Mkuu mbona unamgeuka mshirika mwenzio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Miradi ipi na mianya ipi?
Sifahamu kama USA wana mradi wowote hapa kwetu zaidi ya wao kuwekeza na au kutupa misaada.
Tufahamishe hiyo miradi na ukishindwa basi wewe ni muongo.
Sent using Jamii Forums mobile app