Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Labda huru ya kule moshiTanzania ni nchi huru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda huru ya kule moshiTanzania ni nchi huru.
Kweli kabisa,nikiwaza Kagame anavyowaua wapinzani,hata waliokimbia nchini kwake,na anasifiwa na beberu,nachoka kabisa.Wasiofahamu Siasa za kimataifa wanaona jambo kubwa sana na wengine wanahisi Tayari wanachukua Nchi
Magharibi wameishambulia sana Saudia kwny kadhia ya Mwandishi Khashoghi alieuwawa Ubalozi wa Saudia kule Uturuki
Lakin biashara na mambo mengine yanaendelea kama kawaida na hao Wazungu
Wazungu wanakuwa serious na Wewe ukiwakazia kwny mambo yao hizi zingine ni kitchen Talks tu
Sie tunaminya Demokrasia kuliko Rwanda na Uganda?
Mnaoendesha familia zenu kwa hela za mashoga tuwafanyeje?Hao mashoga achana nao
Kwani Saudia wao ni watembeza bakuli kama nyinyi?
Umoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe.
============
View attachment 2030182
Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.
Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.
Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito.
Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Hili swali waje wajibu wanaccmWasipomwachia watakula kichwa cha mama kama walivyokula cha Meko??
mbwa wanaowalisha 1.3Tn kwenye mabakuliHawa mabwana wa lissu naona Wana waya waya,na wamejua bwana yao anaenda kuangukia pua wanaanza kuwashwa
Sidhani kama itatokea Tena. Kama umemsikiliza hapo ameongelea hapo la maneno matupu halaf misaada inaendeleaHili Bunge halinaga meno yoyote yale,ndio shida yake ilipo hapo.Litapiga kelele weeeeh na keshokutwa utasikia limetoa msaada wa mabilioni ya fedha.Wait&see.
Usijilinganishe na Saudia bro ni sawa na mbingu na ardhiSie ni watembeza Bakuli kama Uganda na Rwanda na Wapinzani wao wanaumizwa zaid ya wa hapa TZ lakin bado ni vipenzi vya wama Magharibi
Unategemea jibu gani kutoka kwa hao watu?Hili swali waje wajibu wanaccm
Usijilinganishe na Saudia bro ni sawa na mbingu na ardhi
Hii kesi iendelee hivi hivi hadi tufike Mahakama ya Rufaa ili CCM na Serikali yake dhalim wazidi kuumbukaUmoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe.
============
View attachment 2030182
Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.
Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.
Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito.
Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Pia ujeu kuwa Saudia hakuna kiongozi aliyewahi kujenga uwanja wa ndege kijinini kwaoSi tunafanana kwny kuonea Wapinzani kama tunavyowaonea Makamanda wa Chadema, pia Chadema wa Saudia wanalilia Katiba mpya kama Chadema wa kinondoni Makaburini
Mungu ni mkubwa na yupo kazini siku zoteHii kesi iendelee hivi hivi hadi tufike Mahakama ya Rufaa ili CCM na Serikali yake dhalim wazidi kuumbuka
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Pia ujeu kuwa Saudia hakuna kiongozi aliyewahi kujenga uwanja wa ndege kijinini kwao
Labda nyie wana chatoKwa ssbabu wamekuwa Viongozi wakati tayari Chato yao ina Airport!
Kwani tukimpa Nchi mwana chato mwingine atajenga Airport nyingine chato?
Kuna mambo mengi sana yamefanywa na yanafanywa na Serikali hii na hakuna sehemu ya kuyasemea kwani hata vyombo vya habari haviwezi kuyaripoti ila kupitia kesi hii tutayajua mengi, si unaona hata wasiojulikana na mbinu zao tumeanza kuzijua. Ndiyo maana watu wengi wamepotea wakitafutwa hadi vituo vya Polisi hawapatikani kwa vile wanabadilishiwa majina,wakiwatesa wakifa mikononi mwao ndiyo wanawafunga kwenye sandarusi na kuwatupa mtoni au baharini. Yapo mengi saaana hatujayasikia bado lakini kupitia kesi hii tutayajua. Wacha mvua inyeshe tuone wapi panavuja. Kesi hii ni mpango wa Mungu kuimbua CCM na Serikali yake dhalim.Mungu ni mkubwa na yupo kazini siku zote