Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
“Hali hii husababisha Wakala [wa Ndege za Serikali] kutekeleza jukumu la kuwahudumia viongozi kwa kuchelewa pindi zinapotokea safari za viongozi wote kwa wakati mmoja,” Mhagama anasema.
Dah Kweli?Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa...
Poa,kwa niabaMtoto mzuri mambo
Ndege kwa viongozi ni muhimu,imagine mpya kabisa ni ile aliyonunua mkapa,hizo zingine tangu Nyerere,ipo siku watabinuka anganiWahuni Hata Serikalini Wapo Hawana Aibu Yaani Wakipanga Lazima
Baadaye Eti Hao Ndiyo Wasomi Wetu Wana Vyeti Tu Ila ....Akili....
Wanaongeza moja tu zitatosha? Kuongeza moja tu ni uduanzi wa hali ya juu. Ndege za viongozi wakuu zinatakiwa ziwepo nane ili kukidhi mahitaji yao.Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa.
Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria
Nini maoni yako kuhusu azimio hili?
Hili sio bunge la wananchi bali kundi la vibaka waliookotezwa mitaani na mwendawazimu mwendazake. Hawana uchungu na wananchi wanaoteseka mitaani
Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa.
ama anasema.
“Kwa hiyo basi Bunge linaazimia kwamba Serikali ione umuhimu wa kufanya ununuzi wa ndege nyingine ili kuboresha utoaji huduma za usafiri wa anga kwa viongozi wakuu wa kitaifa".
Source: The Chanzo
Nini maoni yako kuhusu azimio hili?
Huyu Joseph Mhagama ni wajimbo Gani
Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa.
Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Joseph Mhagama, ambaye ameeleza kuwa nia ya azimio hilo inatokana na Wakala wa Ndege za Serikali kushindwa kuwahudumia kwa wakati viongozi wakuu pale zinapotokea safari kwa wakati mmoja.
Kwa mujibu wa Mhagama kamati yake imebaini kuwa kwa sasa kuna ndege tatu zinazowahudumia viongozi wa Serikali. Ndege moja inamhudumia Rais wa Tanzania, ndege nyingine mbili zinawahudumia Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu, Makamu wa Kwanza na Wa Pili wa Rais wa Zanzibar na viongozi wengine wa kitaifa.
“Hali hii husababisha Wakala [wa Ndege za Serikali] kutekeleza jukumu la kuwahudumia viongozi kwa kuchelewa pindi zinapotokea safari za viongozi wote kwa wakati mmoja,” Mhagama anasema.
“Kwa hiyo basi Bunge linaazimia kwamba Serikali ione umuhimu wa kufanya ununuzi wa ndege nyingine ili kuboresha utoaji huduma za usafiri wa anga kwa viongozi wakuu wa kitaifa".
Source: The Chanzo
Nini maoni yako kuhusu azimio hili?
Waache wanunue wajazane wotehumo kwenye ndege moja tunaweza tuka pata nafuu mkuu.Daah.. Yaan watu tunateseka na umeme ni wakubahatisha wao wanawaza ndege za kufanyia starehe zao