Amina!Amini.Kuna namna ya kuwanyoosha na waka surrender.Amini.
Amina!Amini.Kuna namna ya kuwanyoosha na waka surrender.Amini.
Huo muarobaini wote tutaunywa hautachagua CCM au wapinzani.So Samia ndo atakayeteseka na CHADEMA sasa itapeta
CCM is pure catastrophic phenomena.It has to go for good!Amina!
Mwizi na mla rushwa hawezi kuizesha nchi kujitegemea.Magufuli aliona mbali kutusisitiza watanzania kufanya kazi na kujitegemea
Kwahiyo wewe tahira kukosa misaada ambayo miaka kwa miaka tuliipokea lakini haijatusaidia unaona ni tatizo?Chanzo Cha Matatizo (CCM)
Na hasa hasa, asisahau kuwabariki wazalendo wa nchi hii wanaopambana kuikomboa nchi yao toka mikononi mwa waovu, wakiongozwa na Shetani mkuu Samia Suluhu Hassan.Mungu Wabariki wazungu
Mmelaaniwa tayari.Sawa, Mungu Wabariki Wazungu walaani weusi
Kwa uwezo gani tuliyonao hadi tuweze kuwa imara pasina misaada? Labda uimara kwa maisha mazuri kwa viongozi.Huna akili timamu.
Wazungu waliua Wakongo zaidi ya milioni mbili kwenye mashamba ya mpira .
Wajerumani waliua Watanganyika wengi mpaka kesho hawajaomba msamaha eti leo wewe tahira unaona wazungu ni watu wanaokujali.
Watoe msaada wasitoe msaada Tanzania itakuwa imara kuliko jana
Tazama jingajinga lingine hili.Kwahiyo wewe tahira kukosa misaada ambayo miaka kwa miaka tuliipokea lakini haijatusaidia unaona ni tatizo?
Tanzania itasimama imara zaidi ya jana. Tuna basement tatu duniani.
Basement moja ikigoma mbili zitakuwa upande wetu.
Mbona waziri wa wizara husika juzi kawachana uwazi hao wazungu.
Sisi sio koloni la Taifa lolote, tuna rasilimali nyingi zinapendwa na mataifa mengi. Watakuja kama wafanyabiashara na tutadeal nao kama wafanyabiashara
LucifeliShetani mkuu Samia Suluhu Hassan.
Tofautisha kati ya magufuli na ambaye alikuwa akisimamia vema kila shilingi inaingia kwenye lengo la serikali na huyo wenu mwizi, muuwaji na anayeruhusu kila waziri ale kwa urefu wa kamba yakeMagufuli aliona mbali kutusisitiza watanzania kufanya kazi na kujitegemea
Kwa hiyo akili zako nyingi zinakwambia Ridhiwani K na bibi yako wote watapitia msoto unaofanana?Dogo usinione mimi kilaza kama wewe, naelewa matokeo yake, lakini hata mama kabla ya kujifungua lazima apitie uchungu, vivyo hivyo ili kuondokana na udhalimu wa CCM tuko tayari kupitia machungu hayo na uzuri hayatachagua kama vile ambavyo risasi za polisiccm hazikuchagua hata wanaccm waliuliwa.
Basi itakuwa heriWananchi wakiteseka sana, wanaungana na ndio wataandamana kuwatoa viongozi
Sasa hili ndio watu wengi hawalioni au wanajitoa ufahamu. Hivi vikwazo sio vizuri kwa watanzania wote viongozi na raia wa kawaida. Viongozi wataendelea na maisha yao kama kawaida kwa muda mfupi sana lakini shida zitakapozidi kwa raia wa kawaida watakuwa hawana cha kupoteza hapo ndio wataungana na kitakachofuata sio kizuri kabisa. Na mbaya zaidi nchi ikiishaingia huko kurudi tena kwenye hali ya kawaida labda Mungu tu mwenyewe aamue kuingilia kati.Wananchi wakiteseka sana, wanaungana na ndio wataandamana kuwatoa viongozi
Chadema mmefurahi sasaWabunge wa Bunge la Ulaya (MEPs) wamepitisha azimio la kuitaka Tume ya Ulaya kufuta rasimu ya mpango wa ufadhili wa kiasi cha Euro milioni 156 uliotengwa kwa ajili ya Tanzania kwa mwaka 2026. Uamuzi huu umefikiwa kufuatia kile bunge hilo linachokieleza kama ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na misingi ya kidemokrasia baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa Oktoba 2025, ambapo serikali ilitumia nguvu kuzima maandamano na kusababisha vifo vya mamia ya watu na wengine wengi kukamatwa kwa tuhuma za uhaini.
Sababu za Bunge la Ulaya: Wabunge hao wameishutumu Tume ya Ulaya kwa kupuuza wasiwasi wao na kuandaa rasimu inayoenda kinyume na sheria za Umoja wa Ulaya. Vilevile, wameikosoa Serikali ya Tanzania kwa kuendelea kukwamisha ziara ya ujumbe wa Kamati ya Haki za Binadamu ya bunge hilo iliyolenga kufuatilia utawala wa sheria. Kutokana na dosari hizo, wameagiza kuandaliwa kwa rasimu mpya itakayohakikisha kuwa fedha za msaada zinaelekezwa moja kwa moja kwenye kutoa huduma za msingi kwa wananchi, kulinda demokrasia, na kusaidia asasi za kiraia pekee.
Matukio Yaliyochochea Mvutano: Chimbuko la msimamo huu mkali ni mwendelezo wa matukio ya ukandamizaji wa kisiasa nchini humo. Hii inajumuisha ripoti ya tume ya uchunguzi iliyokiri kuwa zaidi ya watu 518 waliuawa kwenye vurugu za uchaguzi bila wahusika kuwajibishwa, na hivyo kukwamisha upatikanaji wa haki. Zaidi ya hayo, bunge hilo limekumbushia kulaani kwake kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kwa mashtaka yanayochochewa kisiasa yanayoweza kusababisha adhabu ya kifo, likisisitiza ulazima wa kumuachia huru na kumlinda.
View attachment 3610467View attachment 3610466
Mlipokuwa mnaua tulikuwepo.Chadema mmefurahi sasa
Uzuri tutateseka wote, baada ya haya yote mwisho wake ni tutaivia moshi balaaMlipokuwa mnaua tulikuwepo.
SawaUzuri tutateseka wote, baada ya haya yote mwisho wake ni tutaivia moshi balaa
Who are you?Bunge la Ulaya Laitaka Tume Kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania