Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

TANZANIA INA WANA DIPLOMASIA NGULI SANA,HATA HILI SOON SHALL BE SOLVED OUT,STAY TUNE,YOU ""MNAFIKI ""
 
Safi kabisa bado pale Washington wamalize kazi.

Japokua vikwazo vinaumiza raia zaidi kuliko hao ma bazazi lakini tupo tayari kulipa gharama
Tukose wote sio! Ila Kwa mali walizojilimbikizia hawa mafisadi hawatapitia machungu tutakayopitia sisi wananchi. Taabu yao itakuja baada ya utawala mbovu kuondolewa madarakani
 
Magufuli aliona mbali kutusisitiza watanzania kufanya kazi na kujitegemea
Si ndiye yeye alijiita jiwe na kuwaambia mawaziri wake wavute bangi? Na watu kama wewe akawa anawaita wanyonge, au siyo yeye?pamoja na ujinga wake lakini hakutufikisha kwenye mauaji kiasi hiki. Mungu amlaze anapostahili.
 
Kweli Congo kuna mashafuko lakini Wanamaisha Mazuri kuliko sisi Watanganyika ukitaka kujua hilo wewe angalia wanavyo jaa Uwanjani Marekani wakishabikia timu yao ya Taifa, Taifa Stars ingekua inashiriki kombe la Dunia Serikali yetu ingewalipia Wabunge na Viongozi wa Serikali ili waende kuangalia Taifa Stars, Watanganyika hawana uwezo binafsi wa kwende Ulaya kuishangilia timu yao ya Taifa, CCM imetufanya wananchi tuwe wanyonge no Masikini wakushindwa Kusafiri kwenda nchi za nje.
Basi tuwatoe Samia na genge lake ili nasi tupate maendeleo kama DRC
 
Mbona Kila siku wanarudia hayo hayo tu kuongea

Hatuna haja na pesa zao zenye mashariti ya Ushoga
 
TANZANIA INA WANA DIPLOMASIA NGULI SANA,HATA HILI SOON SHALL BE SOLVED OUT,STAY TUNE,YOU ""MNAFIKI ""
Unafikiri bunge la EU kufikia hapo hao wanadiplomasia wanaotumwa na genge la wahuni walikuwa wapi ku solve?

Usichokijua wazungu wanaifahamu hii nchi kuliko hata viongozi wengi hapa nchini.. Hayo maigizo ni kupoteza muda...
 
Stay tuned....Utaiona diplomasia safi ya Tanzania.
 
Basi tuwatoe Samia na genge lake ili nasi tupate maendeleo kama DRC
Siyo genge lake tu mpaka CCM yao, Wametufanya Watanganyika mpaka hatuna uwezo wa kwenda kuangalia Kombe la Dunia yani Mtanganyika uwezo wake ni kusafiri Mikoani no South Afrika kwenda kuuza bangi na pipi, Sisi tunataka tufurahi maisha tuwe na uwezo wa kutembea Duniani na siyo kwenda China kufata bidhaa feki. Yani inauma kuona Raia wa nchi za Kenya, Nigeria na Africa magharibi wànakuja kutalii Tanzania huku sisi Watanzania hatuna uwezo wa kutalii na kurahia maisha. Serikali ya CCM imechojua ni kututafutia kazi za Ndani na Boda boda Uarabuni na hapa nchi Mali zetu wanawapa Wachina na Waarabu.
 
Kweli tuotoe CCM tutapata maisha mazuri na uwezo kusafiri duniani
 
Back
Top Bottom