Bunge laazimia Serikali inunue ndege nyingine kwa ajili ya kuhudumia viongozi

Hawa wabunge wapo hapo kuwakisha shida za wananchi au Mano wanayotaka wao?
Ununuzi wa ndege kwa matumizi yao je ni kipaumbele wakati wananchi wanalia na ugumu wa maisha?
Hii ni kama Kampeni ya kuwasafisha karibia wote waluoingia 2020 wasirudi 2025 nadhani!!! Sema hawaelewi...!!
 
Sasa hiyo hela ya ndege si ingenunulia mwendo kasi au dawa na vitanda hospitalini? Hivi tuna wabunge au?
 

Washenzi sana haya maCCM .... Yanawaza matumbo yao tu na raha zao.

Mara wapandishiane mishahara mpaka ya wake zao .... mara wanunuliane magari.

Halafu kuna Chawa wanakuja kutetea huu ujinga .... Seriously!!?
 
Hii nchi ina hela za kufanya kila kitu isipokuwa mambo ya msingi. Wana hela ya magoli, hela ya misafara ya makonda, hela ya ndege ila hawana hela za umeme, madawati, shule wala vyoo. smh


Ramadan imekaribia, hela za “kufuturisha Serena na Magogoni tumeshaziandaa kabisa.
 
 
Garama za maisha ziko juuu
Hali ya uchumi ni ngumuu
Ukanunue ndegee
Io akili au matope
Viongozi wa ovyo sana
 
Hawa WAPUUZI sijuwi lini watatoka madarakani. Wanatuchezea sana aiseee...😢🤬🥹😤😡🗯️💢👿👺
 
Tunavyo Chelsea kuwatoa majizi chunguni tutakula ukoko!
Sisiemu ni majizi lakini na wawakilishi wa wananchi waitwao wabunge ni VILAZA maana hawakuchaguliwa na hawajui kwa nini wapo kule walikopekekwa na Magufuli.
Kwa kweli Magu katufanya vibaya huyu jamaa na hakustahili hata kupewa pension baada ya kwenda zake.
Na hawa wajiitao wabunge wangekuwa wanapigwa mayai viza mitaani wasingekuwa wanaendekeza ujinga namna hii

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli alitoa mojawapo ya ndege za rais itumiwe na fraia wote kama ndege ya biashara, wao wanaongeza ndege nyingine kwa ajili yao tu. Ubinafsi kweli. Rais wa Zambia alikwenda UN kwa kutumia ndege ya biashara, wao wanataka ndege binafsi ya kwenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…