King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
"ili nchi iendelee inabidi tufudishane adabu" - Pole Pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kama Kampeni ya kuwasafisha karibia wote waluoingia 2020 wasirudi 2025 nadhani!!! Sema hawaelewi...!!Hawa wabunge wapo hapo kuwakisha shida za wananchi au Mano wanayotaka wao?
Ununuzi wa ndege kwa matumizi yao je ni kipaumbele wakati wananchi wanalia na ugumu wa maisha?
Wakuu wa mikoa wapewe ndege, DC ndege pia. Madiwani na wenyeviti wa vijiji wakumbukwe Kwa Prado
Kwanini Mtanzania ulipe kodi?what for!
Uu mzalendo sana au kitu gani?huduma za afya mbovu,maji hakuna yakitoka yana vumbi umeme ndiyo huo halafu uje uniambie ”Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa lako”
Hiyo kodi utalipa wewe mimi silipi.
Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa.
Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Joseph Mhagama, ambaye ameeleza kuwa nia ya azimio hilo inatokana na Wakala wa Ndege za Serikali kushindwa kuwahudumia kwa wakati viongozi wakuu pale zinapotokea safari kwa wakati mmoja.
Kwa mujibu wa Mhagama kamati yake imebaini kuwa kwa sasa kuna ndege tatu zinazowahudumia viongozi wa Serikali. Ndege moja inamhudumia Rais wa Tanzania, ndege nyingine mbili zinawahudumia Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu, Makamu wa Kwanza na Wa Pili wa Rais wa Zanzibar na viongozi wengine wa kitaifa.
“Hali hii husababisha Wakala [wa Ndege za Serikali] kutekeleza jukumu la kuwahudumia viongozi kwa kuchelewa pindi zinapotokea safari za viongozi wote kwa wakati mmoja,” Mhagama anasema.
“Kwa hiyo basi Bunge linaazimia kwamba Serikali ione umuhimu wa kufanya ununuzi wa ndege nyingine ili kuboresha utoaji huduma za usafiri wa anga kwa viongozi wakuu wa kitaifa".
Source: The Chanzo
Nini maoni yako kuhusu azimio hili?
Hii nchi ina hela za kufanya kila kitu isipokuwa mambo ya msingi. Wana hela ya magoli, hela ya misafara ya makonda, hela ya ndege ila hawana hela za umeme, madawati, shule wala vyoo. smh
Wanaongeza moja tu zitatosha? Kuongeza moja tu ni uduanzi wa hali ya juu. Ndege za viongozi wakuu zinatakiwa ziwepo nane ili kukidhi mahitaji yao.
Wakitaka hata wasafishe hazina yote kisha wagawane viongozi
Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa.
Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Joseph Mhagama, ambaye ameeleza kuwa nia ya azimio hilo inatokana na Wakala wa Ndege za Serikali kushindwa kuwahudumia kwa wakati viongozi wakuu pale zinapotokea safari kwa wakati mmoja.
Kwa mujibu wa Mhagama kamati yake imebaini kuwa kwa sasa kuna ndege tatu zinazowahudumia viongozi wa Serikali. Ndege moja inamhudumia Rais wa Tanzania, ndege nyingine mbili zinawahudumia Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu, Makamu wa Kwanza na Wa Pili wa Rais wa Zanzibar na viongozi wengine wa kitaifa.
“Hali hii husababisha Wakala [wa Ndege za Serikali] kutekeleza jukumu la kuwahudumia viongozi kwa kuchelewa pindi zinapotokea safari za viongozi wote kwa wakati mmoja,” Mhagama anasema.
“Kwa hiyo basi Bunge linaazimia kwamba Serikali ione umuhimu wa kufanya ununuzi wa ndege nyingine ili kuboresha utoaji huduma za usafiri wa anga kwa viongozi wakuu wa kitaifa".
Source: The Chanzo
Nini maoni yako kuhusu azimio hili?
Garama za maisha ziko juuu

Miaka yote walikuwa wanaendaje?Hizi sababu hazina mashiko kabisa, kwanini wote wasafiri kwa wakati mmoja ?
Asante sana. Nilidhani nikisema hivi nitaonekana mjinga.Hapana.
Inatakiwa kila mkoa uwe na ndege mbili kwa ajili ya viongozi tu.
Magufuli alitoa mojawapo ya ndege za rais itumiwe na fraia wote kama ndege ya biashara, wao wanaongeza ndege nyingine kwa ajili yao tu. Ubinafsi kweli. Rais wa Zambia alikwenda UN kwa kutumia ndege ya biashara, wao wanataka ndege binafsi ya kwenda wapi?