Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Hizo ni siasa kiufi bajeti inayosomwa na serikali utekelezaji wake wa bajeti haufikagi hata 80 ya utekelezaji wake unaweza kuskia wizara fulani bajeti yake Mfano bilioni 800 unakuta inaenda mwaka mzima unamalizika wamepeleka bilioni 500 tu
Ndio maana ya bajeti siyo lazima itekelezwe 100%
 
Berlin Conference are determined to regain the initiative. They see what's happening in free Kenya and they are very happy. Only TZ remains sturbornly
 
Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Samiaagain2025 unakumbuka wajina wako Dkt Samia alivyosafiri kwenda nje ya nchi na kurudi alipotua uwanja wa ndege alisema hivi “Naifungua nchi” akionesha aliyemuua aliifungia nchi so yeye anaifungua hahaha kumbe hakujua nyuma ya pazi sasa yeye ndiyo anaenda kuifungia zaidi na anaendelea kuua watu wasiokuwa na hatia na mkakati wa kuifanya Tanzania iwe nchi ya Kiislamu kwa kuhakikisha anauwa ma padre na kufunga makanisa 😂
 
Reactions: UCD
Hukusikia bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026? Uchaguzi tunaugharamia sisi wenyewe kwa hiyo watoe wasitoe uchaguzi upo palepale!
Na ukaamini kuwa serekali ina hiyo hela?
 
Si
 
Hukusikia bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026? Uchaguzi tunaugharamia sisi wenyewe kwa hiyo watoe wasitoe uchaguzi upo palepale!
Kuna miradi mingi ya maendeleo. Lakini kingine madhaifu yote ya kusemekana kuna mkakati wa kuangamiza ukristo na kuifanya Tanzania ya Kiislamu ni ajenda yeye mwenyewe Dkt Samia kaibeba kidedea kwanza kwa kuagiza Padre Kitima auawe lakini pia kufungia kanisa la Gwajiboy na kuwapigw mabomu na kuwaumiza waumini wa Gwajiboy lakini pia kuvunja kanisa walilokuwa wanasalia. In fact Dkt Samia nia yake nzuri sana kwa taifa ila tunayaandika haya ili wasaidizi wake na mamlaka wajue kilichopo huku mtaani maana siyo kila taarifa wataijua. Hivyo Dkt Samia anajulikana kama muuaji, na mtokomeza ukristo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…