Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

Kiuhalisia CCM inaipa sifa mbaya sana Tanzania kimataifa kwa uroho wao wa madaraka.Muasisi wa Taifa hili ambaye pia ni muasisi wa CCM aliona mbali kuruhusu vyama vingi.Viongozi wa Sasa wa ccm ambao hawaitakii mema nchi yetu wanaturudisha kwenye zama za nyuma kabisa sababu ya uroho wa madaraka.Yanakuja hapa kwa avatar tofautitofauti yanajifanya kukejeli.
Hii mijitu inatakiwa ipingwe kwa nguvu zote!
 
Back
Top Bottom