Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Kwanini hizo rasilimali zisitumikd kukabili hiyo njaa? Akili hizi mnazitoa wapi?Ulaya na amerika msitue kwa njaa, semeni mnataka nini mpewe, rasimali zipo tele za kugawa
Kwanini hizo rasilimali zisitumikd kukabili hiyo njaa? Akili hizi mnazitoa wapi?Ulaya na amerika msitue kwa njaa, semeni mnataka nini mpewe, rasimali zipo tele za kugawa
Acha uongo...Wakikosa hizo posho hao watumishi wa kwanza kuumia ni mtu wa chini. Mpk mtumishi aumie kule kijiiini kwenu watakuwa washachakaa. Baadae Samia anaenda zake Oman huku nchi ikiwa taaban na CHADEMA wanapewa kutawala
Wakipewa CHADEMA misaada inatolewa chap na maisha yanasonga kama kawaida😀Wakikosa hizo posho hao watumishi wa kwanza kuumia ni mtu wa chini. Mpk mtumishi aumie kule kijiiini kwenu watakuwa washachakaa. Baadae Samia anaenda zake Oman huku nchi ikiwa taaban na CHADEMA wanapewa kutawala
😅😅😅Walahi kama sio juhudi za Mabeberu wote tunaokosoa tungekua jela. Hadi kina binti kiziwi maskini.
Pumzika sasa naona huna hoja nyingine.Sidhani. Kwa sasa huko CHADEMA mkae mkao wa kula mana misaada yote sasa itamiminika kwenda CHADEMA baada ya vikwazo kuanza.
Mtanzania Kwa asili sio mzalendo ni mhuniWewe unadhani kwa nini hawapendi kulipa Kodi?
Huyu jamaa kupitia mabandiko yake huwa namwona kama ni mlevi fulani na huwa anaandika akiwa na hangover 😅Tazama jingajinga lingine hili.
WANAFIKIRI KUZUIA FUNDS,LAKINI BADO HAWAJAFANYA HIVYO!, BADO IPO NAFASI YA MASHAURIANO,HAKIKA SEREKALI YETU TUKUFU ITALISHINDA JARIBIO HILI LA SHETANI.Wabunge wa Bunge la Ulaya (MEPs) wamepitisha azimio la kuitaka Tume ya Ulaya kufuta rasimu ya mpango wa ufadhili wa kiasi cha Euro milioni 156 uliotengwa kwa ajili ya Tanzania kwa mwaka 2026. Uamuzi huu umefikiwa kufuatia kile bunge hilo linachokieleza kama ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na misingi ya kidemokrasia baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa Oktoba 2025, ambapo serikali ilitumia nguvu kuzima maandamano na kusababisha vifo vya mamia ya watu na wengine wengi kukamatwa kwa tuhuma za uhaini.
Sababu za Bunge la Ulaya: Wabunge hao wameishutumu Tume ya Ulaya kwa kupuuza wasiwasi wao na kuandaa rasimu inayoenda kinyume na sheria za Umoja wa Ulaya. Vilevile, wameikosoa Serikali ya Tanzania kwa kuendelea kukwamisha ziara ya ujumbe wa Kamati ya Haki za Binadamu ya bunge hilo iliyolenga kufuatilia utawala wa sheria. Kutokana na dosari hizo, wameagiza kuandaliwa kwa rasimu mpya itakayohakikisha kuwa fedha za msaada zinaelekezwa moja kwa moja kwenye kutoa huduma za msingi kwa wananchi, kulinda demokrasia, na kusaidia asasi za kiraia pekee.
