Please fanya hivyo saivi tuupambanieNilifungua Uzi juu ya ndoto niliyoota kuhusu hili,haukutembea sana kama ujuavyo JF kuchukuliana poa ,ipo siku nitaufufua na Kila aandikaye humu atakiri
Walikopa kana SI kuchota pesa kwenye mifumo ya JAMII.Kwani 2020 walitoa hata senti 5 mbona ulifanyika?
Hatukuomba bali ni haki yetu kwa kuwa walituibia rasilimari zetu wakati wa ukoloni.Sasa mliomba za nini?
Walishatugeuza Watanzania kuwa Mazuzu.Nilimsikia live Mwigulu kuwa uchaguzi utagharimiwa na fedha za ndani, kumbe anatufunga kamba! 🤣🤭🤷
Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Na bado tunaenda kuwa kama Zimbabwe sababu ya mtu mmoja anayeutaka Urais kinguvuMidomo ya kwao, muda wa kwao, hakuna namna tunaweza kuwapangia cha kuongea. Lakini hawana uwezo wa kufanya lolote kwa nchi huru kama Tanzania
Hela zetu za ndani😂😂😂😂Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
Azitoe wapi!Hela unayo
Hahahaha🤣🤣🤣Hatukuomba bali ni haki yetu kwa kuwa walituibia rasilimari zetu wakati wa ukoloni.
Sawa ankoPlease fanya hivyo saivi tuupambanie
Unitag usisahauSawa anko
Wasitoe halafu tuone itakuwaje. Zimbabwe ina zaidi ya miaka ishirini haipati misaada au mikopo ya EU na bado ipo seuse sie?Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1R8XVSWP3U/
#NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
Sawa tajiriiiDola milioni nani ni bilioni 18,pesa ndogo sana
Hizo ni siasa kiufi bajeti inayosomwa na serikali utekelezaji wake wa bajeti haufikagi hata 80 ya utekelezaji wake unaweza kuskia wizara fulani bajeti yake Mfano bilioni 800 unakuta inaenda mwaka mzima unamalizika wamepeleka bilioni 500 tuHukusikia bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026? Uchaguzi tunaugharamia sisi wenyewe kwa hiyo watoe wasitoe uchaguzi upo palepale!
Sizitaki mbichi hiziHatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Una upumbavu mwingi Sana.Natamani Rais Samia na mgombea wa ccm asusiwe na kutengwa na kila mtu ili abakie peke yake na familia yake
Sie tunataman aendelee kupata mafanikio na aifikishe Tanzania salama kwa awamu ingine...mungu anapokea maombi ya wote nyie mkiomba mabaya Kuna watu wanamuombea mazurNatamani Rais Samia na mgombea wa ccm asusiwe na kutengwa na kila mtu ili abakie peke yake na familia yake
Sawa sawaUnitag usisahau
ni kweli tumeziomba? ndo jambo la msingiDola milioni nani ni bilioni 18,pesa ndogo sana