wa Sumbawanga asikanyage Dar, atakiona cha moto.

5. Nape kuvamiwa kwenye ile press conference baada ya kutaka kuchukua hatua dhidi ya Makonda kuvamia ofisi za clouds.

Na mengine siyajui, US intelligence wanayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikia steep democratic decline ujue maana yake ni kukatika au kuzibwa kwa kasi mirija yao ya unyonyaji nchini...ndio wananchi tujue hizi kelele sisizoendana na tabia ya mwanzo ya zitto zinatoka wapi. Wamejitokeza sasa baada ya kuona vibaraka hawatafua dafu uchaguzi mwaka huu. Yafaa nchi kujiandaa kidete ili tusijenyang'anywa kibabe madaraka ya kujitawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…