Matukio Yaliyochochea Mvutano: Chimbuko la msimamo huu mkali ni mwendelezo wa matukio ya ukandamizaji wa kisiasa nchini humo. Hii inajumuisha ripoti ya tume ya uchunguzi iliyokiri kuwa zaidi ya watu 518 waliuawa kwenye vurugu za uchaguzi bila wahusika kuwajibishwa, na hivyo kukwamisha upatikanaji wa haki. Zaidi ya hayo, bunge hilo limekumbushia kulaani kwake kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kwa mashtaka yanayochochewa kisiasa yanayoweza kusababisha adhabu ya kifo, likisisitiza ulazima wa kumuachia huru na kumlinda.
Soma, Pia
- Bunge la Ulaya (EU) lapinga Msaada wa Euro Milioni 156 (Tsh. Bilioni 440+) kwa Tanzania. Wataja Haki za Binadamu na Uchaguzi wa 2025
- Ufafanuzi wa Serikali Kuhusu Kura ya Kamati za Bunge la Ulaya (EU) Dhidi ya Tanzania
View attachment 3610467View attachment 3610466
Wewe una hoja nyingine tofauti na hii ya kuombea TZ iwekewe vikwazo. Usiku na mchana kutwa kucha kutaftiza vijihabari vya Tz kupigwa ban mpk mnaomba eti Mungu Wabariki WazunguPumzika sasa naona huna hoja nyingine.
Sawa SawaWakipewa CHADEMA misaada inatolewa chap na maisha yanasonga kama kawaida😀
Yes wataumia watz wote kwa pamoja wakiwemo CCM na CHADEMAAcha uongo...
Mtumishi ataumia sambamba na mtu wa chini.
Na usijidanganye kwamba you will be the exception, maana hata kama ni fisadi basi jua utafikiwa tu.
Tatizo lilikuwa Mobutu. Walipomtoa Mobutu ndio maisha yao yamekuwa mazuri. So na sisi tumtoe Samia na genge lake ili tuwe na maendeleo na maisha boraHao wanaotwangana na kutorokea kwa majirani ni wajomba zako?
Sawa ila tu msisahau maumivu tutapata wote mkiwemo CHADEMA kuliko hata SamiaNdiyo hivyo sasa vikwazo vinakuja sababu ya udhalimu wa Samia
Sawa tupigwe hizo sanctions ndo maisha ya vijijini yatakuwa mazuriKwani ni lini matatizo ya wanakijiji yaliwahi kuisha? Maji, matibabu, miundombinu na elimu ni shida toka dunia iumbwe, itakuwa leo?
Mtaji wa ccm ni maskini na ndio maana wanapigana kufa na kupona ili kuzalisha maskini wengi zaidi.
Bora umekubaliana nami kwamba vikwazo hivyo ni kwa Samia tu na chawa wake. CHADEMA wao ndo wataimarika zaidi.Sasa wewe, cdm inapoteza nini kwa mfano! Wanaoumia sana ni ccm ambao watapoteza serikali wanayoiongoza kimagumashi.
Kwa taarifa yako na machawa wenzako jiandaeni kwa mapigo mfuatano kwani zanzibar anakwenda kujitoa kwenye muungano wenu feki kwani hawezi kuwa sehemu ya shida zenu.
100%Sidhani kama kuna rais aliyeharibu heshma yetu Tanzania kama huyu.
Kweli Congo kuna mashafuko lakini Wanamaisha Mazuri kuliko sisi Watanganyika ukitaka kujua hilo wewe angalia wanavyo jaa Uwanjani Marekani wakishabikia timu yao ya Taifa, Taifa Stars ingekua inashiriki kombe la Dunia Serikali yetu ingewalipia Wabunge na Viongozi wa Serikali ili waende kuangalia Taifa Stars, Watanganyika hawana uwezo binafsi wa kwende Ulaya kuishangilia timu yao ya Taifa, CCM imetufanya wananchi tuwe wanyonge no Masikini wakushindwa Kusafiri kwenda nchi za nje.Tatizo lilikuwa Mobutu. Walipomtoa Mobutu ndio maisha yao yamekuwa mazuri. So na sisi tumtoe Samia na genge lake ili tuwe na maendeleo na maisha bora