Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
niko chonjo niko rada mbaya sana,Wewe nawe
saa zingine nakera mno kwa ukweli aise 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niko chonjo niko rada mbaya sana,Wewe nawe
Nasemea wale wanaokuwa kwenye ripoti ya CAGRipoti ya uchunguzi wa kamati umebainisha kwamba gentleman wa Kisesa ni mzushi na muongo amelidanganya bunge na kumdharau spika 🐒
ripoti gani tena unauliza gentleman 🐒
bilashaka utakua ni miongoni mwa wanaomiliki silaha kinyume na sheria 🐒Mtu kama mleta mada ni wa kupiga risasi tu, watu wa namna hii wanachangia sana kurudisha nchi nyuma...typical ccm traits.
Si ndiye aliyepima samaki kwa rula!?Hawezi kugombea Urais , MPINA anafaa kua Waziri Mkuu
taratibu,Nasemea wale wanaokuwa kwenye ripoti ya CAG
hiyo ina weza kusaidia au kubadili chochote kweli ukiangalia 🤣Wapuuzi hao wamekutana kwenye vikao vyao
upinzani wa yanga au simbwa gentleman? 🐒Wewe andika uzushi wako hao maccm hilo jimbo linakwenda kwa upinzani.ninachojua Luhaga atakwenda upinzani na jimbo linaenda upinzani.ni swala la muda tu tusubiri hiyo drama
Kwan lini mliwahi kuzungumzia mambo ya CAGtaratibu,
si tumalizane kwanza na huyu mzushi na muongo kisha tuone cha kufanya kwenye mengine 🐒
mzushi na muongo kaisha tiwa hatiani na kuadhibiwa gentleman,mleta posti ni mgonjwa wa akili anatakiwa ajipeleke mwenyewe milembe.
Sisi wananchi tuna akili tunazijua mbivu mbichi kwenye hili sakata mpina ndiye mshindi kwani hakuna hata hoja yake moja iliyojibiwa kama alisema uongo ushahidi ungewekwa wazi kama alivyofanya Mpina
andikia uzi tuanze kujadili kuona kipi bado na kipi kimefikia wap 🐒Kwan lini mliwahi kuzungumzia mambo ya CAG
Wewe wacha kuwa muongo kama mpina, tuhuma zote za huyo poyoyo kwa Bashe zimesikilizwa, zinechunguzwa na kamati ya maadili, zikaonekana za uongo mtupu.Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa amefungiwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge kuanzia Juni 24, 2024 kwa kosa la kukiuka Kanuni za Bunge, kudharau Mamlaka ya Spika na mwenendo wa shughuli za Bunge, atarejea Bungeni katika kikao cha pili cha Novemba, 2024
-
Mpina ametiwa hatiani baada ya kuzungumza na Wanahabari kuhusu ushahidi aliouwasilisha kwa Spika kabla ushahidi huo haujawasilishwa mezani au kupewa idhini na Bunge kufanya hivyo
-
Awali, Mpina alidai Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe alilidanganya Bunge kuhusu Uagizaji wa sukari Nchini
View attachment 3025225
-
siasa saa zinngine ni ngumu ndugu zangu, ina kera na kutia uchungu sana, na haipoagia haraka hata kama mihemko na ghadhabu ziko sambamba na kejeli 🐒Sema machawa wamefanya naiona JF kwa upande wa habari na mijadala ya siasa kama inashuka hadhi yake ile ya kuwa platform ya great thinkers. Inakuwa sasa kama ni uwanja wa comedy au matani ya kulazimisha. Anyway, najua machawa watakaza mafuvu tu.
imeandikwa,Mambo kama hayo ndio yanayotufanya wakati mwingine tufurahie vifo vyao badala ya kuhuzunika maana wao nyakati za Uhai wao zote wanatuletea huzuni.......
Ccm ni sikio la kufa halisikii dawa. Mtu anaye wambia ukweli ili wajirekebishe ndio wanaye mgeuza kuwa adui yao. Sasa wasubili waone kitakacho tokea hivi karibuni maccm wote watafuta pakujificha hawata papata.baada ya kubuni uongo na uzushi, kana kwamba ni kweli na kuufanya kama tuhuma dhidi ya waziri kijana wa kilimo, mchapakazi hodari na anaeaminika sana, Hussein Bashe, na kujaribu kuwahadaa wananchi na kutaka kulidanganya bunge..
Mbunge huyo mzushi, atawajibika kutokukanyaga kabisa eneo la bunge katika muda usiopungua vikao15, hiyo maana yake atakanyaga tu, tana kwa bahati sana vikao vya bunge la November 2024.
Je,
CCM itavumilia Kuishi na mtu muongo na mzushi kama huyu?
au ni suala la muda tu tutapata taarifa ya Tume Huru Ya Uchaguzi ikiliarifu bunge hatua za CCM dhidi ya mbunge wake huyo muongo 🐒
uzushi, uongo, kiburi na jeuri vyamtokea puani, aweka ubunge wake rehani na uko mashakani kumponyoka 🐒
kuna nin gentleman kitatokea hivi karibuni 🐒Ccm ni sikio la kufa halisikii dawa. Mtu anaye wambia ukweli ili wajirekebishe ndio wanaye mgeuza kuwa adui yao. Sasa wasubili waone kitakacho tokea hivi karibuni maccm wote watafuta pakujificha hawata papata.
Mmeshaambiwa sheria iliyotumika ni ipi sasa kelele za nini? Mmeambiwa buffer stock na gap sugar ziliidhinishwa ila sio kibali kutolewa. Niliwaambia Mpina ni mpotoshaji tu mkanipinga leo mmeumbuka. Huko ccm yamejazana majizi tu nashangaa mnayatetea. Mpina sio mzalendo ni opportunist tu mwenye uchungu wa kukosa uwaziri. Na ndio kwisha hivyo 2025 harudi bungeni.Mpina ni jasiri ana heshima yake mbele ya jamii ya watanganyika. Kamati inasema tu ilijiridhisha na GN bila kutuwekea hicho kithibitisho ili nasi tuone, wajinga sana.
Hiyo adhabu anayopewa na wajinga haina maana kwa watanganyika kwasabau wanajielewa, wao sio wajinga.
Haiwezekani wale waliompiga vita Mpina wakiongozwa na Spika Tulia, wakishirikiana na mama Abdul leo wamtendee haki, hiyo mahakama ni batili haina fairness.
• Hii kamati inataka kutudanganya watanganyika kwamba, wakati wa dharura, serikali inaweza kuagiza sukari hata kwa kutumia kampuni zisizo na ujuzi kwenye hiyo issue ilimradi sheria iwaruhusu? na isiyo na mtaji wa kutosha kama ile stationery ya mtaji wa 1 million kuagiza sukari ya bilion 6.6?!
Kamati ya wapuuzi wanajibu hoja za Mpina kama watoto.
Spika Tulia na hiyo kamati yake wasitufanye wajinga, wao wote hawana mamlaka ya kumhoji Mpina kwa kitendo chake cha kuongea na wapiga kura wake nje ya bunge, wasitake kulifanya bunge liwe juu ya mamlaka na uhuru wa watanganyika kutoa maoni yao kikatiba.
Bunge ni lile jengo tu pale Dodoma ambapo wakiwa ndani yake ndio hutakiwa kusema chochote wasishtakiwe, lakini wakitoka nje ya lile jengo wao ni wabunge wa kawaida na raia kama tulivyo wengine, wasijikuze.
Simply Mpina ameonewa, hastahili kuadhibiwa kwani hajavunja sheria yoyote ya nchi, standing orders za bunge haziwezi kuwa juu ya katiba yetu, mafisadi walaaniwe, shame on them.
Hoja za Mpina zijibiwe, mmeshindwa kuzijibu kutuonesha nyie ni mafisadi wa vitendo na ushahidi upo, adhabu yoyote kwa Mpina haitafuta dhambi ya ufisadi wenu, aibu iwe kwenu.