Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

TANZANIA's Government should STOP THE GENOCIDE.

No to NeoColonialism No to Arab Occupation.
 
Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na uwindaji.

Tanzania ilipiga kura inayounga mkono Azimio la Umoja wa Mataifa juu ya Haki za Watu wa Asili (UNDRIP) mwaka 2007, lakini haiitambui kuwepo kwa watu wa asili kama wamasai na haina sera au sheria maalum kuhusu watu wa asili;

Bunge la Ulaya limepiga kura leo ambapo kura 493 zilikubali kuwa wamaasai waachwe katika maeneo yao, 29 zimekubali kuwa wamasai waondolewe huku kura 17 zikiwa ni za wale wasiotaka kusema chochote.

View attachment 2842583

Breaking: European Parliament calls out Maasai evictions from iconic Serengeti landscape

In a groundbreaking move, the European Parliament has condemned evictions of Indigenous Maasai communities under the guise of conservation. It also stressed that Indigenous rights are a non-negotiable prerequisite for any conservation initiative.

The resolution, passed with resounding support today, comes after attempts to evict the Maasai people from Tanzania’s world-famous Serengeti ecosystem.

Violence and arbitrary arrests of community leaders have made headlines since last year. Tanzanian authorities continue to pressure the Maasai to leave their land in Loliondo and the Ngorongoro Conservation Area where they have lived for generations. The government has also prevented independent investigations.

The Maasai have called the attempts to steal their land a “catastrophe”, and called on European governments and conservation organizations to end support for this model of conservation.

Fiore Longo, head of Survival International’s Decolonize Conservation campaign, said today: “This resolution states clearly what we in Survival have been saying for many years: human rights abuses in the name of conservation must stop now. It also affirms that the Maasai evictions are not just a Tanzanian problem, they are a European problem too. Similar violations are happening all around the world, funded by European tax payers' money and with the support of big conservation organizations, based in our countries, who keep promoting a racist and colonialist model of conservation.”

Notes to the editors:

This decision of the European Parliament comes just a day before Maasai-lawyer and activist Joseph Oleshangay will lead a protest in front of the Frankfurt Zoological Society (ZFS) in Frankfurt, Germany. FZS, whom the Maasai have called their "number one enemy", supports the fortress conservation model in the Serengeti ecosystem.

Source: Survival International

The Tanzanian government must halt its forcible evictions of Maasai communities, say MEPs

On Thursday, the European Parliament adopted a resolution on the human rights situation in Tanzania.

MEPs urge the Tanzanian government to immediately halt ongoing forcible evictions of Maasai communities in the country’s Ngorongoro District due to, among other reasons, plans to turn large parts of traditional grazing lands in the Loliondo Area into a game reserve.

Pointing to the importance of guaranteeing the safe return of these communities, the resolution stresses their right to access to justice and for effective remedies for victims.

Parliament also calls on the Tanzanian government to recognise and protect the rights of indigenous peoples and local communities, and to acknowledge the lands and resources that the Maasai communities have managed for generations and their role in maintaining wildlife and biodiversity.

MEPs urge the Tanzanian government to allow UN and EU institutions observation visits to the concerned areas. They also call on the European Commission to report to the European Parliament on EU budget support programmes and other initiatives in Tanzania, with particular attention to projects dealing with biodiversity loss and climate change and to human rights safeguards.

The resolution was adopted by 493 votes in favour, 29 against with 17 abstentions.

Source: European Interest
Maskini ni mtu mbaya kuliko Shetani. Bunge la Ulaya likipiga kura kuikaripia Israel isijilinde dhidi ya magaidi ya kiislamu utaskia safi sana, mara ooh magaidi washindwe ila wakipiga kura kutetea wamasai wasiuzwe kwa wararabu tunapinga. Mwarabu aliyetuingiza utumwani sasa hivi tunambembeleza aje kutuingiza tena utumwani.
Mjerumani na Muingereza wanajuta sababiu gani iliwafanya watupe uhuru kumbe tunakuja tena kuuza kwa mwarabu.
 
Acha upumbavu wako. Uwekezaji siyo ukoloni. Mwenye fedha sasa hivi ni muarabu kutoka Qatar, UAE na Saudia. Mwingereza mwenyewe kashindwa kumzuia maana timu zake za Mancity, Newcastle, PSG (France) zinamilikiwa na Mwarabu.
 
Mimi binafsi kuondoka au kubaki kwa hawa ndugu zetu wamaasai,huo uoto wa asili kuharibiwa au usiharibiwe na kubaki kwao hapo ngorongoro au ulaya kuingilia mambo yetu na hasa ukizingatia ni taifa huru hakuniumi kabisaaa.

