Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

Kama wanakanusha waweke hadharani wanalipwa kiasi gani na mchanganuo wake watuwekee
 
Kinachomuumiza mbowe sio mishahala ya wabunge ni yeye kutokuwa sehemu ya huo ulaji
 
Hakuna sehemu wanaonesha kukana zaidi wameweka maneno tuu! Nilitegemea waseme mishahara ilikuwa kiasi fulani hadi mwaka huu na hakuna ongezeko cha kiasi hiki….

Hakuna kanusho hapo zaidi ni wazi wabunge wameongezewa mishahara kuto million kumi na mbili hadi million 18 na ni ongezeko la million 6 ! Yani unawaongeza watu million sita tena wasio katwa kodi yeyote ile…hii nchi ina laana…
 
yaani kama watu wamepitisha sheria wake wa viongozi wastaafu wapewe mafao watashindwa kujiongezea wao wenyewe,
Hapo sasa na wakaweka kinga kwa Waziri Mkuu na Spika wa Bunge pamoja na Makamo Rais kutoshtakiwa hili Bunge la CCM ni la hovyo sana.
 
Aiseee,ni hatari sana.
 
Ni million 18 kwa sasa kama hujui jambo bora unyamaze mimi mwenyewe nimepata uthibitisho wa habari hii na waliosema ndio wanaolipwa hiyo hela
Duh yaani inamaana wamejiongezea du napiga hesabu tu kwa haraka haraka..
Wabunge wapo 393..

So kwa mwezi ni 393x18 Mil = 7,074,000,000

Bilion 7
Kwahiyo kwa Mwezi Taifa linatoa Tsh bilion 7 na milion 74 kulipa wabunge...

Ambayo ni sawa na Tsh 84,888,000,000 Kwa mwaka..
Yaani serkali inapoteza Tsh Bilion 84 na Milion 888 kwa ajili ya kulipa.watu wanaokaa na kusifia
 
Halafu wanaomba msaada wa mchele marekan daaah hii nchi inaviongoz wa ovyo kabsaaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ukweli ni upi?? Hili bunge la Tanzania limekuwa la kiswahiliswahili. Mpa awamu ya sita iishe nchi itakuwa vipandevipande
Unataka ukweli gani?

Baba ndubwi kqdanganya mshahara ni 13m ma sio 18m
 
Ila ni kweli wanalipwa 13M?

Manina
 
Kumbe waheshimiwa wetu wanapewa mishahara kidogo hivyo mil13 ni ndogo sana ukilinganisha na majumu mazito wanayoyafanya kwaajili yetu.Waongeze angalau mil 29 Kwa mwezi ili kuendana na maisha ya sasa.Mishahara Yao ikiwa midogo hata utendaji kazi unapungua.Waheshimiwa kwanza sisi baadae.
 
The Green Mambas Parliament!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…