Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Bunge limekuwa Instagram na linaendeshwa na mtu mmoja tuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie vijana wa smart phones Hamna lolote mnalolijua zaidi ya sasa. Ungejua bunge lilivyo kuwa enzi ya Nyerere usinge sema hivyo. Mambo yaliyo kuwa yaki jadiliwa huko ni ujamaa ujamaa ujamaa.Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili.
Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge linakula posho bila michango chanya kwa taifa zaidi ya mipasho na malumbano ya kijinga. Kwa Tanzania bunge ni chombo cha kula posho tu na kupiga meza hakuna ambacho bunge linaweza kufanya chenye tija kwa taifa hili.
Bunge linaamuliwa mambo ya kufanya, Bunge haliwezi kujisimamia katika maamuzi yake lenyewe. Bunge halieleweki lina simamia nini, lipo kama ishara ya Bunge katika taifa. Maamuzi ya Bunge yanaweza kupindishwa hata na Mkuu wa Wilaya au Mkoa na ikiwezekana hata Mwenyekiti wa chama wilaya anaweza kulitunishia misuli Bunge.
Bunge la hivi la nini wakati halina faida kwenye nchi hata kwa 10%? Bora livunjwe pesa za posho na marupurupu mengine ziende kupeleka huduma kwa wananchi maana halina faida na halijui majukumu ya Bunge.
Si spika wa Bunge wala mwenyekiti wa Bunge, si Naibu wala Katibu na wabunge wote wanaojua umuhimu wa Bunge kuwepo.
Nasema hawajui tena hawajui wapo pale kula posho maana bado matatizo katika jamii yapo kwa kiwango kile kile kila mwaka mf.
1. Njia ni za msimu wa kiangazi tu masika hazipitiki na ni tangu uhuru
2. Maji bado shida sehemu kubwa ya nchi tangu uhuru
3. Umeme bado ni shida kwa wiki mnautumia siku tatu au nne tena kwa masaa
4. Huduma za afya na dawa bado shida palepale tangu uhuru
5. Elimu ndio kabisa ipo mahututi
Bunge linasema hivi na kuamua hivi lakini Serikali inafanya hivi na kuamua vile. Bunge hili la nini na linatumia pesa nyingi kujiendesha tena bila faida? Bunge lifutwe na lisiwepo kabisa, halina faida bunge hili.
Nawasilisha
usicheke hawa majamaa wanaenda kusutana tu huko hakuna lolote wanalofanya na sasa wanapokea amri ni mhimili ambao unahitaji kujisimamia kutunga sheria lakini sasa hawana lolote tulia na yule mgonjwa wakishapokea amri wanafanya wanalotaka sasa kuna haja gani ya hawa jamaa kuwepo pale ?Hahahahaaaaas woii8iiiii
wewe mzee mwenye nokia ya tochi pia hujielewi ...................Nyie vijana wa smart phones Hamna lolote mnalolijua zaidi ya sasa. Ungejua bunge lilivyo kuwa enzi ya Nyerere usinge sema hivyo. Mambo yaliyo kuwa yaki jadiliwa huko ni ujamaa ujamaa ujamaa.
wewe ni sawa na matako tu kazi yake kubwa ni kukalia na kulisitiri tundu la kutolea samadi, kibali kwenye kutoa ukweli uliopo? mmezoea kuishi kwa kutishia watu manyang'au nyie, huna akili wwe,Hivi nyie mnaoandika NYUZI ni nani amewapa kubali cha kujenerolize mawazo ya watanzania..?
Mtu anaekataa kuongozwa na mpumbav/mjinga inabidi atafute namna ya yeye kuwa kiongozi, ili kwa uelewa wake awaongoze wajinga.Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili.
Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge linakula posho bila michango chanya kwa taifa zaidi ya mipasho na malumbano ya kijinga. Kwa Tanzania bunge ni chombo cha kula posho tu na kupiga meza hakuna ambacho bunge linaweza kufanya chenye tija kwa taifa hili.
Bunge linaamuliwa mambo ya kufanya, Bunge haliwezi kujisimamia katika maamuzi yake lenyewe. Bunge halieleweki lina simamia nini, lipo kama ishara ya Bunge katika taifa. Maamuzi ya Bunge yanaweza kupindishwa hata na Mkuu wa Wilaya au Mkoa na ikiwezekana hata Mwenyekiti wa chama wilaya anaweza kulitunishia misuli Bunge.
Bunge la hivi la nini wakati halina faida kwenye nchi hata kwa 10%? Bora livunjwe pesa za posho na marupurupu mengine ziende kupeleka huduma kwa wananchi maana halina faida na halijui majukumu ya Bunge.
Si spika wa Bunge wala mwenyekiti wa Bunge, si Naibu wala Katibu na wabunge wote wanaojua umuhimu wa Bunge kuwepo.
Nasema hawajui tena hawajui wapo pale kula posho maana bado matatizo katika jamii yapo kwa kiwango kile kile kila mwaka mf.
1. Njia ni za msimu wa kiangazi tu masika hazipitiki na ni tangu uhuru
2. Maji bado shida sehemu kubwa ya nchi tangu uhuru
3. Umeme bado ni shida kwa wiki mnautumia siku tatu au nne tena kwa masaa
4. Huduma za afya na dawa bado shida palepale tangu uhuru
5. Elimu ndio kabisa ipo mahututi
Bunge linasema hivi na kuamua hivi lakini Serikali inafanya hivi na kuamua vile. Bunge hili la nini na linatumia pesa nyingi kujiendesha tena bila faida? Bunge lifutwe na lisiwepo kabisa, halina faida bunge hili.
Nawasilisha
kwa akili.zako zilivuo kutokana na ulicho andika hapa ni hakika kabisa waweza mruhusu mke wako aingiliwe kinyume na maumbile ili upate pesa ya kujikimu, nalijua bunge na majukumu yake sihitaji bunge la historia,Nyie vijana wa smart phones Hamna lolote mnalolijua zaidi ya sasa. Ungejua bunge lilivyo kuwa enzi ya Nyerere usinge sema hivyo. Mambo yaliyo kuwa yaki jadiliwa huko ni ujamaa ujamaa ujamaa.
tatizo ni kwamba hao wapumbavu wanaingia madarakani.kwa mtutu wa bunduki ambao ulirithiwa tangu zama za kale kitu ambacho mwenye akili hahitaji maana mwenye akili anahitaji kuingia kwa kufuata kanuni rasmi.Mtu anaekataa kuongozwa na mpumbav/mjinga inabidi atafute namna ya yeye kuwa kiongozi, ili kwa uelewa wake awaongoze wajinga.
Lakini iwapo mwenye akili, atakataa kuongoza basi ataongozwa na hao wajinga. so nakushauri chukua nafasi ukatuongozee bunge
hakuna wanalofanya blabla halafu wakitoka mule ni kwenda kulewa na kukazana na wanafunzi wa vyuo na mashule wanapoteza pesa bure kabisaMulhat Mpunga
Mkuu mijitu mingine inaudhi sijui wanatumia nini kufikiri?
Maana kwa mtu mwenye akili timamu huwezi sema eti tuna Bunge.
Bunge ambalo kazi kuchukua posho na kupga vigelegele hata kichaa anaweza
ona huyo bint kulia yupo bize na selfie hana habar na kinacho endelea na wakati huo waziri anawasilisha , na wengine kina mwigulu wapo bize na kikao chao ndani ya kikao hawana habar wala umakini.wowote ule kama wabunge, si ni ushenzi huuuWabunge..View attachment 733788
Sioni faida ya hili Bunge,kila kitu ndio,hawaipi changamoto serikali.ona huyo bint kulia yupo bize na selfie hana habar na kinacho endelea na wakati huo waziri anawasilisha , na wengine kina mwigulu wapo bize na kikao chao ndani ya kikao hawana habar wala umakini.wowote ule kama wabunge, si ni ushenzi huuu
wabunge kama hao wasio jua hata uzito.wa.nafasi walio nayo wa.kazi gani mwisho eanasikiia ndiyoooo na wao wanadakia huku hawajui nini kinapitishwa tanzania tina bunge la kipauuzi sana, ndio maana hatuwezi piga hatua kabisaaaa
jana tunadanganywa Ooooh tatizo la umeme limeisha wakati kuna sehemu tangu juzi hakuna umeme hadi dakika hii nchi ya kipumbavu.hiii imejaa uongo
Hoja yako ni kunitukana au hoja yako ni kuonyesha umuhimu wa bunge..bado sijakupatawewe ni sawa na matako tu kazi yake kubwa ni kukalia na kulisitiri tundu la kutolea samadi, kibali kwenye kutoa ukweli uliopo? mmezoea kuishi kwa kutishia watu manyang'au nyie, huna akili wwe,
wengine hatuishi kwa kuwatumikia wajinga, tunajiendesha wenyewe kwa akili zetu shwain. wengi wa watanzania wenye akili timamu kwa ujumla wao hawaoni faida ya bunge hili la wala posho na wapiga soga bungeni, hawajui hata umuhimu wa wao kuwepo bungeni
Na kila siku wanagawana viwanja wanavyoviita majimbo ya uchaguziKwa kazi wanayofanya kwa sasa hata kama Tanzania ingekuwa na Bunge lenye wabunge wanne tu wenye uzalendo wa kweli tungekuwa vizuri,
Ubunge kwa sasa imekuwa kama "ceremonial post" taifa limebeba mzigo mkubwa wenye faida kidogo sana na kuacha wananchi wenye faida kubwa kwa taifa.
Wewe kamba kweli. Unafikiri bila historia unaweza pata akili ya kuendeleza jambo?kwa akili.zako zilivuo kutokana na ulicho andika hapa ni hakika kabisa waweza mruhusu mke wako aingiliwe kinyume na maumbile ili upate pesa ya kujikimu, nalijua bunge na majukumu yake sihitaji bunge la historia,
bunge haliendeshwi kwa historia bali lina endeshwa kwa kanuni na pia majukumu ya wabunge haya zingatii historia za mabunge yaliyo pita bali yanazingatia wajibu wa bunge kwa mujibu wa katiba, peleka ujinga wako chooni kaunye huko pengine utapungua.