Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Yaani wewe ni mjinga na kama ameenda shule basi elimu haijakusaidia. Ukiona wapi tajiri anamwogopa maskini. Mabeberu wamwogope Magu hizo story za abunuasi
 
Umeelewa neno "Gross" ?

Human violations zinafanyika sana, Makonda kapitiliza kiwango.

Angalia matukio yake baadhi utajifunza kitu.

1. Kuvamia ofisi za clouds

2. Kutekwa na kutabiri kuja kwa Roma.

3. MO kupotea.

4. Kumtishia mbunge wa Sumbawanga asikanyage Dar, atakiona cha moto.

5. Nape kuvamiwa kwenye ile press conference baada ya kutaka kuchukua hatua dhidi ya Makonda kuvamia ofisi za clouds.

Na mengine siyajui, US intelligence wanayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa vipi?

Yaani tuhuma za makosa ya jinai ambayo mengine hata ushahidi wenyewe ni kuunganisha dots zaidi ndo violation of human rights ya kumpiga mtu travel ban?

Tuhuma za utekaji unampiga mtu travel ban?

Wauseme tu ukweli badala ya kuzunguka mbuyu.
 
Huu ni muendelezo wa mpango huu

P
Katika andiko hili nilikuuliza ,ni kwa nini viongozi wetu waruhusu mianya ya Marekani kuwashughulikia ?

Tukipata majibu basi tujue tatizo ni sisi sio Marekani
 
Tunaombea hatua za haraka sana maana hawa watu before October 2020 wanaweza kutuumiza wengi ili wabaki madarakani.Wanafahamu fika kuwa wakiondolewa madarakani usalama wao ni mdogo(Wanatakiwa Mahakamani) kwa sababu wanayo makosa mengi ya kutisha including assassination,fraud and abduction.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani ni Mbinguni?
Jitoe ufahamu tu.
tapatalk_jpeg_1580290159593.jpeg


dodge
 
Sisi ndo tuna raw materials, tuwapige ban US kule Geita kuchimba madini, jino kwa jino, SASA KAMA MKUU WA MKOA KAZUILIWA KUINGIA US ,ITAKUWAJE RAISI ALIYEZUIA MIKUTANO HALALI YA KIDEMOCRACIA?
Na yeye ban yake itakuja pamoja na ndugai, mambosasa , Jaffor ,n.k soon tutasikia. Kesho ni nzuri kuliko jana
 
Makonda aka Bashite hajawahi kufanya jambo bila kuacha alama...Haya ni machache tu ila yapo mengi sana aliyofanya ambayo yanakandamiza haki za binadamu na uhuru wa kuishi....Bashite anafanya hayo akikingiwa kifua na Baba Yake Meko na Mjomba wao Hi Now.

1.Bashite anahusika 100% kwa kuawawa kwa Ben Saanane.
2.Bashite anahusika 100% kwa shambulio la Lissu.
Huyu mtu anatakiwa ahukumiwe adhabu ya kifo kwa kitanzi mpaka afe.
 
We jamaa vipi?

Yaani tuhuma za makosa ya jinai ambayo mengine hata ushahidi wenyewe ni kuunganisha dots zaidi ndo violation of human rights ya kumpiga mtu travel ban?

Tuhuma za utekaji unampiga mtu travel ban?

Wauseme tu ukweli badala ya kuzunguka mbuyu.
Video footage kipindi anavamia clouds ni tuhuma?

Matukio yote ya utekaji hayana muhusika tunaishia kusema, wasiojulikana, does it make sense?

Acha kuwa ndani ya box we msela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawaogopa Huku Bado Mwawaomba Msaada

Kama Mnajikubali Mnapapatika Nini Kulalama Kila Wakati Baniani Mbaya Eeeh.p
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kupaa ni dakika tu Makonda tayari U S wamempaisha kajulikana dunia nzima
Sijui kawekeza nini huko,au ndo mwanzo wa maandalizi ya 2025.kwanza ajulikane na avume wamtengenezee watetezi kisha ionekane mzalendo wa kweli, safari ni ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikumbuki ni lini mtu mweupe akawa na jema kwa ngozi nyeusi.

Hivi si ndio hawa hawa walikuwa wanapiga babu zetu mijeledi na kuyaita makazi yao bara la giza??

Hivi ni lini wamepata upendo wa ghafla mpaka wakaamua kutupigania ili tupate demokrasia??
Mlipokuwa mbapokea misaada/mikopo yao haukua upendo ule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom