Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Jambo unalotakiwa kulijua, ni Kusoma mwelekeo mpya wa Siasa za Dunia.Waziri Mkuu wa nyumbani kwako labda. Hapo sawa
mko naye pamoja kwenye Keybord?Tupo pamoja na MPINA
Kwa hiyo ndiyo basi tena hatarudi mjengoni?Amefungiwa vikao kumi (10) vya Bunge.
duh! Hawezi kukata rufaa?Amefungiwa vikao kumi (10) vya Bunge.
Issue itarudi tenaBashe kachomoka??
Ewe chawa hivi unafaidika nini na hii awamu ya mafisadi? au unapiga debe tu!.Waziri Mkuu wa nyumbani kwako labda. Hapo sawa
Lengo lake lilikuwa ni apate Rubber Stamp Parliament na yeye atawale Maisha yake yote.Yule dhalim alituweza kweli watanzania kutuachia vilaza ndani ya bunge
Du alienda kwenye hiyo kamati akiwa amevaa ''kinga'' za aina hii? Nimecheka kweli kweli.Okay
Na wanyongweCCM Tanzania itakuja kupinduliwa
Samia anaomba kupinduliwa kwa nguvuHiki kilichofanyika ni cha kawaida, ni wachache sana wanaoweza kuona kwamba kuna inshu kuuuuubwa imefanywa na Bunge.
Yako mambo mengi sana ambayo tulitaraji bunge liyafanyie maamuzi magumu lkn hawakufanya.
Mpina ni wa nyumbani (ccm) ameadhibiwa na wana familia (ccm wenzake) so, hiyo siyo inshu hata kidogo.
So, wameacha kuchambua kwa umakini taarifa aliyoileta mpina, wakajikita kwenye makosa ya mpina kwa bunge, yaani ni mbaya sana kutuaminisha kwamba katika yote aliyoyasema mpina hakuna lililo sahihi.