Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

Wasiofahamu Siasa za kimataifa wanaona jambo kubwa sana na wengine wanahisi Tayari wanachukua Nchi

Magharibi wameishambulia sana Saudia kwny kadhia ya Mwandishi Khashoghi alieuwawa Ubalozi wa Saudia kule Uturuki

Lakin biashara na mambo mengine yanaendelea kama kawaida na hao Wazungu

Wazungu wanakuwa serious na Wewe ukiwakazia kwny mambo yao hizi zingine ni kitchen Talks tu

Sie tunaminya Demokrasia kuliko Rwanda na Uganda?
Usifananishe Saudia na nchi kama Tz. Ulishawahi kusikia Saudia wanatembeza bakuli(ombaomba) kama Tz??

Fananisha Tz na Zimbabwe
 
Kwani hawajui kwamba Tanzania ni nchi huru? Wajadili haki za binadamu Ulaya ndio eneo lao. Wana mengi ya kujadili sio kujiingiza mambo ya nchi zingine.
Wanatoa hela yao kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii na wana miradi yao ya kiuchumi ivyo mambo yakienda ovyo na wao wanaathirika.

Lazima wafuatilie mambo yetu maana ata huo uhuru tulionao una mipaka...tuko huru kiasi tu lakini sio kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni.
 
Umoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe.

============

Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.

Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.

Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito.

Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.

Maccm huwa wwnajiona miamba,waangalie alichofsnywa Bashir wa sudani,Ghadafi Libya,
Wakubwa Hawa wakitaka Regime change ni faster,Lumumba,magogoni,au chamwino hawataweza kufsnya kitu.
 
Shule yako ndogo sana
Naweza kuifananisha Tanzania na Nchi yeyote Duniani, issue ni kuwa naifananisha katika eneo gani?

Naweza kufananisha Udongo wa Tandahimba na wa michigan au pua za watu weusi wa chato na watu weuzi waliopo visiwa vya Jamaica

Naweza kufananisha Malaya waliopo kwny Majumba ya Kamari ya London na wale walipo pale Lasvegas Casino dsm

Nimeifananisha Tanzania na Saudia kwny aspect ya hujuma dhidi ya Wapinzani, unakurupuka eti usifananishe na Saudia?
Kwani siwezi kufananisha kuku wa Kisasa wanaofugwa Saudia na Tanzania kwny aspect ya mchanganyiko wa chakula wanachokula?
Usifananishe Saudia na nchi kama Tz. Ulishawahi kusikia Saudia wanatembeza bakuli(ombaomba) kama Tz??

Fananisha Tz na Zimbabwe
 
Umoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe.

============

Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.

Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.

Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito.

Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.

EU yasema in imani inaridhishwa na mwelekeo wa utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan na itaendelea kuipa Tanzania misaada
 
Attachments

  • VID.mp4
    15.5 MB
Taifa la kijinga hili yaani mpaka tunyoshewe kidole Kama mitoto mijeuri
 
Umoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe.

============

Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.

Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.

Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito.

Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.

Am speechless.
 
CM 1774858 njoo huku uwasifie wazungu wako 😂😂😂
 
Kwani hawajui kwamba Tanzania ni nchi huru? Wajadili haki za binadamu Ulaya ndio eneo lao. Wana mengi ya kujadili sio kujiingiza mambo ya nchi zingine.
Kadri tutakavyo zidi kuwa ombaomba na kutegemea misaada kutoka nje lazima hao wanaotufadhili wawe na sauti katika maswala yetu na hata hivyo kwa nini tusiheshimu haki za binadamu?

Hii nchi sasa inafaa kabisa iwekewe vikwazo ili ishike adabu kwani imekuwa nchi ya hovyo sana.
 
Umoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe.

============

Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.

Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.

Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito.

Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.

Yan msitupangie jinsi ya kuishi yan mnataka kila mnachppenda nyie ndo tufanye?? Hii ni haki?? Yan mtu akanyage katiba na kutishia usalama wetu sisi wananchi na tusio hitaji hata hizo siasa zenu halafu mtu akifikishwa katika vyombo vya kutoa haki mnataka kupanga nyie uamuzi je sisi kwenu tunafanya hivi?? Mnatia hasira sana nyie eeeuu yaungekua huku bongo leo nilikua nastaafu na ww kwa njia ninayoijua mm..acheni kuingila mambo ya nchi yetu tuna mahakama na serikali makini mamaae zemu mbwawaa wadogo nyiee
 
02 December 2021
Brussels, EU

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge la Ulaya apoteza tumaini kutakuwepo jipya zuri chini ya utawala wa awamu ya 6 nchini Tanzania

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge la Ulaya asema bila kupepesa macho kuwa haoni tumaini jipya la utawala utakaokuwa tofauti na ule wa mwendazake Magufuli hata baada ya (8) minane ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kutoa matamko ya kukubali kukutana na vyama vya Upinzani.

Bunge la Ulaya limekuwa likifuatilia mambo yanayojiri ikuwemo kutuma wajumbe wake kuhudhuria kesi namba 16 ya mwaka 2021 ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na wenzake watatu( 3), kupitia balozi za nchi wanachama wa Jumuiya ya Ulaya zenye ofisi za ubalozi Dar es Salaam.

Wajumbe maalum walifika Dar es Salaam October 29, 2021 kukutana na mawaziri wa Tanzania wanaohudumu ktk wizara za mambo ya nje Dr. Liberata Mulamula na ile ya ulinzi chini ya Dr. Stergomena Lawrence Tax , wote ni mawaziri walio wanadiplomasia nguli lakini utawala wa sasa umeshindwa kushawishika hivyo unazidi kujichimbia na kazi ya kuendeleza yale ya utawala wa John Magufuli.

Wapinzani wanabambikiwa kesi feki, mikutano ya vyama vya siasa inaendelea kuzuiliwa, dai la katiba Mpya kutupwa kwa kisingizio cha kujenga uchumi, vyombo vya habari kuminywa kutoa habari, uhuru wa kujumuika unazidi kupigwa kabari kali kadri siku ziendavyo n.k mbali ya kuwa miezi 8 imepita baada ya utawala wa awamu ya sita kumrithi mwendazake John Magufuli.
 
CM1774858 katumia taarifa hii hii kuwaponda CHADEMA. Ama kweli kupenda ni hatari, uonapo chongo wewe huita kengeza.
 
Hakuna uhuru hapa

Kama tungekuwa huru wangekubali Magufuli aliposema hakuna Corona

Hatupo huru muda wowote wanafanya watakalo na huna chochote cha kuongea
Acha unafiki wewe inaonyesha una utumwa wa kifikra
 
Back
Top Bottom