Yaani wewe ni mjinga na kama ameenda shule basi elimu haijakusaidia. Ukiona wapi tajiri anamwogopa maskini. Mabeberu wamwogope Magu hizo story za abunuasiMabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
We jamaa vipi?Umeelewa neno "Gross" ?
Human violations zinafanyika sana, Makonda kapitiliza kiwango.
Angalia matukio yake baadhi utajifunza kitu.
1. Kuvamia ofisi za clouds
2. Kutekwa na kutabiri kuja kwa Roma.
3. MO kupotea.
4. Kumtishia mbunge wa Sumbawanga asikanyage Dar, atakiona cha moto.
5. Nape kuvamiwa kwenye ile press conference baada ya kutaka kuchukua hatua dhidi ya Makonda kuvamia ofisi za clouds.
Na mengine siyajui, US intelligence wanayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika andiko hili nilikuuliza ,ni kwa nini viongozi wetu waruhusu mianya ya Marekani kuwashughulikia ?Huu ni muendelezo wa mpango huu
PUS/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
Tunaombea hatua za haraka sana maana hawa watu before October 2020 wanaweza kutuumiza wengi ili wabaki madarakani.Wanafahamu fika kuwa wakiondolewa madarakani usalama wao ni mdogo(Wanatakiwa Mahakamani) kwa sababu wanayo makosa mengi ya kutisha including assassination,fraud and abduction.Siongei sana
View attachment 1342906
Na wenyewe wamechoka, wanampiga ban Makonda kwenda Marekani ataenda kufanya nini huko kwao. Ni sawa na mimi kunipiga ban kuwa rubani wa ndege wakati hata abc kuhusu hizo ndege sizijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye ban yake itakuja pamoja na ndugai, mambosasa , Jaffor ,n.k soon tutasikia. Kesho ni nzuri kuliko janaSisi ndo tuna raw materials, tuwapige ban US kule Geita kuchimba madini, jino kwa jino, SASA KAMA MKUU WA MKOA KAZUILIWA KUINGIA US ,ITAKUWAJE RAISI ALIYEZUIA MIKUTANO HALALI YA KIDEMOCRACIA?
Huyu mtu anatakiwa ahukumiwe adhabu ya kifo kwa kitanzi mpaka afe.Makonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.
1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
Mkuu hii bongo bila connection huwezi pata habari. Kuna watu hata habari za akina Mwijaku hawajapata hadi Leo kwa kukosa connextionMasogange aliwekewa sumu kwanini
Video footage kipindi anavamia clouds ni tuhuma?We jamaa vipi?
Yaani tuhuma za makosa ya jinai ambayo mengine hata ushahidi wenyewe ni kuunganisha dots zaidi ndo violation of human rights ya kumpiga mtu travel ban?
Tuhuma za utekaji unampiga mtu travel ban?
Wauseme tu ukweli badala ya kuzunguka mbuyu.
Masimango hayo,mwaga vituMkuu hii bongo bila connection huwezi pata habari. Kuna watu hata habari za akina Mwijaku hawajapata hadi Leo kwa kukosa connextion
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Kwani tumewaomba.
Mlipokuwa mbapokea misaada/mikopo yao haukua upendo ule?Sikumbuki ni lini mtu mweupe akawa na jema kwa ngozi nyeusi.
Hivi si ndio hawa hawa walikuwa wanapiga babu zetu mijeledi na kuyaita makazi yao bara la giza??
Hivi ni lini wamepata upendo wa ghafla mpaka wakaamua kutupigania ili tupate demokrasia??
Hivi unafikiri kuna anayefurahia kupokea hiyo mikopo.