Sidhani kama vina mahusiano.Naomba kuuliza hii ndio ile Vita ya kiuchumi tulokua twaambiwa.
Wananchi wa wapi hao wewe? Fungua akili hiyoSidhani kama vina mahusiano.
Nachojua baadhi ya wananchi Ambao mradi unapita katika maeneo yao walifungua kesi mahakama ya ufaransa kwa kushirikiana na asasi za kiraia.
Key issues.
●Wananchi walilalamika kutokupewa stahiki zao halali kisheria kwa kuathiriwa na mradi.
●Mradi kuathiri mazingira yao ya asili.
Fuatilia keystone pipeline iliyotakiwa kujengwa kutokea Canada kwenda US.Hivi Hii nchi ingekua Europe wangeweka hayo mapingamizi?
Makampuni mengi makubwa yameshaanza ku-shift priorities kwenda kwenye clean energy sababu ya hewa Ukaa, ingawa bado opposition to clean energy ni kubwa sana manake fossil fuels zinawapa faida kubwa na walishafanya huge investments.Wazungu ni selfish na wanaogopa afrika kusimama yenyewe
Wewe unaelewa Nini kuhusu Vita ya kiuchumi?au wajua yapiganwa kwa kurushiana risasi?.Sidhani kama vina mahusiano.
Nachojua baadhi ya wananchi Ambao mradi unapita katika maeneo yao walifungua kesi mahakama ya ufaransa kwa kushirikiana na asasi za kiraia.
Key issues.
●Wananchi walilalamika kutokupewa stahiki zao halali kisheria kwa kuathiriwa na mradi.
●Mradi kuathiri mazingira yao ya asili.
Penda kuwa up to date mkuu,Hao wananchi waliofungua kesi ni wananchi wa nchi gani? Au wako mkoa gani hasa na wewe Hizo taarifa umezitoa katika chanzo kipi au wewe pia ni mnufaika wa hizo NGOS za kupinga mradi.
Punguza upunguaniMiradi ya watanzania kukwama ndiyo furaha ya Tundu Lisu
Mnawachambuzi wabobezi kwenye eneo Hilo ,tasnia ya habari au unataka mtengenezewe ulaji Kama kawaida yenu inawezekana lisu mtaalam eneo Hilo kapiga sipana zakutosha huko tayariNashauri Waziri wetu wa Nishati, Waziri wa Mazingira, NEMC na waandishi wa habari wazalendo waandamizi waandamane na MD wa TotalEnergies Tanzania kumsindikiza Patrick Pouyanné hapo Brussels, na kwa vile TL yuko Ubeligiji ajiunge, huku tukiandamana na a media team from Tanzania, na well wishes wenye nafasi twenzetuni Ubeligiji tukaitete nchi yetu!
Kama watu tumekwea pipa kwenda jijini London kuhudhuria tu Noting Hili Canival au kuangalia World Cup Doha, hatuwezi kushindwa kutimba Brussells kuitetea nchi yetu.
Hawa mabeberu wa ulaya waache kutuingilia na kutupangia kila kitu!.
P
Maamuzi ya mahakama yalikua ni yapi?kusitisha mradi kabisa au kufanyia kazi malalamiko yao? Vp kwa upande wetu sisi Tanzania malalamiko Kama hayo kwa jicho lako yapo au sisi tumelizika tu tumeachia mwenyezi mungu?Penda kuwa up to date mkuu,
Kesi ilifunguliwa na wananchi wa Uganda na partial rulling kwa ajili ya kuisikiliza kesi ya msingi ilitolewa kwenye mahakama ya France kama sijakosea last year.
Nashauri Waziri wetu wa Nishati, Waziri wa Mazingira, NEMC na waandishi wa habari wazalendo waandamizi waandamane na MD wa TotalEnergies Tanzania kumsindikiza Patrick Pouyanné hapo Brussels, na kwa vile TL yuko Ubeligiji ajiunge, huku tukiandamana na a media team from Tanzania, na well wishes wenye nafasi twenzetuni Ubeligiji tukaitete nchi yetu!
Kama watu tumekwea pipa kwenda jijini London kuhudhuria tu Noting Hili Canival au kuangalia World Cup Doha, hatuwezi kushindwa kutimba Brussells kuitetea nchi yetu.
Hawa mabeberu wa ulaya waache kutuingilia na kutupangia kila kitu!.
P
Based on my understanding-Supreme court ilitoa rulling baada ya appeal based on procedures kuipa mahakama ya chini ya ufaransa uwezo wa kusikiliza dispute ya msingi, final determination nadhan bado, ila kuna temporary injuction.Maamuzi ya mahakama yalikua ni yapi?kusitisha mradi kabisa au kufanyia kazi malalamiko yao? Vp kwa upande wetu sisi Tanzania malalamiko Kama hayo kwa jicho lako yapo au sisi tumelizika tu tumeachia mwenyezi mungu?
Kwa upande wetu kama nchi, sina uelewa sana mkuu- Pengine watunga sera/sheria na Senior gvt officials wanaweza kutusaidia vyema.Maamuzi ya mahakama yalikua ni yapi?kusitisha mradi kabisa au kufanyia kazi malalamiko yao? Vp kwa upande wetu sisi Tanzania malalamiko Kama hayo kwa jicho lako yapo au sisi tumelizika tu tumeachia mwenyezi mungu?