Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
HahahaMmelaaniwa nyie mnaoomba Mungu Wabariki Wazungu

Good example!Muulize Mobutu ilikuwaje katka situation kama hii.Danganya mataahira wenzako.
Nawaza tu,ingawa chadema watafurahi kiasi cha hata kunywa bia baridi, lakini nimetafakari sana,je?Wabunge wa Bunge la Ulaya (MEPs) wamepitisha azimio la kuitaka Tume ya Ulaya kufuta rasimu ya mpango wa ufadhili wa kiasi cha Euro milioni 156 uliotengwa kwa ajili ya Tanzania kwa mwaka 2026. Uamuzi huu umefikiwa kufuatia kile bunge hilo linachokieleza kama ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na misingi ya kidemokrasia baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa Oktoba 2025, ambapo serikali ilitumia nguvu kuzima maandamano na kusababisha vifo vya mamia ya watu na wengine wengi kukamatwa kwa tuhuma za uhaini.
Sababu za Bunge la Ulaya: Wabunge hao wameishutumu Tume ya Ulaya kwa kupuuza wasiwasi wao na kuandaa rasimu inayoenda kinyume na sheria za Umoja wa Ulaya. Vilevile, wameikosoa Serikali ya Tanzania kwa kuendelea kukwamisha ziara ya ujumbe wa Kamati ya Haki za Binadamu ya bunge hilo iliyolenga kufuatilia utawala wa sheria. Kutokana na dosari hizo, wameagiza kuandaliwa kwa rasimu mpya itakayohakikisha kuwa fedha za msaada zinaelekezwa moja kwa moja kwenye kutoa huduma za msingi kwa wananchi, kulinda demokrasia, na kusaidia asasi za kiraia pekee.
Matukio Yaliyochochea Mvutano: Chimbuko la msimamo huu mkali ni mwendelezo wa matukio ya ukandamizaji wa kisiasa nchini humo. Hii inajumuisha ripoti ya tume ya uchunguzi iliyokiri kuwa zaidi ya watu 518 waliuawa kwenye vurugu za uchaguzi bila wahusika kuwajibishwa, na hivyo kukwamisha upatikanaji wa haki. Zaidi ya hayo, bunge hilo limekumbushia kulaani kwake kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kwa mashtaka yanayochochewa kisiasa yanayoweza kusababisha adhabu ya kifo, likisisitiza ulazima wa kumuachia huru na kumlinda.
Soma, Pia
- Bunge la Ulaya (EU) lapinga Msaada wa Euro Milioni 156 (Tsh. Bilioni 440+) kwa Tanzania. Wataja Haki za Binadamu na Uchaguzi wa 2025
- Ufafanuzi wa Serikali Kuhusu Kura ya Kamati za Bunge la Ulaya (EU) Dhidi ya Tanzania
View attachment 3610467View attachment 3610466
Kuna kuteseka zaidi ya sasa? wahuni wanateka wanaua wanavyotaka na chaguzi zimegeuka siku rasmi za CCM kujitangaza washindiLaiti ungejua mwisho wa siku anayeteseka ni mwananchi wa kawaida wala usingeruka ruka kwa vifijo.
Yatakuwa bora kuliko hawa wahuni mafisadi ya CCMGood example!
Assume ndicho kitachofuata, je waCongoman wana maisha gani baada ya Mobutu. Au kwa akili zenu Samia akitoka basi CHADEMA watachukua nchi na maisha kuwa bora!
Kwani sahizi iko vipi?Nawaza tu,ingawa chadema watafurahi kiasi cha hata kunywa bia baridi, lakini nimetafakari sana,je?
*Tukipandisha bei ya unity ya umeme wa majumbani,
*Tukapandisha bundle za internet
*Tukapunguza safari za nje kwa watumishi
*Tukapunguza vikao na posho mbalimbali,
*Magari mengi /yote ya umma yakawa ya nishati ya umeme
*Tukaweka kodi ya kichwa,ya 10000 kwa mwaka,
*Ruzuku zikaondolewa kwa vyama vya siasa
HAPO VIPI?
Kumbe!Yatakuwa bora kuliko hawa wahuni mafisadi ya CCM
Basi vikwazo havina athari kwa CHADEMAYatakuwa bora kuliko hawa wahuni mafisadi ya CCM
Mwisho.ikawaje vile?.pale mzena kilitokea nn?Magufuli aliona mbali kutusisitiza watanzania kufanya kazi na kujitegemea
Hapa Sasa naona mwanga.Wabunge wa Bunge la Ulaya (MEPs) wamepitisha azimio la kuitaka Tume ya Ulaya kufuta rasimu ya mpango wa ufadhili wa kiasi cha Euro milioni 156 uliotengwa kwa ajili ya Tanzania kwa mwaka 2026. Uamuzi huu umefikiwa kufuatia kile bunge hilo linachokieleza kama ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na misingi ya kidemokrasia baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa Oktoba 2025, ambapo serikali ilitumia nguvu kuzima maandamano na kusababisha vifo vya mamia ya watu na wengine wengi kukamatwa kwa tuhuma za uhaini.
