Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania


Marekani na chuki binafsi na Makonda wapi na wapi..Are you even serious?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hi
Huwa bashite anaangalia sehemu za Siri za sanamu akiendaga ulaya, Sasa hawataki ujinga huo marekani
Hivi mbona tunajitoa ufahamu? Ni kweli ili uishi ni lazima ufike USA? Mbona tunaendekeza vitu vingine ambavyo si lazima. Watanzania wangapi wameishia na kufanyakazi bilakufika nje ya Afrika na wanaendelea na maisha? Marekani si mbiguni ambako kila mmoja wetu anahofu ya kutotenda maovu ili sijehukumiwa kwa moto
 
Mchuma janga hula na wakwao.
 
Miradi ipi na mianya ipi?

Sifahamu kama USA wana mradi wowote hapa kwetu zaidi ya wao kuwekeza na au kutupa misaada.

Tufahamishe hiyo miradi na ukishindwa basi wewe ni muongo.
Leo umeongea fact Dada faizafoxy ujue sijui tuna akili za kushikiwa sisi jamani ccm yangu naililia kwa kuenda shimoni kiss wachache wenye uchu wa madaraka ila mungu yupo ccm italudi kwenye misingi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa imenichukua dakika tano kuelewa HI NOW
 
Picha linaanza tunachoma moto vichaka vya kukimbilia ili CDM itakapo chukua nchi tusipate tabu ya kutafutana huku na kule tunaanza kwa kuwaokota hap hapa na kuwasongesha mbele ya sheria

Kwa taarifa yenu ni mpango wa mbali sana usioweza kuuona kwa jicho la karibu ila get prepared you'll all pay the price ya kuua demokrasia kwa maslahi yenu binafsi kazi kazi tu haina kufeli ... in Samagoal voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemkumbuka mwalimu wamgu Head Master ktk sekondari aliitwa Claudio Kaseha( R.I.P) alikuwa akikuweka kwenye Kitabu kilichoitwa Black Book. Hii ilikuwa kwa wanafunza waliovuka mipaka kwa ukorofi na utovu wa nidhamu.

Black Book ilikuwa inatisha. POLE SANA AWAMU YA TANO, TULIWAONYA SANA, TUMEPIGA MAOMBI SANA.
 
Hili swala ingawaje linamhusu mtu binafsi ila haileti picha nzuri kwa nchi yetu ambayo ina heshima duniani. ...ifike wakati ndugu huyu hata kama mamlaka za uteuzi hazijamwondoa basi yeye ajiondoe mwenyewe kwa heshima ya Taifa letu
 
January imeisha vizuri sanaa wallah, natuamini kuanzia jumatatu ijayo tutasikia habari nyingine motomoto kutoka kwa "MABEBERU"
 
Mabeberu wanamuogopa jemedari wetu JPM amezuia mianya yao ya upigaji kupitia miradi yao ya hovyo huku na vibaraka wao..JPM anawanyoosha mabeberu sasa wameanza chokochoko..
Kama kweli kawanyoosha, mbona mnalilia pesa zao hadi mnapendekeza zitto auawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…