Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

Kama side effect ni kubwa kiasi hiko kwanini TZ isichukue hatua mapema kufanya hivyo vitu ambavyo wanavitaka ikiwemo kuwaachia hao kina lisu na serikali iwajibike kuliko kukosa chai wa TZ kwa wapuuzi wachache
Ubinafsi wa hawa wapumbavu wanaojiita viongozi chini ya ccm
 
Bado hawajawekeza hasira kwa kuitembelea Russia. Mbinyo utakuwa mkubwa sana.
 
naona serikali inazidi kudungwa quinine na chroquine kupona lazima kesho democrac ,mhaini watatamalaki mana sikwadozi hiyo kwa gvt
 
Magufuli aliona mbali kutusisitiza watanzania kufanya kazi na kujitegemea
Sahihi hakwenda ulaya na aliweza kuliongoza taifa..
Tatizo watu weusi mmezoea dezo hakuna kupambana mnataka kila kitu msaidiwe na wazungu...
Mungu kawapa miili timamu lakini wapi hamjisaidii mpaka msaidiwe.
Vichwa vimejaa ngono na mipombe tu badala ya kuwaza namna ya kujikwamua nyie kusubiri misaada tu.
 
Back
Top Bottom