Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Posho zote za wabunge wa mchongo ziondolewe pamoja na mawaziri wabaki na salary tu
[emoji1][emoji1] Bunge hili hili ambalo ndani yake Kuna baba levo !?
Kwamba wanataka kutuaminisha kuwa watakuja na Plans za kusolve problems, waache masihara basi
Nini cha kujadili hapo? Nchi ya kipumbavu sana hii.
FursaKama umechoka kuona faida ya biashara yako ikiteketea kwenye vituo vya mafuta kila bei ya EWURA ikipanda, sasa ni wakati wa kuachana na mazoea na kuhamia OASIS Electric ambapo kwa Unit 3 tu za umeme (Tsh 1,100) unapata uwezo wa kutembea kilomita 130 bila hitaji la oil wala service za injini; karibu tukufanyie uchanganuzi wa bure wa jinsi unavyoweza kuokoa zaidi ya Tsh milioni 3.5 kwa mwaka kwa kila pikipiki moja na kuanza kumiliki faida yako halisi leo.
0685665582
Duuhh hii noma bila ya service za engine 🙌Kama umechoka kuona faida ya biashara yako ikiteketea kwenye vituo vya mafuta kila bei ya EWURA ikipanda, sasa ni wakati wa kuachana na mazoea na kuhamia OASIS Electric ambapo kwa Unit 3 tu za umeme (Tsh 1,100) unapata uwezo wa kutembea kilomita 130 bila hitaji la oil wala service za injini; karibu tukufanyie uchanganuzi wa bure wa jinsi unavyoweza kuokoa zaidi ya Tsh milioni 3.5 kwa mwaka kwa kila pikipiki moja na kuanza kumiliki faida yako halisi leo.
0685665582
Hawa wajinga kweli wanaacha kujadili serikali kuzika vijana kwenye makaburi ya pamoja wanarukia vitu ambavyo hawana uwezo navyo.Spika wa Bunge, Mussa Zungu amemuagiza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi kukutana na Kamati ya Bunge ya Nishati ili kujua hatma ya hali na mwenendo wa kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Zungu amesema kuwa bila mafuta upo uwezekano wa kukwama katika mipango mbalimbali ya nchi.
Hayo yanajiri baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza bei elekezi mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zilizoanza kutumika rasmi kuanzia leo Aprili Mosi, 2026, ikiwa ni sehemu ya marekebisho ya kila mwezi yanayozingatia mwenendo wa soko la dunia.
Sababu kuu ya kupanda kwa bei hizo ni mgogoro unaoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati, hususan kati ya Marekani, Israel na Iran, ulioanza Februari 28, 2026 na kuathiri kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa mafuta duniani.
Posho watakula vp mkuu bila kupiga porojo?!.Nini cha kujadili hapo? Nchi ya kipumbavu sana hii.
Apeleke use33nge mbali, hayo majizi yana jipya gani nchi hii?Ndugu zangu Watanzania,
Spika wa Bunge Letu Tukufu Mheshimiwa Zungu Ameitisha Kikao cha Dharura kwa ajili ya kujadili Mwenendo Mzima wa hali ya upatikanaji wa Mafuta Nchini,bei ya mafuta na hatua za kuchukua kukabiliana na hali hiyo ya Upandaji wa Mafuta katika soko la Dunia.
Hai hiyo inatokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la Dunia kutokana na vita vya Marekani kwa kushirikiana na mshirika wake Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi kupitia anga la Iran . Hali iliyopelekea kuuwawa kwa viongozi mbalimbali waandamizi wa Iran wa serikali,kijeshi hadi Raia wa kawaida wasio na hatia.
Lakini pia vita hiyo imepelekea kulipuliwa kwa visima vya mafuta ,maghala ya kuhifadhia mafuta lakini pia kufungwa kwa njia za kusafirisha mafuta kwenda maeneo mbalimbali Duniani.
