Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

Kwa hakika kabisa Bunge la tanzania ni mzigo, hasa hao wabunge wa ccm. Kuna wakati huwa nadhani ingekuwa bora lisiwepo tu tujipange kwanza tukiwa tayari kuwa nalo ndio lirudishwe.
 
Kama hauna tija wala manufaa kwa Taifa Waambie Chadema wajiudhuru nafasi zao za Ubunge na kutopokea Posho uone cha mtemakuni!
 
Kwa kazi wanayofanya kwa sasa hata kama Tanzania ingekuwa na Bunge lenye wabunge wanne tu wenye uzalendo wa kweli tungekuwa vizuri,

Ubunge kwa sasa imekuwa kama "ceremonial post" taifa limebeba mzigo mkubwa wenye faida kidogo sana na kuacha wananchi wenye faida kubwa kwa taifa.
 
Wasalaam.!
Ni wazi kuwa huwezi kulinganisha bunge la JMT la kipindi cha Marehemu Mzee Sita, Mama Makinda na hili la Dada Tu maana sioni kama Job ni bunge lake naona amemezwa kwahakika na Dada hyo.
Nmejkuta naona kabsa bunge halina mvuto tena zamani Kwny bunge la mama Makinda ilikuw watu wanafuatilia sana kujua nani ataongea mpk ratba wanajua lkn kipind hiki bunge linaanza hakuna yeyote anayejua zaid ya taasis na ofis kubwa kubwa.
Hata huku JF hakuna post nyingi za kuchambua matukio yaliyojtokeza ktk bunge kama zamani ilikuw humu unakuta mijadala ya bungen yaliyojiri yote unayakuta humu.
Katibu wa bunge na viongoz waandamiz sambamba na wabunge wenyew naomba mfanye tafiti kwann hii hali ipo hivi na mjipime je ni haki kuendelea hivi?

Naomba kuwasilisha wadau.!
 
.
tapatalk_1519969548904.jpeg
 
Limekuwa Bunge uchwara na wa kulaumiwa ni huyo huyo dhalimu ambaye ameamua kulifanya kama ni kitengo chake. Hana mamlaka huyu ya kuropoka ropoka hivi ili kuminya uhuru wa Wabunge.

Wasalaam.!
Ni wazi kuwa huwezi kulinganisha bunge la JMT la kipindi cha Marehemu Mzee Sita, Mama Makinda na hili la Dada Tu maana sioni kama Job ni bunge lake naona amemezwa kwahakika na Dada hyo.
Nmejkuta naona kabsa bunge halina mvuto tena zamani Kwny bunge la mama Makinda ilikuw watu wanafuatilia sana kujua nani ataongea mpk ratba wanajua lkn kipind hiki bunge linaanza hakuna yeyote anayejua zaid ya taasis na ofis kubwa kubwa.
Hata huku JF hakuna post nyingi za kuchambua matukio yaliyojtokeza ktk bunge kama zamani ilikuw humu unakuta mijadala ya bungen yaliyojiri yote unayakuta humu.
Katibu wa bunge na viongoz waandamiz sambamba na wabunge wenyew naomba mfanye tafiti kwann hii hali ipo hivi na mjipime je ni haki kuendelea hivi?

Naomba kuwasilisha wadau.!
 
Tulishasema sana kuhusu hili bunge (herufi ndogo). Naona unataka kuturudisha nyuma. Hili bunge la ndugai (herufi ndogo) ni bunge la hovyoo na halijawahi kutokea katika historia ya Tanzania. Ndiyo maana naliandika kwa herufi ndogo. Viongozi wake ni vivyo hivyo akina ndugai na tulia. Litapata wapi mvuto na heshima! Isitoshe, bunge lenyewe halijitambui kama lina wajibu wa kuisimamia serikali, badala yake lenyewe linasimamiwa na serikali. Hovyooo!
 
Wasalaam.!
Ni wazi kuwa huwezi kulinganisha bunge la JMT la kipindi cha Marehemu Mzee Sita, Mama Makinda na hili la Dada Tu maana sioni kama Job ni bunge lake naona amemezwa kwahakika na Dada hyo.
Nmejkuta naona kabsa bunge halina mvuto tena zamani Kwny bunge la mama Makinda ilikuw watu wanafuatilia sana kujua nani ataongea mpk ratba wanajua lkn kipind hiki bunge linaanza hakuna yeyote anayejua zaid ya taasis na ofis kubwa kubwa.
Hata huku JF hakuna post nyingi za kuchambua matukio yaliyojtokeza ktk bunge kama zamani ilikuw humu unakuta mijadala ya bungen yaliyojiri yote unayakuta humu.
Katibu wa bunge na viongoz waandamiz sambamba na wabunge wenyew naomba mfanye tafiti kwann hii hali ipo hivi na mjipime je ni haki kuendelea hivi?

Naomba kuwasilisha wadau.!

Hawataki kusikia hoja za kitaifa. Wanataka hoja zao mfu za uahribifu na ubadhirifu ziwekewe sheria na ndiyo sababu hawakutaka mtu asikie kinachofanyika kule. Hilo ndildo bunge.

Sasa hivi wako kuzimua miradi. Lazima msikilize. Pengine itawekwa shesria kama hutasikiliza uzimuzi wa miradi, "ushitakiwe ama uuliwe;
 
Hivi nyie mnaoandika NYUZI ni nani amewapa kubali cha kujenerolize mawazo ya watanzania..?
 
Si mlisema bunge limekuwa kikao cha wachawi kufanyika gizani,tulieni munataka mvuto gani.
 
Back
Top Bottom