Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili.

Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge linakula posho bila michango chanya kwa taifa zaidi ya mipasho na malumbano ya kijinga. Kwa Tanzania bunge ni chombo cha kula posho tu na kupiga meza hakuna ambacho bunge linaweza kufanya chenye tija kwa taifa hili.

Bunge linaamuliwa mambo ya kufanya, Bunge haliwezi kujisimamia katika maamuzi yake lenyewe. Bunge halieleweki lina simamia nini, lipo kama ishara ya Bunge katika taifa. Maamuzi ya Bunge yanaweza kupindishwa hata na Mkuu wa Wilaya au Mkoa na ikiwezekana hata Mwenyekiti wa chama wilaya anaweza kulitunishia misuli Bunge.

Bunge la hivi la nini wakati halina faida kwenye nchi hata kwa 10%? Bora livunjwe pesa za posho na marupurupu mengine ziende kupeleka huduma kwa wananchi maana halina faida na halijui majukumu ya Bunge.

Si spika wa Bunge wala mwenyekiti wa Bunge, si Naibu wala Katibu na wabunge wote wanaojua umuhimu wa Bunge kuwepo.

Nasema hawajui tena hawajui wapo pale kula posho maana bado matatizo katika jamii yapo kwa kiwango kile kile kila mwaka mf.

1. Njia ni za msimu wa kiangazi tu masika hazipitiki na ni tangu uhuru

2. Maji bado shida sehemu kubwa ya nchi tangu uhuru

3. Umeme bado ni shida kwa wiki mnautumia siku tatu au nne tena kwa masaa

4. Huduma za afya na dawa bado shida palepale tangu uhuru

5. Elimu ndio kabisa ipo mahututi

Bunge linasema hivi na kuamua hivi lakini Serikali inafanya hivi na kuamua vile. Bunge hili la nini na linatumia pesa nyingi kujiendesha tena bila faida? Bunge lifutwe na lisiwepo kabisa, halina faida bunge hili.

Nawasilisha
Nyie vijana wa smart phones Hamna lolote mnalolijua zaidi ya sasa. Ungejua bunge lilivyo kuwa enzi ya Nyerere usinge sema hivyo. Mambo yaliyo kuwa yaki jadiliwa huko ni ujamaa ujamaa ujamaa.
 
BUNGE LA HOVYO SNA.HAIJAFIKA HATA ROBO YA MAKINDA.YANI NI KICHEFUCHEFU.NI BORA IFUTWE TUBAKI NA MZEE WA MAGOGONI
 
Hahahahaaaaas woii8iiiii
usicheke hawa majamaa wanaenda kusutana tu huko hakuna lolote wanalofanya na sasa wanapokea amri ni mhimili ambao unahitaji kujisimamia kutunga sheria lakini sasa hawana lolote tulia na yule mgonjwa wakishapokea amri wanafanya wanalotaka sasa kuna haja gani ya hawa jamaa kuwepo pale ?
 
Nyie vijana wa smart phones Hamna lolote mnalolijua zaidi ya sasa. Ungejua bunge lilivyo kuwa enzi ya Nyerere usinge sema hivyo. Mambo yaliyo kuwa yaki jadiliwa huko ni ujamaa ujamaa ujamaa.
wewe mzee mwenye nokia ya tochi pia hujielewi ...................
kwa sasa si bunge tu mahakama bunge nk nk nk ni bure kabisa wanapokea amri toka sehemu..............
 
Mimi niwe muwazi mapema.Nitakua wa mwisho kuliamini bunge letu.Na inahitaji moyo mgumu kulifuatilia.Ile minyukano majimboni;rafu zinazochezwa ili kuingia mjengoni,ni ishara tosha kabisa kwamba kinachofukuziwa ni ulaji na si maslahi ya umma.
 
Hivi nyie mnaoandika NYUZI ni nani amewapa kubali cha kujenerolize mawazo ya watanzania..?
wewe ni sawa na matako tu kazi yake kubwa ni kukalia na kulisitiri tundu la kutolea samadi, kibali kwenye kutoa ukweli uliopo? mmezoea kuishi kwa kutishia watu manyang'au nyie, huna akili wwe,

wengine hatuishi kwa kuwatumikia wajinga, tunajiendesha wenyewe kwa akili zetu shwain. wengi wa watanzania wenye akili timamu kwa ujumla wao hawaoni faida ya bunge hili la wala posho na wapiga soga bungeni, hawajui hata umuhimu wa wao kuwepo bungeni
 
Wabunge..
IMG_20180403_191413.jpg
 
Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili.

Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge linakula posho bila michango chanya kwa taifa zaidi ya mipasho na malumbano ya kijinga. Kwa Tanzania bunge ni chombo cha kula posho tu na kupiga meza hakuna ambacho bunge linaweza kufanya chenye tija kwa taifa hili.

Bunge linaamuliwa mambo ya kufanya, Bunge haliwezi kujisimamia katika maamuzi yake lenyewe. Bunge halieleweki lina simamia nini, lipo kama ishara ya Bunge katika taifa. Maamuzi ya Bunge yanaweza kupindishwa hata na Mkuu wa Wilaya au Mkoa na ikiwezekana hata Mwenyekiti wa chama wilaya anaweza kulitunishia misuli Bunge.

Bunge la hivi la nini wakati halina faida kwenye nchi hata kwa 10%? Bora livunjwe pesa za posho na marupurupu mengine ziende kupeleka huduma kwa wananchi maana halina faida na halijui majukumu ya Bunge.

Si spika wa Bunge wala mwenyekiti wa Bunge, si Naibu wala Katibu na wabunge wote wanaojua umuhimu wa Bunge kuwepo.

Nasema hawajui tena hawajui wapo pale kula posho maana bado matatizo katika jamii yapo kwa kiwango kile kile kila mwaka mf.

1. Njia ni za msimu wa kiangazi tu masika hazipitiki na ni tangu uhuru

2. Maji bado shida sehemu kubwa ya nchi tangu uhuru

3. Umeme bado ni shida kwa wiki mnautumia siku tatu au nne tena kwa masaa

4. Huduma za afya na dawa bado shida palepale tangu uhuru

5. Elimu ndio kabisa ipo mahututi

Bunge linasema hivi na kuamua hivi lakini Serikali inafanya hivi na kuamua vile. Bunge hili la nini na linatumia pesa nyingi kujiendesha tena bila faida? Bunge lifutwe na lisiwepo kabisa, halina faida bunge hili.

Nawasilisha
Mtu anaekataa kuongozwa na mpumbav/mjinga inabidi atafute namna ya yeye kuwa kiongozi, ili kwa uelewa wake awaongoze wajinga.
Lakini iwapo mwenye akili, atakataa kuongoza basi ataongozwa na hao wajinga. so nakushauri chukua nafasi ukatuongozee bunge
 
Nyie vijana wa smart phones Hamna lolote mnalolijua zaidi ya sasa. Ungejua bunge lilivyo kuwa enzi ya Nyerere usinge sema hivyo. Mambo yaliyo kuwa yaki jadiliwa huko ni ujamaa ujamaa ujamaa.
kwa akili.zako zilivuo kutokana na ulicho andika hapa ni hakika kabisa waweza mruhusu mke wako aingiliwe kinyume na maumbile ili upate pesa ya kujikimu, nalijua bunge na majukumu yake sihitaji bunge la historia,

bunge haliendeshwi kwa historia bali lina endeshwa kwa kanuni na pia majukumu ya wabunge haya zingatii historia za mabunge yaliyo pita bali yanazingatia wajibu wa bunge kwa mujibu wa katiba, peleka ujinga wako chooni kaunye huko pengine utapungua.
 
Mtu anaekataa kuongozwa na mpumbav/mjinga inabidi atafute namna ya yeye kuwa kiongozi, ili kwa uelewa wake awaongoze wajinga.
Lakini iwapo mwenye akili, atakataa kuongoza basi ataongozwa na hao wajinga. so nakushauri chukua nafasi ukatuongozee bunge
tatizo ni kwamba hao wapumbavu wanaingia madarakani.kwa mtutu wa bunduki ambao ulirithiwa tangu zama za kale kitu ambacho mwenye akili hahitaji maana mwenye akili anahitaji kuingia kwa kufuata kanuni rasmi.
 
