Cheology
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 384
- 601
Petition ni doc ambayo ikowa na saini za walengwa wanasheria wakaisimamia Inashinda vzr tuHakuna mahala tutakusanyikia nakupiga hiyo kula, labda maandamano ya Nchi nzima kuelekea Bungeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Petition ni doc ambayo ikowa na saini za walengwa wanasheria wakaisimamia Inashinda vzr tuHakuna mahala tutakusanyikia nakupiga hiyo kula, labda maandamano ya Nchi nzima kuelekea Bungeni.
PetitionHiki chombo ni mhimili muhum sana katika serikali.
Tukianza na Serikali haina shida
Mahakama haina tatizo
Shida ipo bunge
1. Chombo kinachotumia pesa nyingi bila tija.
2. Wahuni hujikusanya pale na kutudanganya.
3. Sekta nyingi muhimu zinahitaji pesa jeshi la kisasa, kukuza uchumi na elimu na kiteknolojia.
4. Hawa darasa la saba wanatuchezea akili zetu kwa kulipwa mishahara na kutembelea magari ya gharama.
5. Bunge liwe na wawakilishi waliopo katika ofisi ya DC na RC na madiwani na wenye viti wa vitongoji na vijiji.
RC na DC wawe wanagombea na si uteuzi. Kamati za bunge zitokane na timu ya kuanzia mwalimu hadi ngazi ya RC representative's.
Bunge pamekuwa sehemu ya kupata fedha zenye dhulma.
- Utalipajwe 10mil+?
- Who are you?
- Je Dr hana thamani?
- Mwl hana thamani?
Why
- Bunge ni sehem ya kujitwalia pesa za burebure
- Bunge pamekuwa na kupotezea wkt na hoja kichovu.
NB watakaokuwa wawakilishi wabunge wawe na elimu ya chuo na sio la saba.
Naomba kutoa hoja.
Wewe ndio mngeze na maku kwa kuandia utumbo, omba mods warekebishe headingPetition acha ungeze wewe maku