Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Vitega uchumi tumeshawqpa wageni wakitunyima misaada tutaumia
 
Ni kheri tukose pesa zao kuliko kukunali REFORMS , alisikika chawa mmoja wa CCM
 
Kumbe fedha za uchaguzi zimeombwa kutoka EU. Mbona walisema kuwa Serikali itatumia fedha zake katika uchaguzi huu ujao.
 
Shoga huyo waziri Michael Gahler, tunaendelea kuongeza wigo wa upatikanaji wa kodi za ndani ili tuweze kujitegemea kwa asilimia 100.

Hakuna lisilowezekana, mwaka 2001 vatican ilikata misaada ya pesa kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za kanisa katoliki Tanzania, tukaamua kujitegemea kwa sadaka na michango ya ndani na mpaka leo miaka 24 imepita hakuna lililoharibika.
 
Serikali ilishasema uchaguzi huu hautagharamiwa na yoyote nje ya serikali

Hiyo pesa wanafahammu kwamba Tanzania haiitaki

Watumie Kwa kwzi nyingine
Unajua maana ya bajet?
Kwann waliomba? Manake walishaingiza kwenye bajeti
Usiwe unaandika kama upo kwenye taarabu mkuu
 
itakuwaje sasa
 
Unajua maana ya bajet?
Kwann waliomba? Manake walishaingiza kwenye bajeti
Usiwe unaandika kama upo kwenye taarabu mkuu
Najua sana

Bajeti yq serikali ni public, hebu Tuletee kwenye kifungu cha uchaguzi kama
Hiyo pesa ya wazungu imewekwa kwenye fungu la uchaguzi
 
Najua sana

Bajeti yq serikali ni public, hebu Tuletee kwenye kifungu cha uchaguzi kama
Hiyo pesa ya wazungu imewekwa kwenye fungu la uchaguzi
Kwani wanaandika kila kifungu kwamba hii pesa ni ya wazungu?
 
Shithole. Magonjwa yao ya kutengeneza ili waje kujifanya kusaidia huku wakipora rasilimari zetu tumeshawashitukia sasa mwendo wa wachina na warusi tu nyinyi mnaowaabudu wazungu hamieni huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…