Bunge laagiza kikao cha dharura kujadili kupanda kwa bei za mafuta

Posho zote za wabunge wa mchongo ziondolewe pamoja na mawaziri wabaki na salary tu
 
[emoji1][emoji1] Bunge hili hili ambalo ndani yake Kuna baba levo !?

Kwamba wanataka kutuaminisha kuwa watakuja na Plans za kusolve problems, waache masihara basi

Hii ni maajabu [emoji16][emoji16]
 
Fursa
 
D Duuhh hii noma bila ya service za engine 🙌
 
Kupanda mafuta kwa kiasi cha 1000..si vita ya Iran vs Us..uhuni uhuni tu wa watu mjini
 
Huko zambia hawajadili walisha toa kodi kwenye mafuta kwa miezi mitatu huku mipuuzi itakutana na inaweza ikaunda na tume harafu ikaishia kupandisha mafuta ...watu wa hovyooo kabisa ..harafu macahawa humu yanaona eti ni jambo la sifa
 
Hawa
Hawa wajinga kweli wanaacha kujadili serikali kuzika vijana kwenye makaburi ya pamoja wanarukia vitu ambavyo hawana uwezo navyo.
 
Apeleke use33nge mbali, hayo majizi yana jipya gani nchi hii?
 
Wee itakuwa ni baba levo au mwijaku
 
Wanajadili hatma ya misafara yao itakuaje bila mafuta...


Cc: Mahondaw
Haswa, viongozi wa kiaafrika lazima wabadilike, misafara Ile, magari yote yale for what?! Sababu hela hazitoki mifukoni mwao? Ila ni za mlipa Kodi, watuonee huruma basi, na ukitafakari hakuna sababu, umuhimu wala ulazima kuwa na msururu mkubwa kama ule! It's too much benefiting no one apart from misusing public funds!
 
kama familia ya mama Tanzania,
tunashughulika na mambo ya Tanzania bila kuiga jirani anafanya nini kuhusu familia yake

Hili lilikuwa ndani ya uwezo wa wizara na Ewura...

Juzi juzi wameitisha press conference na kuwajaza wabongo kwamba kila kitu kipo under control, akiba ipo hivyo watu wasiwe na wasiwasi.

Anyway kwa sisi tunaofuatilia hali ya bei za mafuta nchi nyingine tuliamini ni danganya toto tu lazima bei ingepanda na itaendelea kwenda juu...

Ile press conference ilikuwa ni mpango wa kisiasa tu ili baadaye mtu mmoja aitumie kama chance ya kupata ujiko mwenendo wa bei ukipungua aonekane yeye ndio katoa agizo na tunamjua huyo mtu...
 
Haipo nchi yenye uwezo wa kudeal na soko huria la dunia hususan kwenye soko la mafuta,
hata hivyo, serikali kali sikivu ya CCM, imejipanga kukabiliana kindakindaki na changmoto hiyo, lakini pia kudeal na gharama za maisha ya wananchi wake.

changamoto ya mafuta duniani ni fursa muhimu sana sasa kwa Tanzania kujikita kwenye matumizi ya hazina ya gesi asilia tulionayo kuendesha shughuli za kiuchumi bila kutegemea mafuta pekee.
 
Wafanyabiashara wa mafuta ndio wanashinikiza bei na pia Serikali isitoe ruzuku na kodi ili wao waendelee kupata faida kubwa hakuna kitu kipya kitakuja kwa mfumo huu uliopo nilishangaa vituo vya kuuza mafuta mbeya na maeneo mengine baada ya kuambiwa bei itapanda sana wakaacha kuuza mafuta yao...
Leo hii eti tunajadili hakuna kitu mtaleta tofauti tupo hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…