Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

Utajua vizuri baada ya kibano kukolea na wewe kuanza kukosa hata unga wa kupikia uji kupoza hiyo minyoo ya litumbo lako hilo,watz wengi ni iliterates hata majitu mengi yaliyoenda shule ni stupid na useless ,kama hujui effects za kinachofanywa sasa hivi na bunge la senate Marekani na bunge la ulaya kwenye budget na uchumi wa Tanzania basi utaelewa kibano kikikolea
Kama side effect ni kubwa kiasi hiko kwanini TZ isichukue hatua mapema kufanya hivyo vitu ambavyo wanavitaka ikiwemo kuwaachia hao kina lisu na serikali iwajibike kuliko kukosa chai wa TZ kwa wapuuzi wachache
 
Akili yako ndogo unafikiria tumbo lako tu sisi tunafikiria kuikomboa nchi toka midomoni mwa familia zisizozidi 20 against Watanganyika zaidi ya 65milioni wewe unashabikia kakikundi ambacho wewe huna hata sehemu unabaki kuwa mpenzi mtazamaji, think big !!!
Hiyo ndo husda yenyewe sasa. Na hasidi hana sababu.
Wa kuikomboa nchi ndo wewe unayeombea vikwazo nchi ipigwe umasikini kisha uikomboe ikiwa taabani ili mradi tu hizo familia 20 zitapoteza...
 
Wabunge wa Bunge la Ulaya (MEPs) wamepitisha azimio la kuitaka Tume ya Ulaya kufuta rasimu ya mpango wa ufadhili wa kiasi cha Euro milioni 156 uliotengwa kwa ajili ya Tanzania kwa mwaka 2026. Uamuzi huu umefikiwa kufuatia kile bunge hilo linachokieleza kama ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na misingi ya kidemokrasia baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa Oktoba 2025, ambapo serikali ilitumia nguvu kuzima maandamano na kusababisha vifo vya mamia ya watu na wengine wengi kukamatwa kwa tuhuma za uhaini.

Sababu za Bunge la Ulaya: Wabunge hao wameishutumu Tume ya Ulaya kwa kupuuza wasiwasi wao na kuandaa rasimu inayoenda kinyume na sheria za Umoja wa Ulaya. Vilevile, wameikosoa Serikali ya Tanzania kwa kuendelea kukwamisha ziara ya ujumbe wa Kamati ya Haki za Binadamu ya bunge hilo iliyolenga kufuatilia utawala wa sheria. Kutokana na dosari hizo, wameagiza kuandaliwa kwa rasimu mpya itakayohakikisha kuwa fedha za msaada zinaelekezwa moja kwa moja kwenye kutoa huduma za msingi kwa wananchi, kulinda demokrasia, na kusaidia asasi za kiraia pekee.

Matukio Yaliyochochea Mvutano: Chimbuko la msimamo huu mkali ni mwendelezo wa matukio ya ukandamizaji wa kisiasa nchini humo. Hii inajumuisha ripoti ya tume ya uchunguzi iliyokiri kuwa zaidi ya watu 518 waliuawa kwenye vurugu za uchaguzi bila wahusika kuwajibishwa, na hivyo kukwamisha upatikanaji wa haki. Zaidi ya hayo, bunge hilo limekumbushia kulaani kwake kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kwa mashtaka yanayochochewa kisiasa yanayoweza kusababisha adhabu ya kifo, likisisitiza ulazima wa kumuachia huru na kumlinda.

Soma, Pia

View attachment 3610467View attachment 3610466
Kwa Nchi yenye Bajeti ya 62 Trilioni hako ka pesa ni sawa na tone la maji kwenye bahari.

Wafute yote kwani Nchi zetu zitajifunza lini kujitegemea? Watu hawataki kulipa kodi
 
elewa kwamba wananchi kuwa na hali ngumu ni reflection ya kipi kinaendelea ndani ya serikali..

kodi za wananchi zinachangia pakubwa sana katika uendeshaji wa serikali...

ndani ya serikali kutakuwa na hali ngumu vilevile, zile posho za kila wakati zitakoma, na hapo ndipo uchawa utakoma... Hali hio ikiendelea sote tunajua nini kitatokea...
Wakikosa hizo posho hao watumishi wa kwanza kuumia ni mtu wa chini. Mpk mtumishi aumie kule kijiiini kwenu watakuwa washachakaa. Baadae Samia anaenda zake Oman huku nchi ikiwa taaban na CHADEMA wanapewa kutawala
 
Kwahiyo wewe tahira kukosa misaada ambayo miaka kwa miaka tuliipokea lakini haijatusaidia unaona ni tatizo?
Tanzania itasimama imara zaidi ya jana. Tuna basement tatu duniani.
Basement moja ikigoma mbili zitakuwa upande wetu.
Mbona waziri wa wizara husika juzi kawachana uwazi hao wazungu.
Sisi sio koloni la Taifa lolote, tuna rasilimali nyingi zinapendwa na mataifa mengi. Watakuja kama wafanyabiashara na tutadeal nao kama wafanyabiashara
Unataka kusema nini? Hivi ulihitimu darasa la pili wewe?
 
Endelea kutetea utekaji, mauaji na wizi wa kura, labda unafaidika
Hapana. The issue hapa ni vikwazo ambavyo CDM wanazunguka duniani tuwekewe. Tukipigwa hizo sanctions misaada itaenda CHADEMA that's why CDM inapambana kufa na kupona tupigwe ban
 
Wabunge wa Bunge la Ulaya (MEPs) wamepitisha azimio la kuitaka Tume ya Ulaya kufuta rasimu ya mpango wa ufadhili wa kiasi cha Euro milioni 156 uliotengwa kwa ajili ya Tanzania kwa mwaka 2026. Uamuzi huu umefikiwa kufuatia kile bunge hilo linachokieleza kama ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na misingi ya kidemokrasia baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa Oktoba 2025, ambapo serikali ilitumia nguvu kuzima maandamano na kusababisha vifo vya mamia ya watu na wengine wengi kukamatwa kwa tuhuma za uhaini.

Sababu za Bunge la Ulaya: Wabunge hao wameishutumu Tume ya Ulaya kwa kupuuza wasiwasi wao na kuandaa rasimu inayoenda kinyume na sheria za Umoja wa Ulaya. Vilevile, wameikosoa Serikali ya Tanzania kwa kuendelea kukwamisha ziara ya ujumbe wa Kamati ya Haki za Binadamu ya bunge hilo iliyolenga kufuatilia utawala wa sheria. Kutokana na dosari hizo, wameagiza kuandaliwa kwa rasimu mpya itakayohakikisha kuwa fedha za msaada zinaelekezwa moja kwa moja kwenye kutoa huduma za msingi kwa wananchi, kulinda demokrasia, na kusaidia asasi za kiraia pekee.

Matukio Yaliyochochea Mvutano: Chimbuko la msimamo huu mkali ni mwendelezo wa matukio ya ukandamizaji wa kisiasa nchini humo. Hii inajumuisha ripoti ya tume ya uchunguzi iliyokiri kuwa zaidi ya watu 518 waliuawa kwenye vurugu za uchaguzi bila wahusika kuwajibishwa, na hivyo kukwamisha upatikanaji wa haki. Zaidi ya hayo, bunge hilo limekumbushia kulaani kwake kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kwa mashtaka yanayochochewa kisiasa yanayoweza kusababisha adhabu ya kifo, likisisitiza ulazima wa kumuachia huru na kumlinda.

Soma, Pia

View attachment 3610467View attachment 3610466
Screenshot_20260611-133015~2.png
 
Back
Top Bottom