Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Mtu kama mleta mada ni wa kupiga risasi tu, watu wa namna hii wanachangia sana kurudisha nchi nyuma...typical ccm traits.
bilashaka utakua ni miongoni mwa wanaomiliki silaha kinyume na sheria πŸ’

we are coming to save you soon...
 
Wewe andika uzushi wako hao maccm hilo jimbo linakwenda kwa upinzani.ninachojua Luhaga atakwenda upinzani na jimbo linaenda upinzani.ni swala la muda tu tusubiri hiyo drama
upinzani wa yanga au simbwa gentleman? πŸ’

kwamba mzushi na muongo awe mjengoni tena,? thubutu πŸ’
 
mzushi na muongo kaisha tiwa hatiani na kuadhibiwa gentleman,

actually mh.Dr.Kasheku Msukuma amelishauri bunge huyo muongo akapimwe afya ya akili huenda kuna vitu haviko sawa akilini mwake 🀣
 
Sijui kuna ubishi gani. Sijafuatilia ule mjadala.( wa sugar sukari)
Lakini nimemsikiliza Luhaga Mpina mara chache,yuko mentally alert.
It makes me sad kubishana na watu wengi,lakini naona it is absurd kumfukuza Luhaga Mpina,kumzuia kuingia Bungeni.
The value system is wrong. Watu waovu wanatukuzwa.
Watu ambao ni obviously illiterate wanatukuzwa.
Ushauri wangu kwa Mpina ni kwamba asubiri iishe.
Hakuna sababu ya kuongea na waandishi wa habari kesho.
 
Mambo kama hayo ndio yanayotufanya wakati mwingine tufurahie vifo vyao badala ya kuhuzunika maana wao nyakati za Uhai wao zote wanatuletea huzuni.......
 
Wewe wacha kuwa muongo kama mpina, tuhuma zote za huyo poyoyo kwa Bashe zimesikilizwa, zinechunguzwa na kamati ya maadili, zikaonekana za uongo mtupu.

Bashe ni moto wa kuotea mbali, muulizeni Kigwangwala moto wa Bashe.
Mpina kapigwa kote kote.
 
Sema machawa wamefanya naiona JF kwa upande wa habari na mijadala ya siasa kama inashuka hadhi yake ile ya kuwa platform ya great thinkers. Inakuwa sasa kama ni uwanja wa comedy au matani ya kulazimisha. Anyway, najua machawa watakaza mafuvu tu.
siasa saa zinngine ni ngumu ndugu zangu, ina kera na kutia uchungu sana, na haipoagia haraka hata kama mihemko na ghadhabu ziko sambamba na kejeli πŸ’
 
Tulijua itakuwa hivyo. Mafisadi lazima wateteane. Bunge liko kwaajili ya kuilinda Serikali fisadi, Mahakama iko kulinda Serikali fisadi. Utegemee mtetea wananchi, abaki salama?

Mihimili yote, imeegemea sehemu moja, kuja kupata haki, mpaka wananchi waseme sasa imetosha tunataka haki na usawa kwa wote.
 
Ccm ni sikio la kufa halisikii dawa. Mtu anaye wambia ukweli ili wajirekebishe ndio wanaye mgeuza kuwa adui yao. Sasa wasubili waone kitakacho tokea hivi karibuni maccm wote watafuta pakujificha hawata papata.
 
Ccm ni sikio la kufa halisikii dawa. Mtu anaye wambia ukweli ili wajirekebishe ndio wanaye mgeuza kuwa adui yao. Sasa wasubili waone kitakacho tokea hivi karibuni maccm wote watafuta pakujificha hawata papata.
kuna nin gentleman kitatokea hivi karibuni πŸ’

kwamba una watisha CCM sio, ili watishike 🀣
 
Mmeshaambiwa sheria iliyotumika ni ipi sasa kelele za nini? Mmeambiwa buffer stock na gap sugar ziliidhinishwa ila sio kibali kutolewa. Niliwaambia Mpina ni mpotoshaji tu mkanipinga leo mmeumbuka. Huko ccm yamejazana majizi tu nashangaa mnayatetea. Mpina sio mzalendo ni opportunist tu mwenye uchungu wa kukosa uwaziri. Na ndio kwisha hivyo 2025 harudi bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…