Ikumbukwe ya kuwa sisi kama Taifa kwa kama zilivyo nchi zingine tumekuwa tukitegemea na kuagiza mafuta kutoka Mashariki ya kati ambako ndiko kulikotokea Vita. Hivyo kama ambavyo sisi ni sehemu ya Watumiaji wa mafuta kutoka kanda hiyo tumejikuta tukipata athari kama ambavyo wengine wameathiriwa kila mmoja kwa kiwango chake.
Hivyo Spika wa Bunge ameagiza kupitia kiti cha Spika kufanyika kwa kikao cha Dharura kati ya Kamati ya Nishati pamoja na wizara ya nishati ili kufanya Tathmini juu ya mambo hayo niliyoyaeleza hapo juu.
Ikumbukwe na kufahamika vyema ya kuwa mafuta Nchini hayajapandishwa na CCM ama serikali ya CCM bali ni soko la Dunia ndio limesababisha hali hiyo. Lakini pia ifahamike ya kuwa sisi hatuna visima vya mafuta wala maghala ya mafuta . Jambo ambalo siyo jinai maana huwezi kuwa na kila kitu hapa Duniani. Na ndio maana tunaishi kwa kutegemeana. Mimi nakupa na kukuletea hiki nawe unanipa na kuniuzia kile ambacho mimi sina ama ninacho kwa kuwango kisicho tosheleza mahitaji yangu.
Kwa hiyo hilo ni suala ambalo lipo nje ya uwezo wetu juu ya upandaji wa mafuta. Lililo ndani ya uwezo wetu katika kukabiliana na hali hiyo ni kuchukua hatua nyingine tu kama vile serikali kuweka Ruzuku katika mafuta kama ambavyo Jemedari wetu hodari na kipenzi chetu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alifanya miaka kadhaa iliyopita kwa kutoa Bilioni Mia moja kila Mwezi.
Lakini pia Serikali inaweza kutoa ama kupunguza baadhi ya kodi fulani fulani kwa kipindi fulani cha mpito mpaka pale hali ya bei ya mafuta itakaporejea katika hali yake ya kawaida katika soko la Dunia.
Kikubwa ni kuwa tuwe wavumilivu,watulivu na wenye subira wakati huu huku macho na maskio tukielekeza kwa serikali yetu chini ya uongozi shupavu na madhumuni wa shujaa wetu Mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha utoto Dogo.Apeleke use33nge mbali, hayo majizi yana jipya gani nchi hii?
Wee itakuwa ni baba levo au mwijakuNdugu zangu Watanzania,

Haswa, viongozi wa kiaafrika lazima wabadilike, misafara Ile, magari yote yale for what?! Sababu hela hazitoki mifukoni mwao? Ila ni za mlipa Kodi, watuonee huruma basi, na ukitafakari hakuna sababu, umuhimu wala ulazima kuwa na msururu mkubwa kama ule! It's too much benefiting no one apart from misusing public funds!
kama familia ya mama Tanzania,
tunashughulika na mambo ya Tanzania bila kuiga jirani anafanya nini kuhusu familia yake
Haipo nchi yenye uwezo wa kudeal na soko huria la dunia hususan kwenye soko la mafuta,Hili lilikuwa ndani ya uwezo wa wizara na Ewura...
Juzi juzi wameitisha press conference na kuwajaza wabongo kwamba kila kitu kipo under control, akiba ipo hivyo watu wasiwe na wasiwasi.
Anyway kwa sisi tunaofuatilia hali ya bei za mafuta nchi nyingine tuliamini ni danganya toto tu lazima bei ingepanda na itaendelea kwenda juu...
Ile press conference ilikuwa ni mpango wa kisiasa tu ili baadaye mtu mmoja aitumie kama chance ya kupata ujiko mwenendo wa bei ukipungua aonekane yeye ndio katoa agizo na tunamjua huyo mtu...
Zungu ana Elimu gani?
Bunge la maccm