Sababu za Bunge la Ulaya: Wabunge hao wameishutumu Tume ya Ulaya kwa kupuuza wasiwasi wao na kuandaa rasimu inayoenda kinyume na sheria za Umoja wa Ulaya. Vilevile, wameikosoa Serikali ya Tanzania kwa kuendelea kukwamisha ziara ya ujumbe wa Kamati ya Haki za Binadamu ya bunge hilo iliyolenga kufuatilia utawala wa sheria. Kutokana na dosari hizo, wameagiza kuandaliwa kwa rasimu mpya itakayohakikisha kuwa fedha za msaada zinaelekezwa moja kwa moja kwenye kutoa huduma za msingi kwa wananchi, kulinda demokrasia, na kusaidia asasi za kiraia pekee.
Matukio Yaliyochochea Mvutano: Chimbuko la msimamo huu mkali ni mwendelezo wa matukio ya ukandamizaji wa kisiasa nchini humo. Hii inajumuisha ripoti ya tume ya uchunguzi iliyokiri kuwa zaidi ya watu 518 waliuawa kwenye vurugu za uchaguzi bila wahusika kuwajibishwa, na hivyo kukwamisha upatikanaji wa haki. Zaidi ya hayo, bunge hilo limekumbushia kulaani kwake kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kwa mashtaka yanayochochewa kisiasa yanayoweza kusababisha adhabu ya kifo, likisisitiza ulazima wa kumuachia huru na kumlinda.
Soma, Pia
- Bunge la Ulaya (EU) lapinga Msaada wa Euro Milioni 156 (Tsh. Bilioni 440+) kwa Tanzania. Wataja Haki za Binadamu na Uchaguzi wa 2025
- Ufafanuzi wa Serikali Kuhusu Kura ya Kamati za Bunge la Ulaya (EU) Dhidi ya Tanzania
View attachment 3610467View attachment 3610466
Tunapata huduma kama bure kabisa!, ...Kwani sahizi iko vipi?
Mara hii tutawwmbia PSG walete kombe kama njia ya kuwanyamazisha mazuZu.Hii hasara ndio uhujumu uchumi wenyewe. Tunakoelekea kwenye kutafuta mlango wa kutokea tutahatarisha usalama wa Taifa. Tutaweza kuingia kwenye matatizo mengi kuliko wakati wowote
Sasa kama Samia anajua Umri wake wa kuishi ni mdogo kwanini amefanya mauaji ya kinyama kwa tamaa za madaraka? We ukeshawai kuona Wazungu wanaua wananchi wao? Kisa cheo? We unafikiri Maandamano kama ya October 29 yangefanyika Uingereza au German Viongozi wao wangeua Wananchi wao?Ni kweli kabisa. Mpk ifikie Samia na genge lake kuumia basi huko vijijini kutakuwa taabani kiasi tutahitaji miaka 50 kukaa sawa. Hapo Samia na genge lake hawatokuwepo tena duniani kwa umri wao. So msoto utakuwa kwa gen Z wanaoshabikia leo
Miaka 50 imepita mpaka sasa hdkuna la maana lilofanyika mpaka leo Wananchi wa Dar hawapati maji.Ni kweli kabisa. Mpk ifikie Samia na genge lake kuumia basi huko vijijini kutakuwa taabani kiasi tutahitaji miaka 50 kukaa sawa. Hapo Samia na genge lake hawatokuwepo tena duniani kwa umri wao. So msoto utakuwa kwa gen Z wanaoshabikia leo
It's better to feel the pinch together kuliko wao kuendelea kuneemeka huku sisi tukiteseka as if ni watumwa ugenini kumbe tuko katika nchi yetu.Nakukumbusha Tu Walio Vitatoka Kwa Wote Waliosema Wazungu Wasitupangie Na Sisi Tusiosema Pia
Samia akitoka ataishi kwa hofu kubwa kwanza akifariki familia yake itakuja kuteseka sana maana Ulaya hawaingii tena na pesa zao zitataifishwa kama zilizotaifishwa pesa za Mtoto wa Mobutu na Viongozi wengine wa aina yao.Good example!
Assume ndicho kitachofuata, je waCongoman wana maisha gani baada ya Mobutu. Au kwa akili zenu Samia akitoka basi CHADEMA watachukua nchi na maisha kuwa bora!
Ziara za Kombo hazikusaidia!!Wabunge wa Bunge la Ulaya (MEPs) wamepitisha azimio la kuitaka Tume ya Ulaya kufuta rasimu ya mpango wa ufadhili wa kiasi cha Euro milioni 156 uliotengwa kwa ajili ya Tanzania kwa mwaka 2026. Uamuzi huu umefikiwa kufuatia kile bunge hilo linachokieleza kama ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na misingi ya kidemokrasia baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa Oktoba 2025, ambapo serikali ilitumia nguvu kuzima maandamano na kusababisha vifo vya mamia ya watu na wengine wengi kukamatwa kwa tuhuma za uhaini.