Usifananishe Saudia na nchi kama Tz. Ulishawahi kusikia Saudia wanatembeza bakuli(ombaomba) kama Tz??Wasiofahamu Siasa za kimataifa wanaona jambo kubwa sana na wengine wanahisi Tayari wanachukua Nchi
Magharibi wameishambulia sana Saudia kwny kadhia ya Mwandishi Khashoghi alieuwawa Ubalozi wa Saudia kule Uturuki
Lakin biashara na mambo mengine yanaendelea kama kawaida na hao Wazungu
Wazungu wanakuwa serious na Wewe ukiwakazia kwny mambo yao hizi zingine ni kitchen Talks tu
Sie tunaminya Demokrasia kuliko Rwanda na Uganda?
Wanatoa hela yao kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii na wana miradi yao ya kiuchumi ivyo mambo yakienda ovyo na wao wanaathirika.Kwani hawajui kwamba Tanzania ni nchi huru? Wajadili haki za binadamu Ulaya ndio eneo lao. Wana mengi ya kujadili sio kujiingiza mambo ya nchi zingine.
HURU unaombaomba kwao?Kwani hawajui kwamba Tanzania ni nchi huru? Wajadili haki za binadamu Ulaya ndio eneo lao. Wana mengi ya kujadili sio kujiingiza mambo ya nchi zingine.
Badala ya kujibiwa nashambuliwa.Hili swali waje wajibu wanaccm
Maccm huwa wwnajiona miamba,waangalie alichofsnywa Bashir wa sudani,Ghadafi Libya,Umoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe.
============
Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.
Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.
Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito.
Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Hiki chama cha ccm kimebaki kwa nguvu ya mitutu tu.Badala ya kujibiwa nashambuliwa.
Swali dogo tu wazwazwa wanapaniki
Hata bunge ni muhimili lakini una wabunge 19 wasiokuwa wanachama wa chama chochote.Amwachie kwa Sheria ipi?,mahakama ni muhimili waache ufanye kazi zake kwa uhuru
Usifananishe Saudia na nchi kama Tz. Ulishawahi kusikia Saudia wanatembeza bakuli(ombaomba) kama Tz??
Fananisha Tz na Zimbabwe
EU yasema in imani inaridhishwa na mwelekeo wa utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan na itaendelea kuipa Tanzania misaadaUmoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe.
============
Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.
Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.
Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito.
Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Sheria ipo kupitia kwa Dpp kwa kuto kuwa na nia ya kuendelea na kesiAmwachie kwa Sheria ipi?,mahakama ni muhimili waache ufanye kazi zake kwa uhuru
Am speechless.Umoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe.
============
Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.
Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.
Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito.
Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
CM 1774858 njoo huku uwasifie wazungu wako πππUmoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe.
============
Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.
Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.
Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito.
Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Kadri tutakavyo zidi kuwa ombaomba na kutegemea misaada kutoka nje lazima hao wanaotufadhili wawe na sauti katika maswala yetu na hata hivyo kwa nini tusiheshimu haki za binadamu?Kwani hawajui kwamba Tanzania ni nchi huru? Wajadili haki za binadamu Ulaya ndio eneo lao. Wana mengi ya kujadili sio kujiingiza mambo ya nchi zingine.
Yan msitupangie jinsi ya kuishi yan mnataka kila mnachppenda nyie ndo tufanye?? Hii ni haki?? Yan mtu akanyage katiba na kutishia usalama wetu sisi wananchi na tusio hitaji hata hizo siasa zenu halafu mtu akifikishwa katika vyombo vya kutoa haki mnataka kupanga nyie uamuzi je sisi kwenu tunafanya hivi?? Mnatia hasira sana nyie eeeuu yaungekua huku bongo leo nilikua nastaafu na ww kwa njia ninayoijua mm..acheni kuingila mambo ya nchi yetu tuna mahakama na serikali makini mamaae zemu mbwawaa wadogo nyieeUmoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe.
============
Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho.
Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko.
Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito.
Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Huyo CM1774858 lugha iliyotumika imempiga chenga na vilaza wenzake wakampa likes. Huko CCM yamejaa mazuzu tupuCM1774858 katumia taarifa hii hii kuwaponda CHADEMA. Ama kweli kupenda ni hatari, uonapo chongo wewe huita kengeza.
Acha unafiki wewe inaonyesha una utumwa wa kifikraHakuna uhuru hapa
Kama tungekuwa huru wangekubali Magufuli aliposema hakuna Corona
Hatupo huru muda wowote wanafanya watakalo na huna chochote cha kuongea