Lakini kinachoniuma ni mapato yanayotokana na huo uoto asili kuliwa na wachache wenye nguvu na kuwaacha hao wazaliwa wa maeneo hayo kuendelea kuwa maskini wa kutupwa.
 
Unazungumza timu 3 kati ya timu 20.
Unataja nchi ambazzo kwenye utajiri wa dunia hazipo hata 50 haijagonga!
Unaona hao wanawekeza kwenye vimiradi vidogo ndio unahisi ni wawekezaji wakubwa? Hivi unajua makampuni kama Shell, Puma , /coca, KFC , nam engine yapo dunia nxima na mmiliki na jizungu moja limeka hotelini tu wakiangali wajinga wakibishania uchimi wa middle east?
Unajua uchumi wa waarabu unategema mafuta na sasa wazungu wamegundua magari ya solar, gas na umeme na ndio maana juzi waarabu wameandaa mkutano wa hewa safi ili kuhawishi tuendelee kutumia mafuta huku wakitupa ruzuku ya kusafisha mazingira?
Techonlogia ya Elon Mask ya kutumia gari za umeme ikisambaa hayo mafuta mtanywe chai?

QUATAR:
Pato la taifa duniani kote mwaka 2023 lilikuwa takriban Dola 12,607 kwa kila mtu. Pato la Taifa nchini Qatar, kwa upande mwingine, lilifikia dola za Kimarekani 88,046 kwa kila mtu, au dola bilioni 237.30 kwa nchi nzima.
Kwa hivyo Qatar kwa sasa imeorodheshwa ya 53 kati ya nchi zenye uchumi mkubwa.

SAUDI ARABIA:

Pato la taifa duniani kote mwaka 2023 lilikuwa takriban Dola 11,301.03 kwa kila mtu. Pato la Taifa nchini Saudi Arabia, kwa upande mwingine, lilifikia USD 30,436 kwa kila mtu, au USD trilioni 1.108 kwa nchi nzima. Kwa hiyo Saudi Arabia ni mojawapo ya mataifa yenye uchumi mkubwa duniani na kwa sasa iko katika nafasi ya 23.

UAE:

Pato lake ni kubwa ,dola 13,21 , ni tajiri zaidi mashariki ya kati, ni nchi ya 16 kwa utajiri Duniani.
 
Mapato yalishaliwa na awamu zile mjomba, sasa hivi ni utekelezaji tu, ila wsasa imetokea tu imemuangukia mama na hakuna namna, wacha waue kila kitu.
 
Sasa Bunge la Ulaya linapiga kura kuamuwa Taifa lingune lifanye wanavotaka wao kweli bado wanafikiri Wanatawala
 
Unazungumza timu 3 kati ya timu 20.
Unataja nchi ambazzo kwenye utajiri wa dunia hazipo hata 50 haijagonga!
Unaona hao wanawekeza kwenye vimiradi vidogo ndio unahisi ni wawekezaji wakubwa? Hivi unajua makampuni kama Shell, Puma , /coca, KFC , nam engine yapo dunia nxima na mmiliki na jizungu moja limeka hotelini tu wakiangali wajinga wakibishania uchimi wa middle east?
Unajua uchumi wa waarabu unategema mafuta na sasa wazungu wamegundua magari ya solar, gas na umeme na ndio maana juzi waarabu wameandaa mkutano wa hewa safi ili kuhawishi tuendelee kutumia mafuta huku wakitupa ruzuku ya kusafisha mazingira?
Techonlogia ya Elon Mask ya kutumia gari za umeme ikisambaa hayo mafuta mtanywe chai?

QUATAR:
Pato la taifa duniani kote mwaka 2023 lilikuwa takriban Dola 12,607 kwa kila mtu. Pato la Taifa nchini Qatar, kwa upande mwingine, lilifikia dola za Kimarekani 88,046 kwa kila mtu, au dola bilioni 237.30 kwa nchi nzima.
Kwa hivyo Qatar kwa sasa imeorodheshwa ya 53 kati ya nchi zenye uchumi mkubwa.

SAUDI ARABIA:

Pato la taifa duniani kote mwaka 2023 lilikuwa takriban Dola 11,301.03 kwa kila mtu. Pato la Taifa nchini Saudi Arabia, kwa upande mwingine, lilifikia USD 30,436 kwa kila mtu, au USD trilioni 1.108 kwa nchi nzima. Kwa hiyo Saudi Arabia ni mojawapo ya mataifa yenye uchumi mkubwa duniani na kwa sasa iko katika nafasi ya 23.

