Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Kila mtu anataka uwaziri.
 
Bunge kibogoyo lisilo na faida yeyote.wazalendo wakihoji bunge kibogoyo linachukia.
Nilipomsikia supika akisema mimi ni mtu ninayeheshimika sana duniani hivyo mtu hawezi kuniletea dharau!! Nikajua hapa tayari kinachofuata ni mtu kuliwa kichwa tuu!! Tayari maamuzi yalishapita.
 
Wajinga mpo wengi sana, huyo Musukuma zile za DPW ziliisha au bado anaendelea kuzitumia?

Hiyo kamati haijajibu hoja yoyote ya Mpina, imejibu utoto mtupu. Badala iundwe kamati ya kuchunguza ufiasadi wa Bashe na mama Abdul, wajinga wanamuundia kamati Mpina!.

Huyo Musukuma atakuwa ameshapangwa awe wa kwanza kuongea baada kuvuta mpunga wake, mfano takataka zilizojaa bungeni.
 
Wabunge week ijayo wanamtukana Bashe

Mafisadi yamejipanga kweli. Yanateteana kama ilivyotarajiwa. Uzuri ni kwamba uhuni wa wabunge hawa wevi wa kura hauwezi kubadilisha mtazamo dhidi ya hawa yao. Haya ndiyo majitu yaliyouza na bandari zetu. Hawa ni maadui namba 1 wa Taifa.

Jongera Mpina, wananchi wamekuelewa. Ulifanya vizuri sana kuongea na vyombo vya habari ili wananchi waujue vizuri iharamia wa hawa mafisadi.
 
Nilipomsikia supika akisema mimi ni mtu ninayeheshimika sana duniani hivyo mtu hawezi kuniletea dharau!! Nikajua hapa tayari kinachofuata ni mtu kuliwa kichwa tuu!! Tayari maamuzi yalishapita.
anasema mbele ya maitiza Taifa hili, hili ni taifa mfu
 
Unafiki gani, umethibitishwaje, je hoja zake zimejibiwa? Mtuhumiwa kajitetea? Iweje ahukumiwe?
Kweli nchi ya ajabu sana hii...Watu wote wanasema uwongo hadharani...Gwajima umenisikitisha sana...Unalitukana jina la Mungu, acheni unafiki nyie watu
 
Aseee nchi ngumu saana hii, yaani anayepambania wananchi anasulubiwa! Aseeeee!
Ndugu yangu haya majitu ya ccm yamevimbiwa madaraka! Haya ma mantu yamechepusha mpaka madaraka ya rais kwamba yana uwezo wa kufanya jambo lolote na yasi shitakike! Na sisi tumekuwa kama maiti tu hatuwezi hoji chochote tupo kimya tu! Tulichobakiwa nacho ni kuandika hivi tu! Yani maandishi yetu kwao wanaota kama vile ndoto za mizimu ambazo kuna za kutisha na nyingine za kufurahisha kama maandish ya kina lucas mwamshambwa sijui! Nayakumbuka maneno ya jomo kenyata aliwah kusema yeye anaongoza wagonjwa mahututi ipo siku watapata nafuu watainuka kuhoji kenya yao ila kuna mwenzake jiran anaongoza maiti lini zitaamka zihoji kuhusu nchi yao?
 
Tulisema humu,mpina anasumbuliwa na chuki binafsi dhidi ya bashe hana vithibitisho vyovyote,leo yametimia,naomba achukuliwe hatua kali sana ili iwe funzo kwa wapuuzi wengine kama yeye
 
Awamu ya kutetea mafisadi.

Kusambaza habari ni swala la hatari zaidi kwa watanzania kuliko kuuwa viwanda vya ndani na kulisha watu sukari isiyopitia TBS?
Tatizo sio awamu, tatizo ni Maiti za hii nchi, ni kosa sana kutetea maiti
 
Kweli nchi ya ajabu sana hii...Watu wote wanasema uwongo hadharani...Gwajima umenisikitisha sana...Unalitukana jina la Mungu, acheni unafiki nyie watu
Wanasiasa nchi hii wanatutusi hadharani ni matusi makubwasana kwetu haya.
 
Daah kweli nchi imeingiliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…