Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

Bunge la Ulaya laitaka Tume kufuta Ufadhili wa Mwaka 2026 kwa Tanzania

You are being too political by avoiding direct answers, mr 100
Vijana wapo vizuri, mfano mdogo tu KP motors yule ni mchoraji na mtangazaji lakini katengeneza gari la umeme, je vijana waliopo vyuoni watashindwa? Jibu ni hapana.

Ndio maana nasema issue ni sera na vipaumbele lakini pia viongozi ni zero kichwani..
 
Vijana wapo vizuri, mfano mdogo tu KP motors yule ni mchoraji na mtangazaji lakini katengeneza gari la umeme, je vijana waliopo vyuoni watashindwa? Jibu ni hapana.

Ndio maana nasema issue ni sera na vipaumbele lakini pia viongozi ni zero kichwani..
Nakubaliana na wewe tuna viongozi wapumbavu. Lakini haimaanishi tuendelee kutegemea hisani za wazungu.
 
Nina jamaa yangu alisoma Computer science pale Udom, kwa sasa ni mtu tegemez kwenye taasisi yao. Wewe uliokutana nao wana hali gani?
Wanajua kuunganisha vilivyotengenezwa na hao tunaowasema, kutengeneza vya kwetu bado tunahitaji kujiweka vizuri
 
Wanajua kuunganisha vilivyotengenezwa na hao tunaowasema, kutengeneza vya kwetu bado tunahitaji kujiweka vizuri
Sijajua unafanya shuguli zipi
Ila mimi kwenye vishushuli vyangu nakutana na vijana wa kitz wanaotumiwa kuunda mifumo mbalimbali ya nchi.
 
Sijajua unafanya shuguli zipi
Ila mimi kwenye vishushuli vyangu nakutana na vijana wa kitz wanaotumiwa kuunda mifumo mbalimbali ya nchi.
Unafikiri wanaweza kuunda mifumo yao bila kutegemea msaada wa watu weupe?
 
Ziara za Kombo hazikusaidia!!
Kombo ni msanii anaetumia kodi zetu vibaya anachofanya ni kupiga picha na viongozi mbalimbali wa ulaya , Marekani na UN halafu huwaaminisha CCM na machawa kuwa kila kitu kimeenda vizuri barua zimepokelewa na kueleweka.
Elimu yake ni ya kuunga unga, w.P. Salaa,2026
Kombo Hana uwezo wa kusoma na kuelewa kilichoandikwa kwenye mkataba Wala hajui na haieleweki lugha zinazotumika kwenye bunge la ulaya....aliongeza Dr.slaa.
 
Chadema mtaendelea kufanya siasa kwa kutegemea Bunge la Ulaya na Senet ya Marekani mpaka lini?
Ccm kitaendelea kufanya siasa kwa kutegemea TISS, Polisiccm ( mafwele),.NEC na walimu mpaka lini?
Kama huamini kwamba nguvu ya umma ni kubwa angalia wingi wa mapoliccm kwenye junctions zote kubwa za bara2 hapa dar.
Wanakula vumbi . Shwain
 
Kwahiyo wewe tahira kukosa misaada ambayo miaka kwa miaka tuliipokea lakini haijatusaidia unaona ni tatizo?
Tanzania itasimama imara zaidi ya jana. Tuna basement tatu duniani.
Basement moja ikigoma mbili zitakuwa upande wetu.
Mbona waziri wa wizara husika juzi kawachana uwazi hao wazungu.
Sisi sio koloni la Taifa lolote, tuna rasilimali nyingi zinapendwa na mataifa mengi. Watakuja kama wafanyabiashara na tutadeal nao kama wafanyabiashara
Pumbavu wewe ***** ,hizo maliasili zimewasaidia nini mpaka sasa hivi nini mbwa ? Hivi wewe Màlaya na machoko wenzako hata common sense huna na kujiuliza hizo maliasili miaka yote zilikuwa wapi kuwafanya mjitegemee ? Au hao wafanyabishara? , akili za Machangudoa kama Samia madelu na mafala wengine humo CCM ndio wa kuliwezesha hilo shithole kujitegemea au kujikimu bila handsout ? , hivi niñyi waseng£ mnajua hata magnitude na intensity ya handouts za mmarekani na ulaya kuacha kuflow ? ,mtajifunza kwa vitendo mamaee zenu .Ambaye anajua kibano kilichokuwa kinaendelea Zimbabwe , venezuela na mataifa yya washenzi wengine kama hao wanajua nilichomaanisha ,niñyi kenge wengine mtajifunza kwa vitendo
 
Kwani walikua wanatoa bei kwenye budget ya Tz au misaada ipi tunazungumzia jamani
Utajua vizuri baada ya kibano kukolea na wewe kuanza kukosa hata unga wa kupikia uji kupoza hiyo minyoo ya litumbo lako hilo,watz wengi ni iliterates hata majitu mengi yaliyoenda shule ni stupid na useless ,kama hujui effects za kinachofanywa sasa hivi na bunge la senate Marekani na bunge la ulaya kwenye budget na uchumi wa Tanzania basi utaelewa kibano kikikolea
 
Atakaeumia ni bibi yako na babu yako huko kijijini wewe mpuuzi unaeshabikia, bi Wanu, Mr Abdul wanaendelea kula kuku kwa mrija
Kwa hela za wizi za walipa kodi na mishungi yao na misijdah? Ama kwenye uislam dhambi ni kusema Yesu ni Mungu na kula kiti moto hadharani?
 
Back
Top Bottom