UAE:

Pato lake ni kubwa ,dola 13,21 , ni tajiri zaidi mashariki ya kati, ni nchi ya 16 kwa utajiri Duniani.
Bado nishati ya mafuta itaendelea kutawala dunia. Hata hizo biashara za wazungu unazozisema kuna waarabu kibao wana miliki kama main shareholders kama Al Waleed bin Talal Al Saud
 
Nlipata kuongea na mvietnam mmoja akaniambia kwao wanafundisha kumtawala mtu mweusi ni moja ya haki zao and mtu mweusi ni mtumwa kwa mtu mweupe
Mbona Vietnam weusi bro.
Au wewe unawaona ni weupe ? basi na wanyiramba nao watakuwa weupe ! Vietnam hadi mipua yao ni ya kibantu.
Most ugly people in Asia are vietnamese.
Yaani Hadi mvietnam anakuletea swaga za kijinga nawe unamsikiliza tu.
Hao ndio watu masikini wa kutupa huko Asia, siku nyigine umpe makavu ili asirudie tena.
Naomba mungu nije nikutane na mtu kama huyo.
 
Kipimo cha uimara wa rais samia. Maana aliamua kuwa 'everybody pleaser'.
 
Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na uwindaji.

Tanzania ilipiga kura inayounga mkono Azimio la Umoja wa Mataifa juu ya Haki za Watu wa Asili (UNDRIP) mwaka 2007, lakini haiitambui kuwepo kwa watu wa asili kama wamasai na haina sera au sheria maalum kuhusu watu wa asili;

Bunge la Ulaya limepiga kura leo ambapo kura 493 zilikubali kuwa wamaasai waachwe katika maeneo yao, 29 zimekubali kuwa wamasai waondolewe huku kura 17 zikiwa ni za wale wasiotaka kusema chochote.

View attachment 2842583

Breaking: European Parliament calls out Maasai evictions from iconic Serengeti landscape

In a groundbreaking move, the European Parliament has condemned evictions of Indigenous Maasai communities under the guise of conservation. It also stressed that Indigenous rights are a non-negotiable prerequisite for any conservation initiative.

The resolution, passed with resounding support today, comes after attempts to evict the Maasai people from Tanzania’s world-famous Serengeti ecosystem.

Violence and arbitrary arrests of community leaders have made headlines since last year. Tanzanian authorities continue to pressure the Maasai to leave their land in Loliondo and the Ngorongoro Conservation Area where they have lived for generations. The government has also prevented independent investigations.

The Maasai have called the attempts to steal their land a “catastrophe”, and called on European governments and conservation organizations to end support for this model of conservation.

Fiore Longo, head of Survival International’s Decolonize Conservation campaign, said today: “This resolution states clearly what we in Survival have been saying for many years: human rights abuses in the name of conservation must stop now. It also affirms that the Maasai evictions are not just a Tanzanian problem, they are a European problem too. Similar violations are happening all around the world, funded by European tax payers' money and with the support of big conservation organizations, based in our countries, who keep promoting a racist and colonialist model of conservation.”

Notes to the editors:

This decision of the European Parliament comes just a day before Maasai-lawyer and activist Joseph Oleshangay will lead a protest in front of the Frankfurt Zoological Society (ZFS) in Frankfurt, Germany. FZS, whom the Maasai have called their "number one enemy", supports the fortress conservation model in the Serengeti ecosystem.

Source: Survival International

The Tanzanian government must halt its forcible evictions of Maasai communities, say MEPs

On Thursday, the European Parliament adopted a resolution on the human rights situation in Tanzania.

MEPs urge the Tanzanian government to immediately halt ongoing forcible evictions of Maasai communities in the country’s Ngorongoro District due to, among other reasons, plans to turn large parts of traditional grazing lands in the Loliondo Area into a game reserve.

Pointing to the importance of guaranteeing the safe return of these communities, the resolution stresses their right to access to justice and for effective remedies for victims.

Parliament also calls on the Tanzanian government to recognise and protect the rights of indigenous peoples and local communities, and to acknowledge the lands and resources that the Maasai communities have managed for generations and their role in maintaining wildlife and biodiversity.

MEPs urge the Tanzanian government to allow UN and EU institutions observation visits to the concerned areas. They also call on the European Commission to report to the European Parliament on EU budget support programmes and other initiatives in Tanzania, with particular attention to projects dealing with biodiversity loss and climate change and to human rights safeguards.

The resolution was adopted by 493 votes in favour, 29 against with 17 abstentions.

Source: European Interest
ili ni jukumu la taifa sio la ulaya
 
Unasumbuliwa na vitu vya kijinga sana kaka.

Basi endelea na shuguli zako mtaalam wa linguistics
 
Hatimae Mwenyezi Mungu ameamua kuinua wenye nguvu kuingilia kati.
 
Back
Top Bottom