Mulhat Mpunga
Mkuu mijitu mingine inaudhi sijui wanatumia nini kufikiri?
Maana kwa mtu mwenye akili timamu huwezi sema eti tuna Bunge.
Bunge ambalo kazi kuchukua posho na kupga vigelegele hata kichaa anaweza
hakuna wanalofanya blabla halafu wakitoka mule ni kwenda kulewa na kukazana na wanafunzi wa vyuo na mashule wanapoteza pesa bure kabisa
 
ona huyo bint kulia yupo bize na selfie hana habar na kinacho endelea na wakati huo waziri anawasilisha , na wengine kina mwigulu wapo bize na kikao chao ndani ya kikao hawana habar wala umakini.wowote ule kama wabunge, si ni ushenzi huuu

wabunge kama hao wasio jua hata uzito.wa.nafasi walio nayo wa.kazi gani mwisho eanasikiia ndiyoooo na wao wanadakia huku hawajui nini kinapitishwa tanzania tina bunge la kipauuzi sana, ndio maana hatuwezi piga hatua kabisaaaa

jana tunadanganywa Ooooh tatizo la umeme limeisha wakati kuna sehemu tangu juzi hakuna umeme hadi dakika hii nchi ya kipumbavu.hiii imejaa uongo
 
Sioni faida ya hili Bunge,kila kitu ndio,hawaipi changamoto serikali.
 
Mi nilipoona Magufuli amemteua Tulia Atkinson kuwa naibu spika kupitia mgongo wa nyuma ni kajua baaasi hatuna bunge tena. Matokeo yake tunayaona ka mama haka kila zikija hoja zenye nguvu kanaingilia na kufunika ili bosi wake wa magogoni asikasirike. Kwa kweli for the time being we have bulldogs in the parliament building.
 
wewe ni sawa na matako tu kazi yake kubwa ni kukalia na kulisitiri tundu la kutolea samadi, kibali kwenye kutoa ukweli uliopo? mmezoea kuishi kwa kutishia watu manyang'au nyie, huna akili wwe,

wengine hatuishi kwa kuwatumikia wajinga, tunajiendesha wenyewe kwa akili zetu shwain. wengi wa watanzania wenye akili timamu kwa ujumla wao hawaoni faida ya bunge hili la wala posho na wapiga soga bungeni, hawajui hata umuhimu wa wao kuwepo bungeni
Hoja yako ni kunitukana au hoja yako ni kuonyesha umuhimu wa bunge..bado sijakupata
 
bunge lenyewe limejaa vilaza tu...!!
 
Kwa kazi wanayofanya kwa sasa hata kama Tanzania ingekuwa na Bunge lenye wabunge wanne tu wenye uzalendo wa kweli tungekuwa vizuri,

Ubunge kwa sasa imekuwa kama "ceremonial post" taifa limebeba mzigo mkubwa wenye faida kidogo sana na kuacha wananchi wenye faida kubwa kwa taifa.
Na kila siku wanagawana viwanja wanavyoviita majimbo ya uchaguzi
 
kwa akili.zako zilivuo kutokana na ulicho andika hapa ni hakika kabisa waweza mruhusu mke wako aingiliwe kinyume na maumbile ili upate pesa ya kujikimu, nalijua bunge na majukumu yake sihitaji bunge la historia,

bunge haliendeshwi kwa historia bali lina endeshwa kwa kanuni na pia majukumu ya wabunge haya zingatii historia za mabunge yaliyo pita bali yanazingatia wajibu wa bunge kwa mujibu wa katiba, peleka ujinga wako chooni kaunye huko pengine utapungua.
Wewe kamba kweli. Unafikiri bila historia unaweza pata akili ya kuendeleza jambo?

Maendeleo ya binadam yanaenda sambamba na historia. Historia ndiyo inayo wapa vizazi vifuatavyo kioo cha kutambua wapi walitoka na makosa gani yalifanyika na kitu gani kitendekee ili maisha yawe comfortable kwa jamii au kizazi kinacho exist now.

Nakupa mfano; Warumi, wa giriki na wa egypt waliendelea sana kiutawala na ki-technik, lakini wakati wa Medieval binadam aliishi bila kuangalia historia ikoje. Matokeo yake nafikiri unayajua kwa sababu za vita iliyo kuwa inatokea.

Mambo mengi sana ya ovyo yalitokea. Watu salirudi nyuma kimawazo na kifikra. Lakini baada ya kipindi hicho kwisha watu wali ishi maisha yao kwa vigezo vya Historia. Tazama hapo mambo mengi yanabadilika sana na ndiyo mwanzo wa democracy.

Sasa jiulize kwa nini democracy haikutokea katika kipindi cha Medieval?
 
Back
Top Bottom